Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Sawa sawa, Hawa ni "CERTIFIED LIERS" tena wanafiki, maneno meeeeeeeeeeeeeeeeengi hakuna pointi, wanajizungusha kwa ufahamu wa kucheza na maneno na vijibusara hewa lakini ukiangalia kwa makini maandiko yao mareeeeeeeeefu hayana hata chembe ya msaada, Ni wao wenyewe na wana CCM wenzao ndio wakisoma maandiko yao wanaelewa wanamaanisha nini no wonder why umewaia wachawi, ni kama vile wamejitengenezea ka secrete society ambako wanayoyaandika wanaelewa wao wenyewe. Self proclaimed Great Thinkers.

Nawapa option ya Mwisho kabla sijawacertify kuwa vilaza.
CCM Inatakiwa kubadirika kwa kuacha kukumbatia viongozi ambao wamekwisha bainika kuwa ni Mafisadi, Mfano Lowasa, Chenge, Mkono n.k

watueleze Chadema wanatakiwa kubadirika namna gani, na kwa nini?
Hiyo kitu hata mimi im puzzled,realy dumbfounded!

Maybe mabadiliko ambayo yanaweza kumfanya mgombea wao asiitwe fisadi na chadema?

Juzi hapa Zomba,alianzisha thread akaiweka ile picha ya Lowassa amevaa kanzu na Baraghshia!Na kumwita Sheick!Na kwamba hakuna wa kushindana naye kutoka chadema!

Sasa jiulize kama uislam ni kanzu ama kilemba!Unafiki kitu mbaya sana!Nilijuwa udini huu ni kuficha mafisadi!

Ngoja tusubiri kuambiwa hayo mabadiliko kama tutafanikiwa!
 
Wanafikiri watu wenye vichwa salama wamekwisha JF au pengine wameshanunulika na CCM.Na wamewachota kweli kama ulivyosema,nimeona kuna gazeti limempatia page 2 na hiyo blah blah yake ya "doing right thing & doing things right".Nililinunua njiani nikidhani litakuwa linakaribia mwanahalisi ndipo nikakuta huo upuuzi ilibidi nilichane palepale kabla hata ya kurudi katika gari.

Gazeti limejaa uchafu wa aina ya huyu jamaa+characters anaopenda watumia humu ndani+role models wake.Kuna miwngine kapotez muda sana kuelezea viongozi kukosolewa, basi wao ni Dr.Slaa tuu.Jamaa mmoja akaniambia hilo gazete ni makini na Ulimwengu aliwahi liandikia.Nikauliza mbona haliandikii tena?hapakuwa na majibu nikajua limeshakuwa kama Rai.

Hilo gazeti ninalo mpaka sasa, nimewashangaa sana Raia Mwema
 
Duh! kwahiyo kumbe hii habari imepata nafasi kwenye gazeti?Jamaa yangu mmoja akiitwa "Kuhani" humu, aliwahi kusema Tanzania hakuna press.Na akawa anaitetea hoja yake vilivyo.Nilimwamini kabisa,na ndiyo ukweli wenyewe.Hakuna press Tanzania!Nyakati hizo ndo ile kauli ya "makanjanja" ilipamba moto...

btw ni gazeti gani hilo?
jmushi1
Sio habari hii mkuu, habari iliyopata coverage ktk gazeti la Raia Mwema la Jumatano 12/09/2012 nii hii hapo chini ilianzishwa na Mkandara

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/321050-waraka-wangu-kwa-viongozi-wa-chadema.html
 
Last edited by a moderator:
Pasco,unaweza kutuwekea link ya hiyo thread uliyoitoa comment ya Mzee Mwanakijiji ili tujuwe aliandika in what context?
Pasco said:
quote_icon.png
By Mzee MwanakijijiNitasema jambo moja zito- labda mbeleni nitaliangalia zaidi - ni wagumu sana kushaurika. Wametengeneza cocoon ya kujilinda kiasi kwamba ni vigumu sana kuweza kutoka ndani. Na kama kuna kitu kitakachosababisha waendelee kuwa wapinzani wa kudumu siyo kukosa ushauri au mawazo mapya bali kutokukubali kubadilika.
 
Duh! kwahiyo kumbe hii habari imepata nafasi kwenye gazeti?Jamaa yangu mmoja akiitwa "Kuhani" humu, aliwahi kusema Tanzania hakuna press.Na akawa anaitetea hoja yake vilivyo.Nilimwamini kabisa,na ndiyo ukweli wenyewe.Hakuna press Tanzania!Nyakati hizo ndo ile kauli ya "makanjanja" ilipamba moto...

btw ni gazeti gani hilo?

kweli,mwenyewe si yupo hapa aje abishe nikalitafute tena.Pengine nitakumbuka jina lake (kam sia raiamwema sijui) ambalo hata mchanganyiko wa rangi unakaribia kuwa kama wa mwanahalisi,halafu huwa wanaweka big title kama vile waka kitu bab kubwa.

