Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #441
Mkuu Uwezo Tunao, watu hawasomi bali kurukia tuu na kuponda!.Dah, ama kweli nchi hii watu wamepagawa na katu hawataki tena kusikia kitu CCM, Kikwete wala wakala wake!!!!!!!!! Mkuu ungetulia kidogo ukasoma hadi mwisho maoni ya Pasco humu pengine marejesho yako yangekua bora zaidi ya hapo chini.
Nchi hii ina makundi maalumu, walemavu wa viungo, wazee, wagonjwa, wajawazito, wanawake. . . .
Hawa wote wanapewa upendelea sehemu moja au nyingine. Waislamu nao ni kundi maalum?
Maajabu, with this attitude ya kutaka favour, mtakuwa wa kupewa ubwabwa na ccm na kuwapigia kura daima dumu.
Jibu ulichoulizwa,acha kutaja taja majina ya watu.Umesoma alichokujibu?Hiyo ndo stahili yako!umeshajulikana wewe ni devil advocate,mdini na mkabila.Tumeshakujuwa huna lako humu.Rudi kwenye id nyingine and still it won't work,sorry,too late.Nakushangaa unafanya mambo yale yale ukitegemea different results,jibu unalo!
"Ukiona chama kinazungumzia ukabila au udini ujue kimefilisika kisiasa, hakifai na kinakaribia kufa" - JK Nyerere
Zomba, mimi si mchaga wala Mkristo lakini navutiwa na sera za CHADEMA. Nimechunguza huounaoitwa uchagga na ukristo na nilipobaini ni taarabu tu za CCM nilichukua hatua. Tupo wengi tu; njoo huku Shinyanga, Mwanza, Mara, Mbeya, Songea, Iringa na sasa Mtwara; kote huko wanaishi wachagga? Zomba usitulazimishe kuamini wewe ni mpumbavu usiyefahamu ni nini kimewapeleka watu CHADEMA. Hata sisi tulikuwa CCM tena makada zaidi yako lakini, kutokana na madudu yaliyomo CCM mapenzi yale yalitutumbukia nyongo na ndiyo maana tumebadilika. Najua wewe kamwe hautabadilika kwa sababu ni mmoja wa wale waliosheheni huko na ambao CCM imewakumbatia..... Huwezi zisoma alama za nyakati kwa vile umefunikwa na blanketi zito la unono wa ufisadi wa CCM. Pole!
From: Ali Rashid <alirashid121@yahoo.co.uk>
To: "slaa@chadema.or.tz" <slaa@chadema.or.tz>
Cc: "zitto@chadema.or.tz" <zitto@chadema.or.tz>; "johnbukuku@gmail.com" <johnbukuku@gmail.com>; "saidarfi@chadema.or.tz" <saidarfi@chadema.or.tz>; "issamichuzi@gmail.com" <issamichuzi@gmail.com>; "mjengwamaggid@gmail.com" <mjengwamaggid@gmail.com>; "balozi@tanzania-online.gov.uk" <balozi@tanzania-online.gov.uk>
Sent: Tuesday, 7 August 2012, 15:33
Subject: : Yah: Uzinduzi wa Tawi la Chadema-London Kwenye Bar(Pub).
Kwako Mheshimiwa Katibu Mkuu wa Chadema Bwana Slaa.
Napenda kuleta kwako maoni yangu na Waislam wenzangu waliopo hapa Uingereza kwa kitendo cha Chama chako kuamua kufungua Tawi lake hapa UK Ndani ya bar ikiwa ni kipindi cha Mwezi wa Ramadhani.
.
Ni Jambo jema na zuri kwa chama chako kuwa na Matawi nje ya nchi kama ulivyofanya hivi karibuni nchini marekani lakini kwa hapa Uingereza ambapo uzinduzi wake utafanyika Leo majira ya saa mbili usiku takriban masaa saba kuanzia muda huu.
Kuna Mambo kadhaa ambayo yanatuweka kwenye wakati mgumu hasa sisi Waislam ambao tuko kwenye Mwezi mtukufu wa Ramadhani kwani shughuli yenyewe inafanyika Bar na hata muda wa kufuturu kwa wale tuliofunga ndio muda huo huo ambao shughuli hiyo itakuwa ikifanyika Kwenye Bar ya Thatched House maeneo ya East london...
Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...m-wamwandikia-barua-dr-slaa-kulalamika-6.html
Mkuu JOASH MUSSA, umesema jambo la msingi sana, uchaguzi wa serikali za mitaa ndio ulikuwa udhaifu mkubwa wa Chadema 2010 na ni part and parcel on doing things right, kabla hata uchaguzi wa serikali za mitaa haujafanyika rasmi, CCM tayari ilikuwa imeisha shinda 68% bila kupingwa!.Sio tu kuchukua Nchi, (Urais) kuna wabunge na Madiwani CHADEMA inatakiwa kuweka zaidi mkazo hapa kuhakikisha inapata over 60% of member of Bunge ili na madiwani wa kutosha ili kuunda almashauri nyingi na kuwa na uhakika na Waziri Mkuu pamoja na Spika, Urais ni simple, Tume huwa inasubiria matokeo ya majimbo wakishaona wamepata more ndio wanatangaza Urais
Mkuu Msnajo, asante sana!, haya ndio maneno, sina cha kuongezea, mwenye masikio na asikie!Kaka hapa umeongea kile kile alichosema Pasco kuwa wananchi wataichagua chadema coz wameichoka ccm na sio kwamba chadema watakuwa wamewaambia wananchi watakachowafanyia!! Uko very right kuwa chadema itachaguliwa sababu ya ccm kutotekeleza ahadi zake, na watu wameichoka. Chadema wameshauriwa kuwa; pamoja na umaarufu unaoshika kasi, wajipambanue zaidi kuwa watatenda nini! Hapa watakuwa wamejiimarisha zaidi ili tusijekujuta kwa kuichagua.
Mungu ibariki Chadema, Mungu ibariki Tanzania!
Mkuu Kilaki, unachosema ndio hatari kubwa inayoinyemelea CCM, kumbe na wewe utaichagua Chadema, sio kwa kuwa umechoshwa na CCM kama chama, bali umechoshwa na upuuzi unaofanywa na viongozi wa CCM!.hatutaichagua chadema kwa kua tumechoshwa na ccm ila tutafanya hivyo kwa kua tumechoshwa na upuuzi unaofanywa na viongozi wa ccm.
kila kizuri wamejilimbikizia wao na kuwaachia wananchi ahadi zisizotekelezeka.wamefanya hivyo kwa miaka mingi kwa kua wananchi hawakua wanajua kilichokua kinaendelea kwenye sirikali ila kwa sasa sirikali imekua ukweli na uwazi na kuwaumbua bila kificho vigogo wa nchi hii.
all in all watu wanataka utendaji uliotukuka kama wa john mnyika,zito zuberi,tindu lisu,mbowe silaa na wengine wengi kama akina lema na ndesamburo.:flypig:
Pasco bana kwa kumix madawa ama sijui ni kujiconfuse ama kuwaconfuse watu?Mkuu Msemaji Ukweli, nimwaambia Chadema ili waingie Ikulu ile 2015, lazima kwanza mambo mawili yafanyike.
1. Wabadilike
2. CCM isimsimamishe yule mgombea!.
Sasa Chadema, hata wakibadilika vipi, kama 2015 CCM itamamisha "yule" mgombea, then Chadema inapigwa chini kwa kishindo na bila huruma, ngoma inakuwa ni CCM tena. Hili nimelisemea hapa!.Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa, Then ...
P.
Mkuu Njopy, kwanza nichukue fursa hii kukukaribisha jf, nimekufuatilia tangu ulipojiunga, hii ndio post yako ya pili baada ya ile uliyo post June 21, yaonyesha wewe pia ni great thinker maana bado mgeni halafu unamwaga nondo za kufa mtu!.Ni kuzuri tunapo kwenda kuliko tuliko to. Kwa sasa naona kimetokea chama cha upinzani cha ukweli kinacho fanya chama tawaka jujise usingizi.
Nakubaliana na walio tangulia kuwa uwezekano wa CDM kuchukua nchi uko pale kinacho subiriwa ni muda tu. Tukifikia hapo watanzania tutakuwa tumefikia kiwango kizuri sana kisiasa. Kwani tutakuwa tumefikia,uwezo wa kumpima mtu na kufanya maamu ya kusema huyu anafaa na huyu hafai.
Kwa ufupi kila chama nia yake kubwa, kulongoza dola, wanafanya lolote wawezalo kuongoza dola, wale walio kwenye dola walitakiwa kuwa na nguvu ya kuwamaliza hawa wano taka dola kivitendo, na sio kutumia mabavu au nguvu. Vitendo pekeyake vingewakata kelele wanao wania dola. Lakini kwa wale walio komaaa kisiasa( Tanzania tunapoelekea) Yule aliye kwenye system akikosea huwa anabadilishwa ili basi aingie yule aliye jipanga tayari. Kwani inawezekana tayari aliye kwenye system ameshaishiwa technique. Akae pembeni ajipange ili nae aje na mbinu mpya ya kuendeleza nchi. Hivi ndivyo walio endelea wananyo fanya.
Kwa Tanzania yetu ya leo, kila kona kumeoza, hakufanyi vizuri. Hii maana yake nini, inawezekana mfumo ni mbovu unaoongoza, na hawataki kubadilisha kwani unawapa wale walio kwenye system nafasi ya kuvimbisha matumbo yao. Lakini pia mfumo unaweza ukawa mzuri unakosa usimamizi. Kwani aliye pale ni mtoto wa refikiyangu mkubwa, aliyepale ni class met wangu, aliye pale ni mtoto wa kigogo, ndie aliyenifanya mimi niwe hapa nilipo, hivyo inabidi nilipe fadhira na mambo kama hayo.
Kwa ufupi kila kitu hakiendi kwaajili ya mtandoa. matokeo yake hali ya maisha inazidi kuwa ngumu kwa Mtanzania mmojammoja kadri siku zinavyo kwenda. Badala ya kuboreshwa. Kiasi kikubwa cha National Cake inaliwa na wachache wanao ishi maisha ya kifahari, kunyanyasa watu na kodi za watanzania, kwa ufupi wanaishi maisha ya kifisadi baada ya kufisadi pesa za watanzania.
Msingi wa mabaya yote haya ni kuwapo kwa kuto wajibishwa kwa wale wano haribu,mianya ya rushwa isiyo kemewa hata kidogo na viongozi wa juu kabisa wa serikali. Badala ya kuwa bana wala rushwa wakubwa( big fish) wana kimbiza na wanao toa shilingi elfu kumi kwa polisi. kukosekana kwa maadili ya uongozi na ubinafsi wa viongozi unopelekea kusign mikataba ya kishenzi isiyo na tija kwa watanzania,ila kuvimbisha matumbo yao. Kuwaandam wasema kweli kwa wananchi na kuwauwa( mfano Mwandishi waaabari aliyeuwawa)
Kwa upande wangu kuna kila sababu ya kuwapumzisha hawa walio serikalini kwa sasa na kujaribu wengine ili hawa nao warekebishe makosa yao wakiwa nje ya system. Kuna mazuri waliyo janya lakini kwa sasa wameshindwa kabisa kuiongoza nchi yetu. Tuna shindwa hata na nchi jirani ya Rwanda, ni nchi ndogo sana ukilinganisha na tanzania, lakini ni nchi ambayo tunaweza inuongozi ulio tukuka. Kwani Hauwezi kuzungumzia rushwa Kwannchi kama ya Rwanda. Tofauti ya mwananchi wa kawaida na waziri wa Rwanda ni ndogo sana. Hii ni ndoto kwa serikali ya sisiemu kufanya hayo na sela zake za kuleana na wana mtandao.
nakubaliana kwa asilimia mia kuwa chadema wanatakiwa kuingia kwenye system ili watoe haya matatizo kuliyonayo. Tunataka tufikie kiwango tumeondoka na swala la mafisadi na swala la rushwa, pia mtandao wanao rudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu.
Watakapo kosea pia tutaweka wengine wenyenia ya kuongoza nchi yetu tukufu.
Ukweli ni kwamba sisiemu imeshindwa kabisa kuongoza nchi hii. Wameweza toka tulipotoka mpaka sasa, lakini huku tunapokwenda hawawezi, kikilichobaki ni kuanza kuuwa watu wanaofikisha ukweli kwa wananchi. watauwa watu wengi sana kama hawatatoka madarakani. kwani hawana democrasia ila ubabe tu. Kuna profesor mmoja wa chuo kikuu alisema wala tusishangae hili. ukweli ni kwamba nyama vyote vilivyogombea uhuru kwa hali arisi havina democrasia. Ndio maana wakitoka madarakani huwa vinakufa vyote. Mpaka sasa vilivyo baka katika Afrika nzima vinaesabia.
Mkuu J Mushi, kumbe hata wewe unanielewa kwa shida!, nakushauri nichukulie hivyo hivyo kufikia 2015, utakuwa umenielewa!. Hili la EL, ma gtreat thinkers wa ukweli walishanielewa ndio maana hutawasikia tukibishania, nawe yoi will grow, with time utakuwa mkubwa in your mind kufikia level ya kunielewa, meanwhile nielewe hivyo hivyo na tuendelee na safari!.Pasco bana kwa kumix madawa ama sijui ni kujiconfuse ama kuwaconfuse watu?
Hiyo namba mbili kwamba ccm "ikimsimamisha yule mgombea",basi ni mojawapo ya sababu ya chadema kushinda,sababu hiyohiyo umeilezea tena kwamba wakimisimamisha huyo mgombea pia chadema watashindwa uchaguzi.Umeona unavyomix madawa hapo?
We kwa unafiki bana,mtu anayekufikia kwa karibu kidogo ni Maggid!goodluck na great thinkers wako waliokuelewa mnafiki mkubwa kabisa!unaplay double standards halafu unaclaim kueleweka na ma great thinker.Mimi ninavyofahamu,wangekuja hapa kusema kama wamekuelewa kweli halafu wawaeleweshe na wasioelewa,hao ndo nitawaita magreat thinkers,ambao ninafahamu hizo ndo tabia zao za kuelewesha watu.Great thinker ni yule asiyetumia nguvu kubwa wala maneno mingi kuelezea jambo no matter the complexity!usifanye wote wajinga humu!Siyo kila mtu ni mfwata mkumbo no matter nani kakupigia makofi,huijuwi JF vyema bado wewe,ama pengine huijuwi JF iliyokuwepo,ambayo ina wasiyodandia bandwagons hovyo hovyo.Mkuu J Mushi, kumbe hata wewe unanielewa kwa shida!, nakushauri nichukulie hivyo hivyo kufikia 2015, utakuwa umenielewa!. Hili la EL, ma gtreat thinkers wa ukweli walishanielewa ndio maana hutawasikia tukibishania, nawe yoi will grow, with time utakuwa mkubwa in your mind kufikia level ya kunielewa, meanwhile nielewe hivyo hivyo na tuendelee na safari!.
Usifikiri, sijakujibu yale maswali yako, no, kila hija zitajibiwa ila ni bado tuu sijakufikia!.
P.
Mkuu J.Mushi, I grant your wish, to cut the long story short, majibu yangu kwa maswali yako, nimeshakusaidia kuyapima, nimesha yadhibitisha kuwa hayatastahili wewe kuendeleza mjadala huu!,(maana yake sita yajibu, its wastage of my precious time).Pasco ni bora uwape ushauri huo magamba wenziyo,maana hilo la kumsimamisha mgombea wako lime trump everything!Kwamba chadema hata wabadilike vipi,nyie mkimsimamisha Edward Lowassa,basi chadema haina lake.Sasa unawaambia wabadilike huku wakiomba Mungu Lowassa asiteuliwe na magamba kuwa mgombea urais,halafu unauita huu ndo ushauri.
Ni mtu mjinga tu ndo hatojuwa nia yako ni kitu gani.Ninaahidi sichangii hapa tena hadi unipe yale majibu.Na pia nitayapima kama yanastahili kuendeleza mjadala,otherwise goodluck na mjadala mwema.
Nilidhani tumesha agana?, haya tuagane tena, thanks kwa kuchangia, Jumapili njema!.We kwa unafiki bana,mtu anayekufikia kwa karibu kidogo ni Maggid!goodluck na great thinkers wako waliokuelewa mnafiki mkubwa kabisa!unaplay double standards halafu unaclaim kueleweka na ma great thinker.Mimi ninavyofahamu,wangekuja hapa kusema kama wamekuelewa kweli halafu wawaeleweshe na wasioelewa,hao ndo nitawaita magreat thinkers,ambao ninafahamu hizo ndo tabia zao za kuelewesha watu.Great thinker ni yule asiyetumia nguvu kubwa wala maneno mingi kuelezea jambo no matter the complexity!usifanye wote wajinga humu!Siyo kila mtu ni mfwata mkumbo no matter nani kakupigia makofi,huijuwi JF vyema bado wewe,ama pengine huijuwi JF iliyokuwepo,ambayo ina wasiyodandia bandwagons hovyo hovyo.
Nilidhani tumesha agana?, haya tuagane tena, thanks kwa kuchangia, Jumapili njema!.
P.
Mkuu Mkandara, hili la viongozi wa Chadema kurudi humu kuendeleza mijadala ni gumu, kwa sababu jf hii ya sasa sio jf ile, enzi zile kulikuwa na mijadala watu wakibishana kwa hoja na lugha za heshima na staha, sasa watu wanabishana kwa viroja, dharau, kebehi na matukana ya kila aina!. Mfano nimencheki Dr, post yake ya mwisho ni April, Zitto angalau anapita tuu kuperusi. Humu ndani sasa ni utoto mwingi, ujinga mwingi, kunyoosheana vidole kila kukicha, hivyo watu very serious, wanaona its a wastage of time ila naamini hoja zako zimefika,kuna watu makini type ya JJM haya watayazingatia!.Umenigusa sana mkuu wangu na bila shaka wamekusikia.. zamani kabla ya Uchaguzi wa mwaka 2010 lazima ungemsikia Zitto, Mnyika, Au Doctor wakiingia hapa na kuanza na sisi kutupa darsa lakini nashangaa saa siku hizi tumebakia watupu. najiuliza kulikoni?..maana utawasoma wanazi tu hapa JF kila mtu akizungumza lake na ndio maana hadi sasa tumebakia hatuna majibu kwa Pasco.
I wish viongozi hawa watarudi JF na kuendelea pale walipoachia, maana yawabidi wakumbuke vizuri sana kwamba Chadema imejengwa na JF kwa michango mbalimbali ya wanabodi iwe wa CCM, CUF, Chadema au wale wenye machungu tu na kupotelewa dira. Tena ninayo orodha kubwa sana ya watu ambao hawana uanachama wala fikra za Uchadema isipokuwa Wazalendo wenye uchungu na nchi hii.
Uzalendo wao ulowasukuma kuitazama Chadema kama chama kilichopo ktk nafasi nzuri sana ya kumwondoa CCM na moja ya sababu kubwa ilikuwa kwamba viongozi wake walikuwa karibu sana na wananchi, wasikivu na wenye kutembelea vijiwe kama hivi kuelewa Watanzania wanataka nini.. Lakini ndio dunia wengine tukisema tunapachikwa jeuri na ukaidi...
Kumbe kuna watu humu wanataka likes, hivyo sasa likes zangu ndio huzitaki!.wala likes zako za kinafiki sizitaki!