Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!



Mkuu ukitaka kupunguza pressure jifunze kuchukulia mambo in a positive way.
Umemjibu pasco kwa busara but kuna chuki ndani yake, mimi ni mwanachama wa chadema so ikitokea mtu kakunyoshea kidole jiulize tuu kwanini? then unaangalia kama lina manufaa ama la kama halina unalitupilia mbali, kumbuka sio kila ushauri una madhara kwako unaweza utupilia mbali. Viongozi wote ni binadamu kama sisi tukubali kukosolewa then watch our back!!!.




sisi sote ni ndugu tatizo ni ccm
 

hivi nikikuuliza useme ni ushauri gani uliotolewa unaweza kujibu, kama ndivyo basi na mimi nakushauri wewe ujirekebishe na ubadilike la sivyo hutapata maendeleo
 
Hivi chadema itashinda kwa kura za kina nani? wachagga? wako wangapi nchi hii?


Jumlisha wachaga wote wa Mbeya, Mwanza, ubungo, Kawe, Arusha, Arumeru, na kwingine kote ambako Chadema wamekula majimbo yaliyokuwa ya CCM utapata jibu... sawa?
 
Wanabodi,
.......
.Kasi ya Ajabu kuelekea Direction ya Mabadiliko (The Wind of Change, is Sweeping Across Tanzania) na kila dalili inaonyesha na kuelekeza Chadema is gaining momentum and there is to stop it kuchukua nchi mwaka 2015.....
Mkuu Pasco , inshort, hiyo statement hapo Juu ungeiita M4C ungeeleweka zaidi.
 
Mkuu Pasco , Here under are my Comments
Wanabodi,
 

Mhe. Pasco,

Thread yako ni sahihi kabisa ingawa katika maelezo yako umejichakachua mwenyewe!

Maelezo yako yananipa shaka kuwa ulichokisema kuhusu CHADEMA kicchukua nchi hakitoki moyoni kwa vile tayari wewe ni mkereketwa,mfurukutwa na mwanachama wa Chama Twawala-CCM. Tayari unadai kuwa ndani ya CCM tayari una mgombea wako ambaye kama hatapendekezwa kugombea Urahisi ndiyo CDM watashinda.....Only If.!!!!

Kwa maana hiyo Pasco wewe tayari una mgombea wako wa CCM akipendekezwa unahakika chama chako Twawala CCM-kitapeta GE 2015. Haya ni mawazo muflisi na mfu kabisa yenye mwelekeo wa ki-Magamba. Kwamba wewe na CCM ni damu damu. Hii inadhihirisha kuwa iwapo CDM watachukua nchi kwako itakuwa ni huzuni kubwa sana na kwa maana hiyo nina hakika utakuwa tayari kufanya Kampeni za chinichini ili kuihujumu CDM hata kama mgombea wako hatakuwepo! Kwako bwana wewe kuchagua kwako unaangalia MTU FULANI binafsi badala ya kuangalia SERA za chama.Huu ni mtazamo potofu!

Kwa watu makini siku zote watachagua SERA na siyo MTU!Let'e me tell you my friend Pasco wewe hata kama MTU wako atapewa nafasi ya kugombea Urahisi kwa tiketi ya Magamba he won't bring any changes to this country provided that the aspirant shall be from within the ruling Party Chamacha-CCM. Mtu au kiongozi binafsi hata kama angekuwa bora kuliko malaika HATAWEZA KUFANYA CHOCHOTE KWA TIKETI YA CCM KWA MAANA KWAMBA HATAWEZA KUANZISHA SERA ZAKE MWENYEWE NJE YA ZILE ZA CCM AMBAZO NDIZO ZITAMWELEKEZA KUTAWALA/KUONGOZA NCHI!Full stop!

Pengine nimalize kwa kusema kwamba CHADEMA wana hakika ya kushinda Uchaguzi 2015 kama Tanzania by 2014 kabla ya GE-2015 tutakuwa tayari tunatumia Katiba Mpya yenye Tume Huru ya Uchaguzi (NEC)! Kumbuka kwamba CHADEMA kwenye Uchaguzi Mkuu 2010 walishinda kwa kishindo lakini NEC chini ya uongozi wa Jaji Lewis Makame wakishirikiana na TISS(UWT)waliamua kuchakachua matokeo ili kuinyima CDM na kuwapa Mabwana zao CCM!!!

