Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

ikifika 2015
Dresalaam itakuwa jiji jipya
lenye flying overs na mabasi yaendayo kasi
na daraja kigamboni

CCM watalitumia hili kama ahadi kwa majiji mengine
na Kikwete hatakuwa mgombea

CHADEMA wana mlima wa kupanda

Groan!
 
Tatizo la hawa wa upinzani wananunulika, wote ni njaa ndio imewapeleka kwenye siasa, hakuna hata mmoja asienunulika,wanavuta muda ili fungu liwe kubwa. Tanzania hakuna upinzani. Kuna wapigania matumbo tu.
 
2015 ndio mwisho wa CDM,Lakini msiwe na wasiwasi na babu yetu mzee slaa, 2015 lowasa atampa ka ukuu wa wilaya na yeye ajipatie kula.
 

mkuu Mkandara, apo palipopigiwa mstari nadhani hasa panalenga sera mbadala ambazo CDM wanazo zinazoonyesha kwa wananchi ni kwa nini waichague CDM 2015. Sasa nguvu zielekezwe kuelimisha wananchi na kuwapa sera za ukweli za CDM ambazo zinalenga moja kwa moja kwa wananchi ambao ndo walengwa wakuu.
eg 1.CCM wameshindwa kutatua tatizo la ajira, je CHADEMA wanasera gani katika suala la ajira? akuangalia sahivi wajiri wengi wanashirikiana na uhamiaji katika kupokea rushwa na kutoa workpermit ili kupitisha watu kutoka nchi zingine na wengine hawana uwezo kabisa kiutendaji (refer vodacom saga) na kule kwenye hospitality industry. Unajikuta unaletewa makaburu ambaye unamfundisha kazi then after two week ndo anakuwa boss wako.

2. Sasa hivi nchi ipo katika kipindi cha ufisadi mkubwa ambao CCM na washirika wake amabo ndo wanaiongoza nchi hakuna wa kumfunga nyani kengere. JE CDM wanamikakati gani ili kupambana na ufisadi ambao ata ndani ya CDM kwa namna moja ama nyingine unaweza kuwemo?. Kumbuka sasa hivi CDM inajiandaa kupokea mamluki wengi tuu kutoka ccm na kila mmoja anakuja na akili yake na malengo yake, je wote wanakuja kwa ajili ya maslahi ya wananchi?

3 kuna suala la uwajibikaji na kiutendaji kutokana na kurithi mfumo mbovu wa kikoloni na application of DEVIDE AND RULE STRATEGIES (udini, ukanda,ukabira)ambazo zinapigiwa zumali sana na CCM juzi CUF nao naona waliingia mkenge. ni muda muafaka sasa kwa CDM kujipambanua kikamilifu hasa kwa wananchi sije ikawa ya ""IF U DONT CONVINCE THE CONFUSE THEM"" na mangineyo mengi ambayo yanabidi yazingatiwe kwa umakini zaidi.

VIONGOZI wazingatie sana kuwaeleza wananchi sera mbadala, we need changes!!!!!!!!!!







sisi sote ni ndugu tatizo ni ccm
 
Mkuu Pasco kwa muktadha huu tuhesabu Lowasa kesha dondokea pua?
Dah na zile 10m anazotoa bora asitishe tu aendelee kula na wajukuu.
Mkuu Fidel, just read me in between the lines, 2015, Chadema kuchukua nchi only if 1. Watabadilika 2. CCM haitamsimamisha mgombea wangu!.
 

sasa hilo povu lolote mdoni la nini? Acha woga tulia wewe
 
Sio tu kuchukua Nchi, (Urais) kuna wabunge na Madiwani CHADEMA inatakiwa kuweka zaidi mkazo hapa kuhakikisha inapata over 60% of member of Bunge ili na madiwani wa kutosha ili kuunda almashauri nyingi na kuwa na uhakika na Waziri Mkuu pamoja na Spika, Urais ni simple, Tume huwa inasubiria matokeo ya majimbo wakishaona wamepata more ndio wanatangaza Urais
 
Pasco, naona umeamua kuwatekenya wafuasi wa Chadema, usiwapake mafuta kwa mgongo wa wa chupa waambie tu ukweli tatizo kubwa la Chadema ni.




 
Last edited by a moderator:
majebere kwa nini uiongelei TLP na unaiongelea Chadema? hivi kuna binadamu mwenye akili timamu akatokwa na mipovu kama wewe kwa kitu ambacho siyo threat kwake!!?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu the One, nimeipenda sana objectivity yako, M4C imeshalijua hili kuwa target na focus ni "watu", zile hit single ya Mwembeyanga "list ya Mafisadi" imevuka platinum 5, na wimbo wa "CCM Haikufanya hiki na kile" ni sigtune, sasa Chadema need to do more kwa kujielekeza itafanya nini and how?!.
 

mkuu zomba wewe unataka kuaidiwa kama muislamu mtanzania JAMANI POMBE YA UDINI HAITAKUFIKISHA POPOTE DHAIDI YA KUJIHARIBIA
 

Good kama haya yanatoka moyoni mwako inapendeza sana, my dought wewe ulishajipambanua sana hapa jamvini kwamba ni mfuasi wa lowassa.
:focus:
Inapendeza kama mpambanaji wa ukweli kuwa na mapungufu yake ambayo akiyazingatia yanamvusha mbele zaidi katika kupambana. Niliiona ratiba ya M4C kuna kipengele cha muda wa tathmini after battle, ni huo muda viongozi na makamanda inabidi waelezane ukweli bila kuangaliana usoni ili kuweza kurekebisha tofauti za ndani ya chama ambazo zipo na zitakuwepo na zitaendelea kuwepo because sisi banadamu hatupo kamili ( hujafa hujaumbika).

tukumbuke ccm hilo suala la kuelezana ukweli halipo but ni zidumu fikra za fulani!!!!!!!! tupige bao sasa.




sisi sote ni ndugu tatizo ni ccm
 
Akili yako ndogo kama piriton i.e. 1kB
Hivi chadema itashinda kwa kura za kina nani? wachagga? wako wangapi nchi hii?

sure kabisa, Sugu mchaga, Lissu mchaga, Slaa mchaga, Zitto mchaga, Wenje mchaga, Silinde mchaga, Mnyika mchaga, Opulukwa mchaga, Shibuda mchaga,Arfi mchaga.
 

Kaka hapa umeongea kile kile alichosema Pasco kuwa wananchi wataichagua chadema coz wameichoka ccm na sio kwamba chadema watakuwa wamewaambia wananchi watakachowafanyia!! Uko very right kuwa chadema itachaguliwa sababu ya ccm kutotekeleza ahadi zake, na watu wameichoka. Chadema wameshauriwa kuwa; pamoja na umaarufu unaoshika kasi, wajipambanue zaidi kuwa watatenda nini! Hapa watakuwa wamejiimarisha zaidi ili tusijekujuta kwa kuichagua.
Mungu ibariki Chadema, Mungu ibariki Tanzania!
 
Wimbi hili la mabadiliko M4C ni kubwa sana na kwa mtazamo huo lazima lizae ushindi wa kishindo.Kwa muda huu uliobaki kufikia 2015 CHADEMA ni lazima wajipange namna ya kuwapa kile ambacho Watanzania wanakitegemea.Mojawapo ni kuondoa hii tofauti kubwa iliopo ya kima cha chini cha mshahara na kile cha juu.Muonyeshe ninyi ni tofauti na CCM,mujitofautishe kwa kuwajali Watanzania katika kugawana sawa rasilimali zilizopo hapa nchini.
 
hatutaichagua chadema kwa kua tumechoshwa na ccm ila tutafanya hivyo kwa kua tumechoshwa na upuuzi unaofanywa na viongozi wa ccm.
kila kizuri wamejilimbikizia wao na kuwaachia wananchi ahadi zisizotekelezeka.wamefanya hivyo kwa miaka mingi kwa kua wananchi hawakua wanajua kilichokua kinaendelea kwenye sirikali ila kwa sasa sirikali imekua ukweli na uwazi na kuwaumbua bila kificho vigogo wa nchi hii.
all in all watu wanataka utendaji uliotukuka kama wa john mnyika,zito zuberi,tindu lisu,mbowe silaa na wengine wengi kama akina lema na ndesamburo.:flypig:
 
Kwa hiyo unachotaka ni kwamba CHADEMA waanze kutoa ahadi za kujenga madaja? barabara? masoko n.k? or else toa sample la suluhisho ambalo unategemea CHADEMA walifanye sasa japo kidogo tu.
Mkuu 2nataka sera mbadala ambazo CCM wameshindwa kw miaka 50 sio CHADEMA Kusema CCM IMESHINDWA HIKI NA KILE BILA KUSEMA CHADEMA KUTOA SULUHSHO MBADALA UKTAKA KUHAKIKI HILI NENDA VIJIJINI KW WANANCHI AMBAO HAWAJUI UFISAD WANATAKA SULUHISHO LA MATATIZO YAO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…