SI mara ya kwanza niliwahi sema humu ndani kuwa bongo wasomi hawaaminiki,kazi yao ni kuzuia wengine wasiende mbele ,huku nao kwenda mbele hawawezi.Mimi nilipomwambia kuwa jina Mkandara kulichagua na kulitumia linahusiana sana n anachotak akifanya.Baada ya kusoma thread zake na Tabia zake nikajua kuwa anataka pata credibility ya yule ya UDSM.Kitu ambacho kimempiga sana jack.Na hii ni problem sana kwa wasomi wa UDSM haswa wa Political science linapokupa ktk siasa za nchi.Ni wachache sana wana clear understanding ya vitu n aclear way kuviwakilisha kwa wengine.

SI mara moja katika midahalo mazungumzo yanapoanza watu huanza tofauti,ila baadaya muda majina makubwa utaona ndio wanaanza wavuta wengine na kujikuta wana discuss kwa kuviziana kitu kilekile.Ndio maana Nape,Tambwe, hawawezi simama na Vipanga wa CDM.Vijana wa CDM hawana mashaka na wanachokisema wala walichojifunza,kwa hiyo malengo yao na ufahamu wao yanaoendana.Kwa hivyo wano ujasiri kwa kuyasimamia yale wayasemayo.

Mpaka leo hakuna nayejua nchi inafuata mfuo gani wa uchumi na siasa.Wao wanauliza CCM,CCM hawajui wanaendaje.Na kwa vile pale mlimani wamechanganya ujamaa,na mrengo wa kati(usio na misimamo) basi wameingi akatk ulimwengu wa kibepari wakiwa wamechnganyikiwa na wanwachangaya wanafunzi wao.Sasa ni unafiki umebaki huku wanaongelea ujamaa,huku wanataka ubinafsishaji ufanyike vizuri.Hawa clear waya ya kuondoa mgongano wa kifikra
 
Sera za cdm ziko wazi kabisa ndo maana me nikaipenda. Walisema elimu watatoa bure kuanzia primary hadi chuo kikuu, afya bure. Sement mfuko 5000: kupoiga vitas rushwa. Kwsa hiyo wanachofanya cdm sasa iv katika m4c ni kuelimisha wananchi watambue matatito wasliyonayo ni kwa sababu ya uongozi mbovu wa ccm. Tz kunas kila kitu kinachoweza kutufanya tuwe matajiri ila tatizo hakuna utashi wa kisiasa wa kutufanya tufikie huko. So ndo maana ccm inastakiwa ikae pembeni ili tuwaonyeshe namna bors ya kusimamia raslimali za nchi ili kuwaletea wananchi maendeleo
 
kweli,mwenyewe si yupo hapa aje abishe nikalitafute tena.Pengine nitakumbuka jina lake (kam sia raiamwema sijui) ambalo hata mchanganyiko wa rangi unakaribia kuwa kama wa mwanahalisi,halafu huwa wanaweka big title kama vile waka kitu bab kubwa.

SI mara ya kwanza niliwahi sema humu ndani kuwa bongo wasomi hawaaminiki,kazi yao ni kuzuia wengine wasiende mbele ,huku nao kwenda mbele hawawezi.Mimi nilipomwambia kuwa jina Mkandara kulichagua na kulitumia linahusiana sana n anachotak akifanya.Baada ya kusoma thread zake na Tabia zake nikajua kuwa anataka pata credibility ya yule ya UDSM.Kitu ambacho kimempiga sana jack.Na hii ni problem sana kwa wasomi wa UDSM haswa wa Political science linapokupa ktk siasa za nchi.Ni wachache sana wana clear understanding ya vitu n aclear way kuviwakilisha kwa wengine.

SI mara moja katika midahalo mazungumzo yanapoanza watu huanza tofauti,ila baadaya muda majina makubwa utaona ndio wanaanza wavuta wengine na kujikuta wana discuss kwa kuviziana kitu kilekile.Ndio maana Nape,Tambwe, hawawezi simama na Vipanga wa CDM.Vijana wa CDM hawana mashaka na wanachokisema wala walichojifunza,kwa hiyo malengo yao na ufahamu wao yanaoendana.Kwa hivyo wano ujasiri kwa kuyasimamia yale wayasemayo.

Mpaka leo hakuna nayejua nchi inafuata mfuo gani wa uchumi na siasa.Wao wanauliza CCM,CCM hawajui wanaendaje.Na kwa vile pale mlimani wamechanganya ujamaa,na mrengo wa kati(usio na misimamo) basi wameingi akatk ulimwengu wa kibepari wakiwa wamechnganyikiwa na wanwachangaya wanafunzi wao.Sasa ni unafiki umebaki huku wanaongelea ujamaa,huku wanataka ubinafsishaji ufanyike vizuri.Hawa clear waya ya kuondoa mgongano wa kifikra
Hawa jamaa sijui wameenda wapi Pasco nimemwona na nina uhakika kayasoma maswali yangu,ila katokomea!

