Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...

inawezekana neno adui si sahihi nachomaanisha ccm ndio wenye maamuzi ya mwisho wanajidanganya kuwa samia anaweza kuwapa tume huru au katiba mpya hicho hakiwezekani kwa sababu ccm hawataki kutoka madarakani.
Chadema sio tu wanahitaji kumobilize watu bali pia wanahitaji kuwapa mafunzo ya itikadi ya chama chao ili wajitambue kama sehemu ya chama na sio sehemu ya mtu ndani ya chama.
Pia wanatakiwa waandae watu wao kwa ajili ya uchaguzi unaokuja na sio kusubiri wagombea walioshindwa ccm kwenye kura za maoni.
 
Mkuu Mag3, with due respect, wewe ni GT humu, you can't be missing the point hivi kudhani adui mkubwa wa taifa hili ni CCM, CCM haikujiweka yenyewe imewekwa!. CCM haijichagui yenyewe, inachaguliwa hivyo adui mkubwa sio kilichowekwa bali aliyekiweka!. Adui mkubwa sio CCM kilichochaguliwa bali yule aliyekichagua!.
Karibu pande hizi umjue adui yenu halisi ni nani
P
 
Siku zinakwenda, mambo mengi yanabadilika, watanzania wanabadilika lakini hatari ni kwamba mifumo na miongozo ya vyama vingi vya siasa inabaki ileile ya kufanya mambo kwa mazoea.
Mkuu mama D , naunga mkono hoja, umeshauri jambo kubwa sana la msingi.
Naunga mkono hoja, they have to come with something new
Naunga mkono hoja, kahutubieni lakini jengeni local capacity ili hayo mnayohubiri yawe na muendelezo, sustainable, hivyo hata excuse ni umasikini wa chama, tugawane tuu hivyo hivyo huo umasikini, ruzuku ya Chadema ni zaidi ya TZS 100m monthy, then tugawane umasikini!.
Hii inaitwa SMART politics ni hoja zinazotekelezeka, with smart objectives.
Hakuna nchi nyepesi kuongoza na ngumu kuongoza kama Tanzania, ila kizuri na rahisi ni kwamba wepesi wa kuwaongoza watanzania unatokana na mahusiano ya kidugu mtakayokuwa mmeyajenga .
Hili neno!.
Msikurupuke mkawageza chama tawala CCM. Wenzangu hawa wana pa kusimamia tena sio padogo.... hawa wana cha kusemea sababu ndio wenye serikali na ndio watekelezaji wa mipango ya serikali.
Hili ni somo kubwa sana kwa wapinzani, CCM sio wenzao, CCM ndio wenye nchi na ukifika wakati wa uchaguzi, CCM wana cha kuonyesha, hili nililisema ile 2020 Oktoba 28 ni mashindano kati ya Reality vs Ahadi Hewa? Je, Watanzania watachagua nini kati ya visible, tangible Deliverables vs The Empty Promises? halafu huyu mtu mwenye empty promises asiye na chochote cha kuonyesha, anashindwa, anawahamasisha wafuasi wake kuwa alishinda akaibiwa ushindi!, hivyo hawakubali matokeo, hawamtambui rais, hawalitambui Bunge, hawapeleki majina ya viti maalum!. Mashujaa 19 wakagomea ujinga huu, majina yakapelekwa. Ikawa taabu!
Ingieni gharama kujenga vyama vyenu leo na baadae vyama hivi vitawajenga ninyi.
Ushauri huu niliwapa ile 2010 kwenye CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! niliwashauri

Halafu msilalamike kwamba hamna pesa ya kufanya mambo ya msingi sababu hata hayati Mwalimu Nyerere na Karume hawakuwa na pesa lakini walieweza kujenga vyama imara vilivyowaondoa wakoloni na vinavyowasumbua wapinzani hadi leo
Hili neno!
Kama kweli mko kwaajili ya maendeleo ya taifa Amkeni ndugu zangu. Mkiendelea kufanya kilekile kinachowakoseshaga kila uchaguzi mtaendelea kukosa ushindi milele.
Hili neno!
Rais wetu na mwenyekiti wa chama tawala ameshawaambia msisubirie msisubirie 2025 anzeni sasa. Mkumbuke pia na yeye ameshaanza kutetea kiti

Upinzani kwa afya ya taifa💥

Mungu ibariki Tanzania😍🇹🇿🤝
Naunga mkono hoja, Chadema wana mtindo wa kupuuza ushauri!, labda sasa watakusikia na kuzingatia ushauri
Hongera sana kuwashauri wapinzani.
P
 


Tumekuelewa pascal Mayalla💯✔✅✔✅

Wahusika hawataki kutoka jasho kujenga vyama vyao.