Kwa sasa ni dhahiri inaonyesha kuwa Watanzania wana kazi ya ziada ya kufanya kabla ya 2015. Kwanza kuhakikisha kuwa tunapata Katiba Mpya before 2014, lakini la pili ambalo ni la msingi sana ni kwa CHADEMA kuhakikisha kuwa inabadilisha MINDSET za Watanzania wote ili kujiandaa na kukubali mabadiliko baada ya kuchoshwa na uongozi/ mfumo uleule tangu 1960s. Mfumo na uongozi (TANU/CCM)ambao kwa hakika umeshindwa kuwasaidia mamilioni ya Watanzania. Huu ni ukweli ingawa unauma.

Kinachotakiwa kwa sasa ni CCM kujiandaa kisaikolojia kuwa chama cha Upinzani. Tunajua CCM hawataki hilo litokee na wanafanya kila linalowezekana kukwamisha juhudi za CDM kuwakomboa watanzania kutoka kwenye mikono ya Ufisadi na Udikteta. Juhudi za CCM kuikwamisha CDM ziko dhahiri na wazi kabisa hasa ukiangalia matukio ya hivi karibuni ukinzia kwenye Chaguzi ndogo,kwenye Bunge na namna Mikutano ya CDM inavyohujumiwa kwa Jeshi la Polisi kwenda kuua raia wasio na hatia kwenye mikutano na maandamano ya CDM ili kutaka kuhalalisha kuwa CDM ni chama chenye vurugu na hivo kifutwe kutoka kwa Msajili wa Vyama vya siasa bila shaka umeshasikia matamshi ya John Tendwa,Steven Wassira na wengineo. Kwa sasa naishia hapa.
 

sema unataka kusikia wanasema nini ili tuone kama ni relevant na kweli hawajawahi kusema.
 

Nachokijua mimi ni kwamba CHADEMA wanakubaliana na Waislamu kuwa na Mahakama ya Kadhi na ni matarajio yangu kwamba watawasupport katika kuhakikisha kwamba Kadhi anaoperate effectively

Kitu kingine nakitambua ni kwamba CHADEMA wanashare sentiments na waislamu wengi juu ya uwepo wa BAKWATA, Lakini pia najua hawakubaliani na kuiingiza Tanzania kwenye Jumuiya ya nchi za Kidini ikiwemo OIC. inawezekana yakawapo mambo mengi sana ambayo waislamu wanahitaji direct support ya Serikali ama Idara za Kiserikali na ninauhakika kwamba serikali chini ya CHADEMA haitokuwa nzito kwenye kutoa ushirikiano huo na pia nina uhakika mkubwa sana kwamba kuna baadhi ya mambo watawaambia waislamu kwamba haya hayawezekani.

Ushauri wangu kwa waislamu ama Jumuiya za Kiislamu ni kujiandaa kuwa na viongozi wenye upeo wa kusimamia maslahi yao reasonably ama sivyo SERIKALI ITAENDELEA KUWA SERIKALI
 
Pasco

Wewe kuchagua kwako unaangalia MTU FULANI (LOWASA), badala ya kuangalia SERA za chama. Huu ni mtazamo potofu!
Kwa watu makini siku zote watachagua SERA na siyo MTU, bila ya kumung'unya maneno nasema wewe ni mwandishi kanj'anj'a na wala usitarajie Kiongozi yeyote makini wa CHADEMA atafata ushauri wako.

Hivi unafahamu maana na dhumuni ya kuanzishwa M4C?
Hivi unafahamu CHADEMA bila ya kusikiliza maoni ya wadau na wananchi ingefika hapa ilipo?

Huu ushauri wako ungekuwa na maana kama ungemshauri mgombea wako LOWASA na chama chake cha CCM.

Kamanda Mbowe, Dr Slaa go go go go go go hakuna kulala mpaka kinaeleweka.
 
Last edited by a moderator:
Pasco mbona umetumia maneno mengi sana. Ngoja nikusaidie kusummarize unachotaka kusema. Lets call a spade a spade...
"CCM itashinda iwapo itamsimamisha Edward Lowassa, CHADEMA itashinda iwapo itamsimamisha Zitto Kabwe". Hichi ndicho unachosema na ambacho umekuwa ukisema kila siku.

Kwa jinsi ninavyoifahamu siasa ya Tanzania ninakwambia kuwa swala la uchaguzi 2015 haliwezi kuamuliwa kirahisi namna hiyo. Lets wait and see...
 
