jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Better not leave any stone unturned!Mkuu Mshikachuma, usinione kimya ukadhania nimekula chocho, napitia kwa makini michango, huku nikitafakari,"I'll leave no stone unturned"!.
Ujumbe wangu kwa wapenda mabadiliko,nitaanzisha thread ikihitajika!Lakini musimjibu ndugu zomba kwa namna ambayo itaonekana kana kwamba mnadharau imani za wengine!nakuombeni sana,kuliko kuijibu posti yake,basi muignore!lengo lao yeye na mafisadi wenzake, ni kuhakikisha mnatoa majibu ambayo wataya attribute kuwa ndo maoni ama mwelekeo wa chadema.Tafadhalini sana,igonre zomba whenever you can!Ni ombi!wana wafuasi wengine pia,tafadhali soma btn the lines,na kamwe msitukane ama kudhalilisha imani ya wengine no matter how the provocation is!chadema ni ya watanzania wote!Kama unakubaliana na ujumbe huu,waeleze na wapenda mabadiliko wote!God willing!Inshalah!WE WILL BE VICTORIOUS!
Last edited by a moderator: