dustless
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 796
- 712
Watu wenye mawazo ya pande moja huwa hawaelewi kabisa. Atoe mfano ni taifa gani lililofanya uchaguzi, alieshindwa akaridhika na kupongeza. Aje aseme, hizo ni kelele tu.nadhani umeamua kuchagua kutonielewa na ni vigumu sana kubadilishana mazungumzo na mtu ambaye tayari anaomsimamo wake.
Amesahau juzi juzi tu USA, alichokifanya Klingon dhidi ya Trump. Hakuna democracy ya kweli dunian nafikiri hata mbinguni ila mjanja siku zote ndo mshindi!
Sent using Jamii Forums mobile app