Sidhani kama nimechukulia negatively .Mwandishi ndio yupo negative kwa hiyo ukimpatia jibu la kweli basi huonekna kuwa negative.My the way mtu haitaji kujitambulisha kuwa mwanachama wa chama au dini fulani ndipo aanze shauri au kushambulia.kwani hiyo haiondoi ukweli, nia au uongo uliondani yake.

Kwanza hajaweka solution ,wala kuonyesha wapi CDM hawafanyi vitu ipasavyo na hiyo hapaonekani hayo mawazo anayopiga kelele humu ndani akiwa na wengine kama si ID nyingine.

Sioni mahali kakosoa viongozi.
 
Mkuu wangu labda niwafahamishe kile Pasco amekuwa akizungumzia sana hapa JF muda mrefu ila watu wameshindwa kumwelewa..
Kwa jinsi nilivyomfahamu mimi anasema ya kwamba CCM inakufa inapoteza umaarufu wake vibaya sana kutokana na viongozi wake wenyewe. Sio sera wala upinzani wa Chadema isipokuwa adui mkubwa wa CCM ni CCM wenyewe..

Na katika kifo hiki yupo mhusika mkubwa anaitwa Lowassa ambaye anajiandaa kuingia magogoni kwa hali na mali.. Kwa jinsi anavyomtazama yeye kama Lowassa ameweza kukiua chama kizima, kuvunja nguvu ya wazee wote, vingozi wote anaweza kuwapelekesha CCM hadi anakosa mshindani basi hakuna mtu mbora zaidi yake CCM, hivyo bila shaka EL atachukua nchi. He is the only one working hard kuingia Ikulu. Kwa hiyo maneno ya mwalimu aliposema mtu yeyote anayetaka kuingia IKULU, mwogopeni kama ukoma yatatimia tena... Lakini inaonyesha hakuna woga huo na safari ya EL kuelekea magogoni inaonekana wazi na nyeupe pasipo upinzani - he deserve to win.

Na kuhusu Chadema kama chama cha Upinzani kuna sehemu ambazo inatakiwa tuziangalie ili chama kichukue ushindi uchaguzi wa 2015 na sii kutegemea kifo cha CCM maana kule ana hakika EL ni mshindi. Kwa maana ya kwamba Chadema kama chama kinalenga IKULU na mshindani wao mkubwa ni EL sio CCM. Hivyo kumtaja kwake EL ni kutokana na karata zilizopo mkononi. Ndio maaana hawataji CUF wala TLP ktk ushindani huu isipokuwa Chadema, hivyo kwa mwana CUF anaweza kusema Pasco ni Chadema vile vile..Pasco hachambui bali anatupa mpunga ulosagwa, mpunga ulojaa pumba na mchele hivyo ni kazi yetu sisi kuchekecha na kucchukua tunachokihitaji sio kazi yake yeye wala amesema kile yeye anachokihitaji.

Tutazungumza mengi sana hapa JF, iwe kwa kubishana, kusodoana, uzushi na hata wengine kudiriki kusema uongo juu ya Mkandara wasiyemjua. Sijui nina ID nyingi, niliishauri Chadema wampe Mwanakijiji nafasi ya Uongozi na sijui Michuzi yaani kuna vitu hata kuvitafuna nashindwa. Ila yanibidi nikubali kuwa binadamu wote sio sawa, wengine ushauri kwao ni tusi, ushauri ni dharau ya kuwaona wao wajinga kiasi gani hadi uwape ushauri maana chama hiki ni chao wao, wewe mtu wa kuja inakuuma nini?.

La muhimu ni kutazama ujumbe japokuwa Pasco hasemi wazi kabisa ila anatupa hint yaani mchele wenye pumba tuuchekeche sisi wenyewe na kutoa Pumba tusitake sana kutafuniwa kila kitu.. CCM inajimaliza yenyewe na EL yupo ktk maandalizi ya kuelekea IKULU, Je sisi tumejiandaa vipi kupambana na sura mpya inayojiandaa kuingia IKULU otherwise yeye ndiye atakuwa mshindi na halali kabisa kupitia ballot box..
 
Mkuu Pasco,
nimeheshimu bandiko lako kwani umechambua kadri ulivyoona utushirikishe fikra yako. Lakini mkuu wakati unachambua, umetutega kwa fikra yako yenye SHARTI kwa mabadiliko.

