Kudorora mapokezi ya Rais Samia kutoka Marekani Tatizo limeanzia hapa...

Hata wale wazee wa Darisalam hawajaenda kumpokea?
Nadhani negative msg ya namna Watz walivyoipokea hutuba yake na yote yaliyojili katika safari yake nzima imeshamuingia. Kwa jinsi ninavyowafahamu kile chama walishafanya maandalizi ya kutosha ila naona wamekatazana kimyakimya. Unajua kule ccm kukusanyika na kushangilia upuuzi kwao ni ajira hivyo muda wote wao hutafuta platform ili waweze kutimiza matukio kama hayo na mwisho wa siku ndiyo ajira na teuzi mbalimbali zinazoendelea.
 
Kule hakuhutubia watanzania, pale ni pahala pakuhutubia dunia(mataifa). Mwisho!

Ukitaka alihutubie Taifa, subiri atasimama kila kijiji atoe neno lake.
 
Kule hakuhutubia watanzania, pale ni pahala pakuhutubia dunia(mataifa). Mwisho!

Ukitaka alihutubie Taifa, subiri atasimama kila kijiji atoe neno lake.
Ndio alipokelewa na mataifa sasa jana
 
sijui awamu hii wanakwama wapi
 
Hii u- turn uliyopiga sio ya karne hii! Hata wewe mwanamke mwenzako unamsagia kunguni? Naamini Sasa kuwa sisiemu kwisha habari yake!
hahahaa ccm haipo tena imebaki genge la bandts
 
Nimemkumbuka sana Rais Magufuli sijui kwa nini alitukimbia wakati tukimuhitaji sana ila tunamshukuru Mungu kwa ajili ya maisha yake na atabaki kuwa Rais bora kuwahi kutokea Tanzania
 
Mkuu umenena maneno ya hekima
 
Nimemkumbuka sana Rais Magufuli sijui kwa nini alitukimbia wakati tukimuhitaji sana ila tunamshukuru Mungu kwa ajili ya maisha yake na atabaki kuwa Rais bora kuwahi kutokea Tanzania
we mtu wa ajabu unakumbuka vitu visivyo na maana.
 
Huwezi kumfurahisha kila mtu, wacha mama apige kazi
 
Niko mjini na sijui kama karudi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ni upigaji wa kodi zetu.... alisema mtamkumbuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…