Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Hawa watu wanaojifanyaga wameishika dini, wanakuambia hatuli nguruwe alafu dhambi nyingine wanazifanya, et usile hadharani Yan shida zako wewe ziwape shida na wengine, na hyo Sheria waifanye huko huko Zanzibar huku kwetu bara watakuja kutafuta matatzoNimesikia baadhi ya waislam wenye uelewa finyu wanapangia watu wengine wasile hadharani kwenye mfungo wao kwanini wao ndio wasifunge hadharani.
Mtu mwenye akili ndogo anazani kufunga kuna husiana na masuala ya chakula tu na ubwabwa inasikitisha sana kwa mtu kuwa na uelewa mdogo hivi.
Mtu mwenye akili timamu sizani kama anaona linaeleweka kwamba kufunga afunge mwengine alafu masharti huje kumuwekea mwengine ambaye sio mfuasi wa imani yako ni kuingilia uhuru wa wengine na sio sawa badilikeni hata lini mtakuwa na uelewa mdogo hivi wa akili.
wapo wanapiga hadi wengine fimbo, na wanazuia kuwauzia wengine vyakula. dini ya lazima hiyo haiwezi kuwa ya Mungu wa kweli.Nimesikia baadhi ya waislam wenye uelewa finyu wanapangia watu wengine wasile hadharani kwenye mfungo wao kwanini wao ndio wasifunge hadharani.
Mtu mwenye akili ndogo anazani kufunga kuna husiana na masuala ya chakula tu na ubwabwa inasikitisha sana kwa mtu kuwa na uelewa mdogo hivi.
Mtu mwenye akili timamu sizani kama anaona linaeleweka kwamba kufunga afunge mwengine alafu masharti huje kumuwekea mwengine ambaye sio mfuasi wa imani yako ni kuingilia uhuru wa wengine na sio sawa badilikeni hata lini mtakuwa na uelewa mdogo hivi wa akili.
mbumbumbu wewe unajua sheria zozote za nchi hakuna sheria kama hiyo zanzibar na wala kwenye Quran haipo.Hiyo ni zenji huku bara fresh tu ,kule ni nchi yao wana sheria zao usikariri mfumo wa wazungu tu.
kama unajijua unauelewa finyu bora ukae kimya Tanzania sio nchi ya kidiniSiyo kwa ajili ya tanganyika, huu utàmaduni uko Zanzibar na nchi za kiislam tuu. Wátanganyika haiwahusu.
Nimekuambia ipo kweny Qur an ? Onesha wapi ,kama jamii yao inafanya hivyo kama taratibu zao ...Hiyo ni jamii yao kwa asilimia kubwa wanakubali jambo hilo kulingana na tamaduni zao.mbumbumbu wewe unajua sheria zozote za nchi hakuna sheria kama hiyo zanzibar na wala kwenye Quran haipo.
Nafikiri huna akili kabisa hata kuni challenge Unazani kufunga kunahusiana na ubwabwa tu,
Zanzibar ni nchi na dini siyo suala la muungano. Msitake kufanya kila utamaduni wa tanganyika utumike Zanzibar.kama unajijua unauelewa finyu bora ukae kimya Tanzania sio nchi ya kidini