Kudukuliwa kwa mfumo wa kompyuta ktk uchaguzi wa kenya, tujifunze nini uhesabuji wa kura kwa njia ya Electronic?

Kudukuliwa kwa mfumo wa kompyuta ktk uchaguzi wa kenya, tujifunze nini uhesabuji wa kura kwa njia ya Electronic?

nadhani umeamua kuchagua kutonielewa na ni vigumu sana kubadilishana mazungumzo na mtu ambaye tayari anaomsimamo wake.
Watu wenye mawazo ya pande moja huwa hawaelewi kabisa. Atoe mfano ni taifa gani lililofanya uchaguzi, alieshindwa akaridhika na kupongeza. Aje aseme, hizo ni kelele tu.

Amesahau juzi juzi tu USA, alichokifanya Klingon dhidi ya Trump. Hakuna democracy ya kweli dunian nafikiri hata mbinguni ila mjanja siku zote ndo mshindi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfumo wa electronic upo vizur sana tatizo ni pale wadukuzi wanapoingilia mawasiliano hayo.
 
Hivi punde mahakama ya juu nchini Kenya imeridhia ombi la Muungano wa NASA kuwa uchaguzi ulivurugwa. Je tujifunze nini na tuboreshe nini kwenye njia za uhesabuji wa kura kwa njia ya kiteknolojia ya electronic ili kosa hili lisitokee ktk nchi nyingine zinazopigia upatu mfumo huu?
Tuchukue tahadhari kubwa uwepo wa wakenya wanaojichimbia ndani ya chadema.Maana hata 2015 kuna wakenya walikamatwa wamejichimbia pamoja na wanachagadema wakitaka kuingilia uchaguzi wa TZ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi punde mahakama ya juu nchini Kenya imeridhia ombi la Muungano wa NASA kuwa uchaguzi ulivurugwa. Je tujifunze nini na tuboreshe nini kwenye njia za uhesabuji wa kura kwa njia ya kiteknolojia ya electronic ili kosa hili lisitokee ktk nchi nyingine zinazopigia upatu mfumo huu?
Kenyata alijua kuwa daima atashinda!.ila ameumbuka
 
Back
Top Bottom