Hawajui CCM ilijengwa kwenye misingi imara kiasi kwamba huwezi kuipindua kwa mipango yao hii ya zimamoto
 
Kama Chadema wangefuata ushauri huu, saa hizi zamani wangekuwa wako Ikulu ya Magogoni!.
Mkuu Drifter, honest and genuineness ya mtu inakaa ndani yake, ila pia ni kama ilivyo justice, must not only be done, but must be seen to be done!.

Ushauri honest and bonafide genuine must be seen with naked eyes.
Kama mtu anaye toa ushauri kama huu, unauona ni ushauri wa ki Yuda Eskariote na kuniulizia how many “pieces of silver”?, then naomba niheshimu mawazo yako kwasababu watu hatufanani, and we don't think the same!.

P
 
CCM ndiyo tatizo no moja
Mkuu Ben, Benjamini Netanyahu , karibu pande hizi ili ujue that is where you go wrong and miss the target!.
P
 
Nani amekuambia watanzania ndo huwa wanairudisha ccm madarakani,ccm huwa haihitaji kura yako kurudi madarakani au kutawala nchi bali nikupitia vyombo vya dola,wakurugenzi tiss,madc
 
Mifumo ovu ya nchi ndiyo tatizo na CCM ndiyo wanatake advantage
Mifumo ni kisingizio tuu, it's the numbers that matters, the numbers that counts.
Uchaguzi wetu kura zinapigwa vituoni na kuhesabiwa vituoni, CCM wote wako just 6 million only, jee upinzani ungevuna 20 million votes, hata uibe vipi utaibaje.
P
 
Mifumo ni kisingizio tuu, it's the numbers that matters, the numbers that counts.
Uchaguzi wetu kura zinapigwa vituoni na kuhesabiwa vituoni, CCM wote wako just 6 million only, jee upinzani ungevuna 20 million votes, hata uibe vipi utaibaje.
P
Kwanini mkuu tusitumie mifumo kupiga kura kama Marekani? yaani nikipiga kura niione kura yangu kabisa kwamba imeenda kwa nani
 
..mkimaliza mkumbuke kwamba adui yetu sote ni CCM.
Mkuu JokaKuu karibu mitaa hii.
You are very wrong kudhani adui yetu mkuu ni CCM!.
P
 
Mkuu JokaKuu karibu mitaa hii.
You are very wrong kudhani adui yetu mkuu ni CCM!.
P

..tuko pamoja.

..Ccm sio mimi, wewe, au yule.

..Ccm ni wale walioiweka madarakani.

..wengine wote ni VICTIMS wa Ccm.

..hata wewe uliyelazimika kujitoa akili kutetea, na kujikomboa kwa Ccm, ni victim.

..You were supposed to be free in your thinking, and not look over your shoulder every time you give your opinions.
 
Duh...!.
Hili sio bandiko la thinking, ni bandiko la numbers and it says "numbers don't lie "
Haya bana
P
 
Duh...!.
Hili sio bandiko la thinking, ni bandiko la numbers and says "numbers don't lie "
Haya bana
P

..ndio, " numbers dont lie, " kwamba Ccm ni kikundi cha watu wachache sana wanaoitafuna nchi.

..Je, wewe uko ktk kikundi hicho exclusive, au unavizia makombo tu?
 
....Adui sio CCM, adui ni watu wanaoiweka CCM hapo ilipo!....
Hao Wapinzani walishajua mapema kuwa 'adui' Yao (naively) ni wananchi wa nchi hii ndiyo maana bila huruma, walipiga mbiu ili nchi ikose misaada na mikopo kutoka kwa development partners wetu!!! Ili sisi wananchi tunyanyasike kimasikini.

Halafu bila aibu eti wanakuja kutuomba kura! Hivi wanatuonaje?
 
..Je, wewe uko ktk kikundi hicho exclusive, au unavizia makombo tu?
Mkuu JokaKuu , mimi ni katika wale tulioingia enzi zile za chama kimoja, we had no options you have to join it, hivyo tulipoanza mfumo wa vyama vingi, we had options lakini ukweli ni kuwa chama kwa maana halisi ya chama, chama ni kimoja tuu, the one and only CCM! .
Mimi kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda, sivizii makombo, ni kama kuku tuu wa kienyeji, nachakura.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…