Kuelekea 14 Oktoba: Kwanini Nyerere Day ni kumbukizi ya siku ya kifo cha muasisi, shujaa na mzalendo wa taifa letu na sio kuzaliwa kwake (Aprili13)?

ungeanza kwa kutokumtaja nyerere kwanza,ungeanza kwa kuuliza kwa nini watu mashuhuri zinaazimishwa siku za kufa tu na sio siku zao za kuzaliwa,kwani ukiachana na nyerere huko duniani sijui kama kuna kiongozi yoyote ambaye anaazimishwa siku yale ya kuzaliwa kuacha siku yake ya kifo.
 
Rais Magufuli ni Mzalendo wa kweli na mpaka sasa hana mpinzani.
 
Hawazijui wao au jumuiya ya kimataifa ndio hawazijui? Mimi mbona tarehe yangu ya kuzaliwa ninaijua mkuu? Au wewe ya kwako hauijui?...
Aliyefanya tujue kuwa Nyerere kazaliwa tarehe hiyo ni nani kama sio yeye mwenyewe. ? ndio maana na sisi tukaijua.

mbn tuna mababu zetu hawajui tarehe zao exactly hukisia tu kuwa "me niliambiwa kuwa nilizaliwa kipindi fulani cha nzige",

Ila ku keep tarehe walizokufa ni rahisi kwa siku hzi kutokana na kuwepo na means nzuri za kutunza taarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sanamu ya namba tano itavunjwa ata kabla hakujakuchwa.
 
Wale Mabeberu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau? Kama sio Rais Magufuli madini yetu yasingekuwepo.
 
Mkuu ni vile tu Rais Magufuli anatoa heshima kupita kila jimbo kusalimia Wananchi. Ila hata angekaa ofisini ushindi ni 98%.
 
Tanzania haipo kwenye orodha ya Nchi maskini Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati Naamini miaka mitano ijayo Rais Magufuli ataitupeleka uchumi wa juu.
 
Ccm haiwezi kuiba kura, Rais Magufuli anapendwa sana na Watanzania Pia usije ukamfananisha lowasa na huyo msaliti wa Nchi.
 
madaraja,barabara, umeme nk yanarahisisha maisha kwa kupunguza gharama za usafiri Kwahiyo October tunampigia kura Magufuli kwa 98% Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania.
 
Alipozaliwa hakuwa na impact yoyote katika taifa ila katika umri wake amelitumikia taifa na hivyo siku yake ya kufa inabaki Kama alama ya yale yote aliyoyafanya.
Not sure anyway
 
JKN teacher
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…