Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Hicho ni kile ninachokijua mimi, kwa vile umeamua kukiita ni uongo, eleza ukweli ni nini? Pili onyesha ni wapi nimekutukana? tuache longo longo sasa.
Sawa sawa, Hawa ni "CERTIFIED LIERS" tena wanafiki, maneno meeeeeeeeeeeeeeeeengi hakuna pointi, wanajizungusha kwa ufahamu wa kucheza na maneno na vijibusara hewa lakini ukiangalia kwa makini maandiko yao mareeeeeeeeefu hayana hata chembe ya msaada, Ni wao wenyewe na wana CCM wenzao ndio wakisoma maandiko yao wanaelewa wanamaanisha nini no wonder why umewaia wachawi, ni kama vile wamejitengenezea ka secrete society ambako wanayoyaandika wanaelewa wao wenyewe. Self proclaimed Great Thinkers.

Nawapa option ya Mwisho kabla sijawacertify kuwa vilaza.
Mkuu natoka kifogo tutaendelea baadaye hakuna sababu ya kuhamaki na kutolea watu matuzi hapa tunajadiliana tu.. Kukubali kutokubaliana ni jambo la kawaida kabisa..
 
Unajua sipendi kujadiliana na wewe kwa sababu unahukumu watu na wala husemi mawazo yako. Unahcofanya ni ku quote maneno ya mtu halafu unamshambulia pasipo kueleza ama kuelewa tunazungumzia kitu gani.. Kwa mfano hapa...Sisi tunazungumzia maandalizi ya Uchaguzi wa mwaka 2015 (just ahead) wakati wewe unazungumzia mikutano na maandamano ya kukisambaza chama kwa wananchi vijijini.

Hakuna mtu alosema ni jambo baya tena zuri sana lakini halina maandalizi ya kuchukua nchi ama kuingia IKULU isipokuwa kujenga wanachama zaidi na tunafanikiwa kwa hilo. Wewe mwenyewe umeshakubali kwamba chama hakishindi uchaguzi kwa namba ya wanachama isipokuwa wapiga kura, sasa unashindwa vipi kuelewa nachokisema?..Kama juhudi hizi zingekuwa kampeni za uchaguzi wa mwaka 2015 CCM wasingesika zikipigwa marufuku na unless wewe unafikiri hizi ni propaganda za uchaguzi.

Jaribu sana kusoma hoja nzima na zilizotangulia utaelimika sio kuchota mistari..

Sijui kamauna kumbukumbu nzuri kuwa dhana ya kudhani wengine hawajui imepitwa na wakati na haijakusaidia sana.

To be more "efficient" ktk uyasemayo hembu Leta ushahidi kuwa CDM wanawanchama wasiowapigia kura kiasi cha wewe kusema kuwa wingi wa wanachama haumaaminishi kura. Nadhani kuna big picture huitambui hapa.Yaani ushindi wa CCM unaosingiziwa kuwa imewekeza katika watu hauwezi bebwa na idadi ya wanchama wake kwa vile bado ni kidogo ukilinganisha na wanachi wasio wanachama achilia mbali uhalisia na uaminifu wa wanachama. Kwa sasa Hivi CDM wakiweza pata wanachama waaminifu mil 20, tayari ni ushindi.Piga picture hapa ni kwamba CCM wasingeweza tumia watu chini ya mil 7 kuwa ndio ushahidi wa ushindi wao ktk wapiga kura zaidi ya 20mil, ila CDM wanaweza ongeza idadi ya wanachama hadi kufikia idadi ya ushindi.

kingine mbona unaganda sana CDM na huku kila kitu kinakuonyesha kuwa si mwana CDM,kama upo katik CDM ni wazi kuwa wewe ni mamluki tuu.mnafanikiwa na nani,wakati huamini kuwa chama kipo tayrai kuchukua nchi?

CDM wamethibitisha kuwa loyal members kuliko unavyoweza dhani,ndio maana mbowe alisema tutashinda ARUMERU na wakashinda.Bila hivyo angeaibika pale Meru.Sasa wewe hujawa smart kwenye hilo ndio maana una abuse mifano yangu kama unavyoabuse uhandishi wa kweli.Tukipima loyalty ya CDM na CCM utaona kuwa idadi ya wana CDM ina link ya moja kwa moja na Kura.SUniri Daftari lirekebishwe.
 
Hiyo CCM yenyewe pamoja na kuwa chama kimoja for 21 yrs na kutawala kwa miaka 50 hawana wanachama mil5, unafikri wewe Chadema utaweza kupata vipi mil 20 kwa miaka mitatu.. tukisema you ain't doing things right mnatuona wachawi...
 
Pasco na kaka angu Mkandara, nawaheshimu sana na ninathamini sana michango yenu hapa jamvini...lakini
kwa maoni haya muliyoyaleta hapa jamvini nachelea kusema acha tu niwe msomaji. Mwenye fikra pana acha
guliwi jibu
 
...............................................................................................................................................................

I am puzzled with DEPENDENCE SYNDROME OF OUR TOP POLITICAL ELITES. WHO CAN DO US AWAY WITH THIS SYNDROME?! JE VILE VYAMA VYA UHURU VYA MWANZO KAMA TANU WALIPATA WAPI MTAJI WAO WA KUENEZA SERA NA NIA YA KUWAKOMBOA WANANCHI? JE KUNA KITU GANI KIMEBADILIKA HIVI SASA KIASI CHA WATU KUSHINDWA KUWA MTAJI WA MABADILIKO? NANI HATATUTOA KWENYE UBEBERU MAMBO LEO? JE NI NANI?

I AM IN VIEW THAT CDM SHOULD CONTRAST ITSELF FROM THIS SYNDROME IF IT NEEDS TO LEAD THE NATION TO PROSPERITY WITHOUT EXTERNAL PRESSURES AND INFLUENCES! THIS IS A PUZZLE TO TOTAL LIBERTY. I STAND TO BE CORRECTED.

I SUBMIT!

Mkandara likes this.

Mkandara
Ni nini kimekufanya uipe hii post like wakati inakinzana asilimia mia moja na imani yako ya namna CHADEMA itaweza kushinda uchaguzi mkuu. Post hii inasema CHADEMA inalazimika kutegemea nguvu ya UMA, kitu ambacho wewe unakipinga, ukidai inatakiwa kubadirika kwa namna ambayo inaonekana ni wewe, Pasco na secret society members wengine mnaifahamu.

Kwa nini umeweka post hapa. au na wewe haujui unachokitaka.
 
Hivi chadema itashinda kwa kura za kina nani? wachagga? wako wangapi nchi hii?
Wako wachache sana...... hata maijina yao yanajulikana ni hawa Peter Msigwa, Joseph Mbilinyi, Anton Mbassa, Israel Natse, Godbless Lema, Ezekia Wenje, Highness Kiwia, John John Mnyika, Halima Mdee, ZZK,Tundu Lissu, Machemli, Josh Nassari na wengineo.
 
Ni vyema mawazo ya Pasco yakazingatiwa. Kwa mara nyingine tena naunga mkono hoja zake baada ya ile ya kumsapoti Lowassa. Binadamu tumeumbwa na masikio mawili na mdomo mmoja, busara ni kusikiliza sana na kusema kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Ni vyema mawazo ya Pasco yakazingatiwa. Kwa mara nyingine tena naunga mkono hoja zake baada ya ile ya kumsapoti Lowassa. Binadamu tumeumbwa na masikio mawili na mdomo mmoja, busara ni kusikiliza sana na kusema kidogo.

Mawazo yepi Gerrard. Naomba unafanyie ukarimu japo kidogo, unionyeshe kitu ambacho kinaweza kufanyiwa kazi kutoka kwenye post ya Pasco.
 
Hiyo CCM yenyewe pamoja na kuwa chama kimoja for 21 yrs na kutawala kwa miaka 50 hawana wanachama mil5, unafikri wewe Chadema utaweza kupata vipi mil 20 kwa miaka mitatu.. tukisema you ain't doing things right mnatuona wachawi...

Taratiiiiiiiiiiiiiiiibu unafiki wako unaanza kuonekana kaka. Umeanza kusema "Unafikiri wewe CHADENA" nilitegemea useme "Unafikiri sisi CHADEMA", alafu tena compare "tukisema you ain't doing things right" VS "tukisema we ain't doing things right". Mwana CHADEMA huyo. Kweli ni bora kuishi na mchawi kuliko mnafiki.
 
  1. Kama utaguzi utaitishwa leo, Chadema itashinda kwa kishindo kikubwa cha ajabu, lakini ukiwauliza hao watakaokipa Chadema ushindi, ni sababu zipi za kuichagua Chadema, hawatakupa sababu yoyote zaidi ya kuichagua Chadema kwa sababu wameichoka CCM!.
  2. ili Chadema iweze kupata ushindi wa Tsunami kwa uchaguzi wa 2015, lazima Chadema ikubali kubadilika, isiendelee kuutegemea huu umaarufu wa muda kwa kushangiliwa na umati wa watu walioichoka CCM, bali Chadema sasa lazima iwape Watanzania sababu za kuichagua Chadema.

Hapo juu ndo umejiconfuse mwenyewe mkubwa...

Hayo mabadiliko yaanze kwasababu chadema inapendwa?Maana nilidhani mabadiliko ni kwasababu haipendwi?Ama ulimanisha wafanye mabadiliko ili wapendwe zaidi?Pasco bana!

Ina maana hiyo sababu ya kupendwa na kuchaguliwa kwa kishindo endapo uchaguzi ungefanyika leo haiwezi kuwa sababu ya kuchaguliwa kwa kishindo kwa kupendwa hapo 2015?

Ungesubiri iache kupendwa ndo utoe ushauri huu..Im just sayin!
 
Nakuambia ukiyasoma maandiko ya Pasco na kuyatafakari lazima upungue uzito kwa zaidi ya gram 5 kwa dakika na unaweza kujidharau kabisa
 
Nakuambia ukiyasoma maandiko ya Pasco na kuyatafakari lazima upungue uzito kwa zaidi ya gram 5 kwa dakika na unaweza kujidharau kabisa
Halafu watu siku hizi humu hawafanyi analysis na kuzichambuwa hoja ili wakati mwingine mtu atafakari kabla ya kubandika thread.

Watu wamekuwa hawataki kujishugulisha kufikiri zaidi ya kudandia bandwagons,na wanawachota kweli kweli!Naimiss sana JF ya enzi zile,mtu huthubutu kuropoka kama hujajipanga!
 
Hiyo CCM yenyewe pamoja na kuwa chama kimoja for 21 yrs na kutawala kwa miaka 50 hawana wanachama mil5, unafikri wewe Chadema utaweza kupata vipi mil 20 kwa miaka mitatu.. tukisema you ain't doing things right mnatuona wachawi...

Mukandara looser ni looser tuu.Google ni mfano mmoja wa makampuni yaliyoweza tengeneza hela ktk miaka 5,ambzo makampuni kama IBM wametengeneza kwa miaka yao yote.

Sipati shida kuona kwanini huamini kuw aunaweza tengeneza maisha nje ya CCM, kwa vile wewe ni looser na coward huwezi take risk hata calculated risk tuu,achilia mbali immeasurable one.

Chadema wana spirit of the champions na wana moves za innovators na strategy za Alexander "The Great".They will conquer every political and social area of this nation.

Wakati CCM walikwa wanavaa manguo yao yaliyoshonwa hovyo,chadema wamekuja na nguo zinazovalika, kwa aspects zote(gwanda,T-shirts,skafu etc).Sijui "who is not doing things right".Mkandara inalekea wewe ni champion katk kijiwe chako cha gahawa.
 
Pasco said:
Kwa wale wapenzi wa Chadema, for sure, Uchaguzi wa 2015, Chadema inaweza kabisa Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If "Itabadilika" and provided that CCM haitamsimamisha yule mgombea wangu!. Japo ni vema kuwa great expectations on Chadema kuchukua nchi 2015, only if Chadema itabadilika, vinginevyo keep hopping for the best na kama Chadema haitabadilika, you better get prepared for the worst kwa sababu 2015 itakuwa ni CCM Tena!.
Another confusion ni hii hapo juu,ina maana hayo mabadiliko ya chadema yatakuwa yanaendana na "Huyo mgombea wako"?Huyo mgombea wako asipochaguliwa na ccm basi ina maana hayo mambo yake utayapata kama chadema ikifanya hayo mabadiliko?

Nimechangia hii thread kwasababu naiona kama vile wengi humu wanaiona kuwa ni relevant,so nimekuja kuprove kwamba siyo,unless ufunguke zaidi kuhusu hayo mabadiliko ya chadema ambayo yanafanana na huyo mgombea wako!

if you're confused,dont confuse others...
 
Mukandara looser ni looser tuu.Google ni mfano mmoja wa makampuni yaliyoweza tengeneza hela ktk miaka 5,ambzo makampuni kama IBM wametengeneza kwa miaka yao yote.

Sipati shida kuona kwanini huamini kuw aunaweza tengeneza maisha nje ya CCM, kwa vile wewe ni looser na coward huwezi take risk hata calculated risk tuu,achilia mbali immeasurable one.

Chadema wana spirit of the champions na wana moves za innovators.

Ngoja nione kama Mkandara ataamka tena
 
Halafu watu siku hizi humu hawafanyi analysis na kuzichambuwa hoja ili wakati mwingine mtu atafakari kabla ya kubandika thread.

Watu wamekuwa hawataki kujishugulisha kufikiri zaidi ya kudandia bandwagons,na wanawachota kweli kweli!Naimiss sana JF ya enzi zile,mtu huthubutu kuropoka kama hujajipanga!

Wanafikiri watu wenye vichwa salama wamekwisha JF au pengine wameshanunulika na CCM.Na wamewachota kweli kama ulivyosema,nimeona kuna gazeti limempatia page 2 na hiyo blah blah yake ya "doing right thing & doing things right".Nililinunua njiani nikidhani litakuwa linakaribia mwanahalisi ndipo nikakuta huo upuuzi ilibidi nilichane palepale kabla hata ya kurudi katika gari.

Gazeti limejaa uchafu wa aina ya huyu jamaa+characters anaopenda watumia humu ndani+role models wake.Kuna miwngine kapotez muda sana kuelezea viongozi kukosolewa, basi wao ni Dr.Slaa tuu.Jamaa mmoja akaniambia hilo gazete ni makini na Ulimwengu aliwahi liandikia.Nikauliza mbona haliandikii tena?hapakuwa na majibu nikajua limeshakuwa kama Rai.
 
Duh! kwahiyo kumbe hii habari imepata nafasi kwenye gazeti?Jamaa yangu mmoja akiitwa "Kuhani" humu, aliwahi kusema Tanzania hakuna press.Na akawa anaitetea hoja yake vilivyo.Nilimwamini kabisa,na ndiyo ukweli wenyewe.Hakuna press Tanzania!Nyakati hizo ndo ile kauli ya "makanjanja" ilipamba moto...

btw ni gazeti gani hilo?
 
Kweli hii thread ni ya kisomi....wale wenzangu na mimi wa blah blah wote tumeufyata na tumebaki kuwa wachunguliaji tu. Lakini subiri TUNTEMEKE afungue thread ya kimagumashi hapa' Loh itachangiwa kama
ugomvi
 
Ngoja nione kama Mkandara ataamka tena

teh teh..ataamka tuu.Huwa wanatengeneza member mwingine anaanzisha thread halafu unamwon aten anaibuka kuchangia kwa kutoa pongezi sana halafu anapiga intro na mikasa aliyopata alipotoa idea kubwa kama hiyo.Then ghafla unamwona yupo alive tena, with the same nonsense as if anadai apewe patent.

Huwa hata aibu hana ukimchokonoa anakupigia mbona unaifautafuata.Utadhani uongo ni relative.Yaani kama unategemea eneo,au context au time.Mbona unaitukana,mbona una jazba?
 
Back
Top Bottom