Ebu fikiria nchi ilipo,halafu kuna wanaotaka tuchaguwe rais solely on ukanda ama sijui dini!?Yani mtu anarudia over and over again eti rais atoke kaskazini,atoke kaskazini only endapo ni wa ccm,halafu anawageukia chadema,anasema wafanye mabadiliko(maybe wateuwe mgombea asiyetoka kaskazini?),very confusing,halafu hayataji mabadiliko hayo na ile ya kusema atoke kaskazini inakuwa haina nguvu endapo ni mgombea wa chadema.Sasa ukimsoma,ukamweka wazi nia yake shaghalabhagala,anabakiwa hana cha kusema.Ukiwauliza maswali magumu,wanaogopa kuwa wataji expose.

Hadi usawa huu,wadini na mafisadi lao moja!Kila mmoja akijificha nyuma ya mwenzake...let's wait and see...
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu fulani nawasubiri watie pua zao tu kwenye mnakasha huu nione watacoment nini....ngoja niendelee kuwasubiri
 
Bora mimi naandika mambo mengi nikidhani nawarahisishia kuelewa,sasa wewe unakwenda kwa precise(short and clear) ndio unawamaliza kabisa.Ulipoweka weka clear kuwa kuna tofauti kati ya "doing right things" na "doing things right",akajibu nika- highlight kwa red na kukuambia umeona walikuwa hawajalewa where you were going.Walikuwa wameshapata kijiwe cha gahawa kama Ponda, kwa hiyo walikuwa wakiflow tuu.
 
LoL! Mkuu Pasco naona sasa unayakimbia maneno yako!!! Uliandika mwenyewe kwamba fisadi Lowassa akiukwaa ULAIS 2015 basi unaweza kuambulia manukato, sasa leo unayakimbia maneno yako.

Magamba bana kwa kupenda ujiko!!! Kulikuwa na sababu yoyote ya kujifagilia nani umemfanyia kazi na mtoto wa nani uko karibu naye?

Hakuna wa kumlaumu kuhusu Pasco alias ....... Ulijianika mwenyewe hadharani siku ile ulipouliza swali kwenye Luninga kisha ukaja hapa nakuandika mie nilimuuliza fulani swali hili. Wanajf ambao walikuwa wanaangalia kipindi kile wakakuibua. Sasa hakikisha tu kadi yako ya magamba si mfu bali iko hai ili fisadi Lowassa akiweza kuchakachua matokeo ya uchaguzi 2015 basi unaweza ukaukwaa hata ukuu wa wilaya kama siyo ofisa balozi katika nchi ambayo utachagua mwenyewe. Nasikia siku hizi kabla ya kupewa ULAJI lazima uonyeshe kadi ya magamba ili wahakikishe kama wewe ni mwanachama hai, vinginevyo itakula kwako.

Weekend njema Mkuu

Mkuu BAK, kusema ukweli, nimecheka baada ya kuisoma posti yako hii, maana ndio kwanza nimemaliza kuisoma post ya Nico, amepiga nyundo za kufa mtu, kufumba kufumbua, nimecheka kwa sababu kumbe kuna ma great thinkers humu wanadhani namfagilia EL ili nipate chochote?.

  1. Kwa taarifa tuu, baada ya Mwl. Nyerere kustaafu, nimemfanyia kazi pale MNF na ni mimi ndie niliyefanya recording yake ya ziara yake ya mwisho nchini kwenye kambi za wakimbizi.Ni mimi ndie niliesafiri nae ule mkutano wake wa mwisho nchini Uswis na hizo footage ndizo the last akiwa on duty, tuliporudi ndipo alianza kuugua!Kwenye familiy level, nimesoma na mwanae mmoja na nilikuwa MC wa harusi ya bintie, hivyo closeness hiyo ingeni guarantee nimuombe anipigie chapuo lolote popote, nipate kijiposti chochote ili nisife njaa.
  2. Kipindi cha Mwinyi nilikuwa on-off on- off ila kama ni kutaka ulaji, ningelobby nisingekosa chochote!.
  3. Ben, kijana wake shule moja darasa moja na alipokuja NY nilipelekwa rasmi Presidential Suite kuwa introduced, hivyo kama ni lobbying, ningelobby niwe anybody!.
  4. Kijana wa JK is a friend tangu pale UD, kabla hata hajaukwaa up presidaa, mahali JK alipotangazia nia kwa mara ya kwanza ni UD, master mind yule yule kijana ambaye sasa ndie master mind wa Membe. Hivi kweli kama nia yangu ni hii njaa ya kupitiliza inayonikabili, kweli ningeshindwa kwenda kwa kijana kumlilia shida angalau na mimi nitoke!.
  5. Kama nilikuwa na connections tangu Nyerere, Mwinyi, Mkapa, na sasa JK, nili lobby chochote, why should i fight for EL ili kuja kuwa anybody?!.
Kuna watu hawaamini kuwa kuna kundi fulani la watu, sisi ni masikini jeuri, yaani tumeuzoea umasikini mpaka kufikia point, tumejiridhisha kuwa umasikini wetu ndicho tulichopangiwa na Mungu ana unaupokea kwa moyo mkunjufu huku ukiwafurahia matajiri kwa utajiri wao Mungu aliowajalia na ndio maana siku zote, huwa nawapiga vita sana hawa hate preachers wetu humu jf kwa kuumwa na roho za chuki, vivu na husda, kwa kila mwenye kautajiri hata kadogo tuu!.

