Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...

Halafu bila aibu eti wanakuja kutuomba kura! Hivi wanatuonaje?
Wapinzani wanavyotuona ndivyo CCM inavyotuona na inavyotuchukulia, na sisi wananchi tunaendelea kufanya vile vile kila baada ya miaka mitano, ni unachukua... unaweka ... waa!.
P
 

..Ccm ni Mwenyekiti na genge lake la watu wachache.

..Nyinyi wengine mpo kuwezesha ufisadi, unyama, au ukatili wao.
 
..Ccm ni Mwenyekiti na genge lake la watu wachache.

..Nyinyi wengine mpo kuwezesha ufisadi, unyama, au ukatili wao.
Hapana!, CCM sio watu, sio Mwenyekiti na viongozi na wanachama, CCM ni ideology institution, ndio maana mtashangaa sana kuhusu mgombea urais wa CCM 2025!, umdhanie ndiye, siye!, soma HII
P
 
Wapinzani wanavyotuona ndivyo CCM inavyotuona na inavyotuchukulia, na sisi wananchi tunaendelea kufanya vile vile kila baada ya miaka mitano, ni unachukua... unaweka ... waa!.
P
Asante sana kwa kuvunja mlima huu wa theluji! Wapinzani wasijione wao ni special kwa wananchi!
 
CHADEMA wakijipanga vizuri watazoa kura nyingi sana hasa kura za Wabunge.
 
Tangu lini wewe umetaka Chadema iingie Ikulu?

Amandla...
Mkuu Fundi Mchundo a.k.a Fundi Utumbo Fundi Mchundo ,
Unaweza kusema the motives behind bandiko hili?.
P
 
Mkuu Fundi Mchundo a.k.a Fundi Utumbo Fundi Mchundo ,
Unaweza kusema the motives behind bandiko hili?.
P
Undumila kuwili? Opportunist? Baada ya hapo ukatangaza kwa sauti kubwa kuwa wewe ni kada wa CCM. Hauwezi kuwa kada halafu ukataka mgombea wa urais wa chama chako ashindwe.

Mimi naamini kabisa kuwa mnatambua timu ya Mbowe na Lissu inatishia hegemony ya CCM. Dawa ni kuivunja kwa sababu mnajua taika kuwa Lissu bila structure aliyojenga Mbowe hatafika mbali. Hawa wapambe wa kwenye mtandao watamuacha solemba mambo yakipamba moto. Na CCM itaendelea kupeta.

Amandla...
 
Undumila kuwili? Opportunist?
Naomba kuheshimu mawazo yako.
Baada ya hapo ukatangaza kwa sauti kubwa kuwa wewe ni kada wa CCM.
Ni kweli kabisa mimi ni kada wa CCM ila ni kada Mzalendo, kwangu ni Taifa kwanza, chama baadae, na hili nimelisema wazi hata nilipoomba kuingia Bungeni nilisema wazi, kwanini nataka kwenda Bungeni, na nakwenda kufanya nini
View: https://youtu.be/Qr6j25jFGyI?feature=shared
Hauwezi kuwa kada halafu ukataka mgombea wa chama chako ashindwe.
Kwenye wanachama wa chama cha siasa kuna wanachama mashabiki, wanachama wafuasi na wanachama waumini.

Wanachama mashabiki ni kama mashabiki wa Simba na Yanga, hao ni wakereketwa huwaambiii kitu kuhusu chama chao, ukiwauliza sababu hawana, hawa CCM ikisimamisha jiwe, wanalichagua.

Wanachama waumini,ni wale wenye imani na chama,chama kikiwaletea ujinga wa kuwasimanishia mtu wa hovyo, wanakitosa,na kumchagua mgombea wa opposition!。 Hivi ndivyo alivyofanya Baba wa taifa ile 1995。

Hivyo CCM ilipotuletea ujinga nilihamashisha wana CCM, tuukatae ujinga tuchague the opposition Kinondoni na Siha, tusikubali ujinga huu! hata Mwl. Nyerere alikataa ujinga wa CCM, 1995 akachagua upinzani!

Hivyo hata kwenye urais,CCM ikimsimamisha mgombea asie na uwezo,halafu the opposition wakamsimamisha mgombea safi, Waranzania tunaitosa CCM na kuchagua the opposition!。
P
 
Kuna uzalendo na uzalendo. Ukimpigia debe mpinzani ashinde ubunge nitakuelewa. Lakini sio aingie Ikulu. Nitakuamini tu pale utakapotangaza wazi wazi kuwa huna imani na uongozi wa chama chako kwa sasa hivi.

Amandla...
 
Kuna uzalendo na uzalendo. Ukimpigia debe mpinzani ashinde ubunge nitakuelewa. Lakini sio aingie Ikulu. Nitakuamini tu pale utakapotangaza wazi wazi kuwa huna imani na uongozi wa chama chako kwa sasa hivi.

Amandla...
Kwanza kwenye freedom of expression sio lazima kila mtu kutangaza chaguo lake ndio maana kura ni siri.

Uzuri wangu mimi ni mkweli na muwazi sana, msimamo wangu kuhusu 2025 uko kwenye mada HII

Ila pia nimemtumia ujumbe from time to time kama
Hapa Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?

Na hapa Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!
Na hapa Pongezi Spika Dkt. Tulia umeonesha uwezo na unaweza! Je, tumshauri Dada Mkubwa, ikimpendeza, ampishe Dada Mdogo kwenye lile jambo letu?
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…