Umekiri kuwa ccm imechokwa, lakini wingi wa maelezo yako unapapasa papasa tu bila kueleza kinagaubaga "nini kimewachosha" hawa wananchi. Lakini kama ilivyo ada, ukichoka, pumziko ndio hamu yako, pumziko mkuu pasco halina shart, tulichoshwa na ufisadi, tutapumzika kufisadiwa, tulichoshwa na wizi, tutapumzika kuibiwa, tumechoshwa na rushwa, tutapumzika kuhonga, tumechoka kudanganywa, tutapumzika kwa kuambiwa ukweli.

Listi ni ndefu, lakini kitendawili cha uzi wako kinateguliwa na uelewa wa pamoja ama mmoja mmoja ya kuwa nguvu ya wananchi inaweza kuhoji kama si kuzuia yale yaliyosababisha uchovu chini ya ccm. "KAMA" imeharibu you good and constructive analysis.
 
Last edited by a moderator:

Nimesoma pia comment za wana JF wengine ktk uzi huu unaoendelea kuhusiana na hili. Sio mambo ya udini, lakini Waislam wana kero zao ambazo wanazidai au wanataka zitatuliwe na serikali iliyopo madarakani au itakayokuja. kwa vile labda CCM imeshindwa kutatua kero hizi, wanatakiwa wageukie CDM kujua watatatuaje kero za Waislam ili waandae kura zao badala ya CUF au CCM au NCCR Mageuzi au chama kingine. Tukumbuke wapigakura wanachagua pia Sera zitakazo wawezesha kutekeleza Ibada zao kama raia bila kuathiri wengine. CDM sera zenu zinasemaje?
 

Mkandara na Pasco naomba Mjaze Jedwari hili alafu tuendelee
[TABLE="width: 715"]
[TR]
[TD="colspan: 6"]Mnyambulisho wa Usikivu wa CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] [/TD]
[TD]USHAURI[/TD]
[TD]MANTIKI[/TD]
[TD]MAPOKEO YA USHAURI[/TD]
[TD]UTEKELEZAJI[/TD]
[TD]MATOKEO[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]1[/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]2[/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]3[/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]4[/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]5[/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]6[/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]7[/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]8[/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"]Ushauri- Aina ya ushauri uliotolewa kwa CHADEMA[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"]Mapokeo - Chama kiliupokea ushauri au hapana [/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"]Utekelezaji - Chama kiliufanyia kazi ushauri au hapana[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"]MATOKEO - Matokeo ya kuufanyanyia au kutokuufanyia kazi ushauri[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Mantiki ya kutoa ushauri ni nini?[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Ama sivyo mkae kimya mpaka siku ya vifo vyenu.
 
Mkandara hila na uongo kitu kigumu kikilinda haswa uongo ukiwa ni plan ya muda mrefu.mambo mengi yanmeongelewa humu ndani na kila ulipobanwa hujachomoka.Na kwa vile una buy time tena halafu urudi kwa kuanzia tena moja kam ilivyo kawaida yenu,basi tegemea kukuta upinzani mkali sana.Kama ungekuwa makini usingefanya haya majaribio tena.

Unazidi thibitisha ulivyokosa concistency na ujasiri wa kukubali kuchemsha.Ulisema CCM kama sisiemi inakubaliaka na kupendwa.Ni mgombea sahihi tuu anahitajika.Ila ulichoandika kwa mbwembwe hapo juu ni wazi kuwa "CCM inakufa na inateza umaarufu wake vibaya sana", ni lugha nyingine ya kusema kinyume na zile propaganda za mwanzo.

Kwanini unadhani kuwa si upinzani wa CDM?basi tupe maelezo kwanini basi iswe CUF au chama kingine?

Nashindwa elewa kwanini umekuwa na lame excuse na explainations muda wote huu na bado hukubanwa vyema.Hapa kwa lugha nyingine ni kusema kuwa umekacha ile idea yako kuwa CCM inakubalika na hivyo ndiye mpinzani wa CDM, sasa unasema EL ndie mpinzani wa CDM.Sijui unaelewa usemacho au ndio kukosa consisstency kama ilivyo kawaida yako.Sijui unasema nin hapa.

