Kuelekea 14 Oktoba: Kwanini Nyerere Day ni kumbukizi ya siku ya kifo cha muasisi, shujaa na mzalendo wa taifa letu na sio kuzaliwa kwake (Aprili13)?

Kuelekea 14 Oktoba: Kwanini Nyerere Day ni kumbukizi ya siku ya kifo cha muasisi, shujaa na mzalendo wa taifa letu na sio kuzaliwa kwake (Aprili13)?

Ni wazo zuri mkuu ilitakiwa ungelitoa kwenye maoni ya katiba mpya,hapa sidhani kama wahusika watahusika ipasavyo
 
Tunaenda kivyetuvyetu kama North Korea.
Si unasemaga wewe ni mmarekani? Sasa utakuwaje mmarekani kisha ukajifananisha na North Korea?

Mimi Mmarekani. Sivutiwi na soka.

Niliiacha old world huko.

Wenye hela zao wanafaidi sio kama wewe bahili
Nimetoka kusaidia watoto yatima jana na kuna watu wako hapahapa nimewaanzishia biashara nzuri tu.

Bila ya kuwaomba wapanue miguu.

Kwa hiyo si ubahili, ni kutotaka umalaya tu.
 
Back
Top Bottom