Kwa ufano, usafiri wangu wa siku zote kwenye carrear yangu as a journalist ni boda boda!, usafiri huo ndio nimekuwa nikiutumia siku zote na kwenda nao popote!. Nilishaonywa sana kuhusu hatari za usafiri wa kimasikini hivyo kwa mizunguko yangu sikusikia, siku ya siku, yalinikuta, japo kwa sasa siwezi kuendelea kuendesha boda boda, lakini boda boda yangu nimeipark pale mbele ya kibanda nilichopanga na marafiki zangu wengi wanatamani niwauzie, nimegoma kuiza smply because usafiri wa kimasikini wa boda boda, sio tuu ndio ninaoupenda for convenience, bali ndio most affordable mode of transport kwa sisi watu wa hali ya chini!.

Kwenye CCM nampigania EL kwa nguvu zangu zote kwa sababu naamini ni kwa kupitia yeye, Tanzania itapata ule ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania na pia ili litimie lile neno kuwa "rais wa 2015" lazima atatoke Kaskazini.

Pasco.
 
Last edited by a moderator:
Kaka angu Pasco naona kala chocho....SMG yake imeisha risasi na sasa anakoki zingine ili aje front line tena kwa mashambulizi mapya. Ila jeshi analopigana nalo si mchezo limejipanga kama US ARMY...tunakusubiri kaka Pasco
 
Kuna watu fulani nawasubiri watie pua zao tu kwenye mnakasha huu nione watacoment nini....ngoja niendelee kuwasubiri
Nimesubiri sana hata miye,hii inaonyesha hoja hii ni mfu.Since nina shughuli nyingine,naondoka,ila nitarudi tu hapa kuendelea kufwatilia mjadala huu kuona kama nitapata majibu ya maswali yangu.
 
Nimesubiri sana hata miye,hii inaonyesha hoja hii ni mfu.Since nina shughuli nyingine,naondoka,ila nitarudi tu hapa kuendelea kufwatilia mjadala huu kuona kama nitapata majibu ya maswali yangu.
Mkuu, nawaombeni msicheze mbali maana wakiona mmeondoka wataitana hapa makundi kwa makundi nakuanza kutiana ujinga vichwani huku wakijimwara mwara kwa kutamba kuwa mmewakimbia
 
Jeshi linaloongozwa na Pasco limerudishwa nyuma kama hatua 200 hivi...sasa sijui kama watarudi tena kwenye uwanja wa
mapambano au vipi
 
Hapa naangalia DiscW channel 250 kipindi ni Anatomy Of A Combat Force....hakika kazi wanayoifanya wanajeshi wa Marekani kwenye docomentary hii ni ya hali ya juu na inatisha sana. Naifananisha docomentary hii na thread hii ya Pasco.

Majeshi ya Marekani yakiongozwa na Nicholas yanatoa kipigo cha mbwa mwizi kutoka kila engo. Jionee mwenyewe kupitia channel 250 ndani ya DSTV
 
Hivi chadema itashinda kwa kura za kina nani? wachagga? wako wangapi nchi hii?
Wako wengo tu. Hata mimi mjaluo, mkuria, mnyiramba, mhehe, mdengereko, mgogo, mmakua, mnyakyusa, mhaya na muha tayari nimeshabadilisha kabila kuwa mchagga ili kuichagua CDM 2015.
 
Then, Chadema watakuwa wamekabidhiwa nchi kama Mana!.

kwenu nchi ni kama mana ehe?Nilikuwa nashangaa umepata wapi hii hii equivalency.Pia ujue mana haikuruhusiwa kuhifadhiwa.Waliohifadhi walikuta imeharibika,sasa wanaokulisha wamehifadhi .Sijui unasemaje?Mzee mkono nae kaingia katik game sijui unasemaje?Kitendaliwili kimeshashift ni vipi CCM inasurvive achilia mbalia kushinda.
 
Back
Top Bottom