hapa hiyo habari ya pumba sijui na mchele haina maana,kwani chadema alipofikia ni kwamba yupo tayari kupambana na yoyote.Kuanzia chama chochote hadi mgombea yoyote.Sasa kama CCM watakuja kama kundi na jemedari wao EL ama watakuja wakiwa mafungu mafungu hiyo haimaanishi CDM atwaacha.By the way wote manrudi kwenye kile kitendawili cha nilichokiwekea thread yake(Ama mgombea awe mzigo ama CCM iwe mzigo ama wote wawe mzigo mmoja mkubwa na si vinginevyo).Nimeweka wazi kabisa kuwa atakeyeshinda wenzie basi ama afe na CCM ama afike katik uchaguzi mkuu akiwa dhaifu sana kiasi kuweza ishinda cdm yenye mgombea yoyote.Sasa mnaelekea niliposema ktk thread yangu ya EL na hitajiko la Big sacrifice.
Acha kuzunguka mbuyu sema ni mimi ndiye niliyesema na thread zipo kibao.Pengine ni wewe useme kwa kiasi gani huo ushauri haukuwa affect uliwa propose?Michuzi tayari michango ya watu inaonyesha kuwa yupo tayari ficha ukweli ili afurahishe utawala uliopo.Hii ni proof kuwa CDM walikuwa sahihi na wewe kwa mara nyingine tena umeonyesha jinsi ulivyo ktk njia potofu.

Mukandara watu wana akili timamu na ushari is shuruti, wako umekuwa wa hovyo kama si wa hila na umeamua kuufanya wa hila.Pengine nikupe ushauri wa hiari, kama umebeba unga usipite palipo na canine especially "dogs".utaumbuka hata kama siku hiyo hukupena ondoa "udhu".

Mtapiga sana mtungo hizi propaganda zenu(zako), mkirudiarudia na kupean support bila mwisho ila ktk kila eneo rational minds hazitakubaliana nanyi.Mara kibao umelichukia jukwaa la siasa kwa vile huingii akilini.

Mkandara sasa unaboa, wewe kila kitu kimethibitisha kuwa wewe si mwana CDM na kam ni mwana CDM basi yule msaliti kibaraka wa CCM.Hujaweza jinasua katika hilo.wewe hata katik thread zako za nyuma JJ Mnyika alishawahi kusema kuwa wewe si mwana CDM na hukuweza pinga hilo.Na postings zako mojawapo nimweka katik "waraka" wako ukashindwa jinasua.Nini tena kinakuwasha mpaka ujinasibu kama mwana CDM.?Sisi wewe na nani?katika CDM ipi?
 

Uko sahihi sana,

Mimi nataka kufahamu hawa wanaongea sana wao mchango wao ni upi???, au ndiyo waliotusababishia haya matatizo.

Inashangaza sana kuona watu hawa wamekuwa wakiirekebisha CDM kuliko hata CCM ambayo kimsingi ndiyo imetupoteza kwa hii miaka 50+,

Sishangai kuona watu hawa ndiyo watakuja kujitangaza washindi na wenye mchango mkubwa kwenye mafanikio ya CDM katika ukombozi wa waTZ.
 
Jumlisha wachaga wote wa Mbeya, Mwanza, ubungo, Kawe, Arusha, Arumeru, na kwingine kote ambako Chadema wamekula majimbo yaliyokuwa ya CCM utapata jibu... sawa?

teh teh...jumlisha waliopo "malawi, china, dubai ,etc" .Kuongezea uthibitisho wa failures za serikali.Nao watambiwa wanadhoofisha juhudi za serikali kupata ushidni katik suala la ziwa nyasa , "china" wataambiwa wanajaribu ichonganisha serikali na comrade wa kichina,"Dubai" pengine wanaipigia deal zenj.
 

Hii ni LIVE bila chenga, nakala kwa Pasco na Mkandara

Hapo ktk red ni maneno ya Pasco hayo, Itabadilika nini na kivipi? kwani chadema leo imefika hapo ilipo kwa sababu gani? Eti kama ccm haitamsimamisha yule mgombea wangu!! hivi wewe Pasco una kichaa nini? Lowasa ndio nani ktk nguvu ya umma? Kwa taharifa yako mimi naishi jirani na Monduli huyo Lowasa anaweza kupoteza jimbo 2015 sembuse nchi.
"Kwa wale wapenzi wa Chadema, for sure, Uchaguzi wa 2015, Chadema inaweza kabisa Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If "Itabadilika" and provided that CCM haitamsimamisha yule mgombea wangu!. Japo ni vema kuwa great expectations on Chadema kuchukua nchi 2015, only if Chadema itabadilika".
 
Last edited by a moderator:

well said mkuu..hawa wachawi wana mumunya maneno si waseme tu watakalo.Niliwahi mwambia mtu humu ndani kwamba katik ku-practice ushirikina wake ana option ya kusema wazi "tumwitwe mganga" ajifiche kuyafanya sirini tumwite "mchawi".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…