Kudukuliwa kwa mfumo wa kompyuta ktk uchaguzi wa kenya, tujifunze nini uhesabuji wa kura kwa njia ya Electronic?

nadhani umeamua kuchagua kutonielewa na ni vigumu sana kubadilishana mazungumzo na mtu ambaye tayari anaomsimamo wake.
Watu wenye mawazo ya pande moja huwa hawaelewi kabisa. Atoe mfano ni taifa gani lililofanya uchaguzi, alieshindwa akaridhika na kupongeza. Aje aseme, hizo ni kelele tu.

Amesahau juzi juzi tu USA, alichokifanya Klingon dhidi ya Trump. Hakuna democracy ya kweli dunian nafikiri hata mbinguni ila mjanja siku zote ndo mshindi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfumo wa electronic upo vizur sana tatizo ni pale wadukuzi wanapoingilia mawasiliano hayo.
 
Tuchukue tahadhari kubwa uwepo wa wakenya wanaojichimbia ndani ya chadema.Maana hata 2015 kuna wakenya walikamatwa wamejichimbia pamoja na wanachagadema wakitaka kuingilia uchaguzi wa TZ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenyata alijua kuwa daima atashinda!.ila ameumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…