Sijui kamauna kumbukumbu nzuri kuwa dhana ya kudhani wengine hawajui imepitwa na wakati na haijakusaidia sana.
To be more "efficient" ktk uyasemayo hembu Leta ushahidi kuwa CDM wanawanchama wasiowapigia kura kiasi cha wewe kusema kuwa wingi wa wanachama haumaaminishi kura. Nadhani kuna big picture huitambui hapa.Yaani ushindi wa CCM unaosingiziwa kuwa imewekeza katika watu hauwezi bebwa na idadi ya wanchama wake kwa vile bado ni kidogo ukilinganisha na wanachi wasio wanachama achilia mbali uhalisia na uaminifu wa wanachama. Kwa sasa Hivi CDM wakiweza pata wanachama waaminifu mil 20, tayari ni ushindi.Piga picture hapa ni kwamba CCM wasingeweza tumia watu chini ya mil 7 kuwa ndio ushahidi wa ushindi wao ktk wapiga kura zaidi ya 20mil, ila CDM wanaweza ongeza idadi ya wanachama hadi kufikia idadi ya ushindi.
kingine mbona unaganda sana CDM na huku kila kitu kinakuonyesha kuwa si mwana CDM,kama upo katik CDM ni wazi kuwa wewe ni mamluki tuu.mnafanikiwa na nani,wakati huamini kuwa chama kipo tayrai kuchukua nchi?
CDM wamethibitisha kuwa loyal members kuliko unavyoweza dhani,ndio maana mbowe alisema tutashinda ARUMERU na wakashinda.Bila hivyo angeaibika pale Meru.Sasa wewe hujawa smart kwenye hilo ndio maana una abuse mifano yangu kama unavyoabuse uhandishi wa kweli.Tukipima loyalty ya CDM na CCM utaona kuwa idadi ya wana CDM ina link ya moja kwa moja na Kura.SUniri Daftari lirekebishwe.