Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Jmushi naona umeamua kwenda palipo jugular..nadhani ndipo mahali pa kufunga mjadala.wakajiweke ktik hizo site wakipiga book.And this is very serious hata kwa mchambuzi,mkandara,pasco na wengine.wanakuwa wanafikiri kwa style ya "kuku na yai" basi hawatoki katika hiyo loop.Sasa hii "the so thought to be The big idea in the modern Tanzanian politics is nothing but a mad man idea" kwa hiyo warudi shule halafu lab waje na nyingine ila wajihakikishie kuwa imepitia kwa critics kabla hawajajiaminisha.
Mkuu ni ukweli kwamba wanatakiwa wapitie hizo links wapate darsa.Tuirudishe maana halisi ya JF kama ilivyokuwa before.Yani kuwepo na critical thinking,watu wasijibandikie tu wakidhani hapa ni pahala pa vilaza kuji tutumua self esteem zao.Na mimi pia napata darasa kutoka kwako mkuu.Keep it up...
 
excusatio non petita, accusatio manifesta (latin)= he who excuses himself, accuses himself

we si umeambiwa mjadala umekwisha?wewe kwa vile umekariri vitu vya akisheria basi unaweka ktk footer kila kitu kama wale watu wa vijijini wavao kila vazi la mtumba lenye maandishi ya kuvutia kwa muonekano.

-Muuza chips jirani na sehemu nipatayo kinywaji aitwaye omary,nae ana masifa basi hupenda jiita "Ommy Guy", basi baada ya kupata t-shirt iliyoandikwa "I`M GAY and PROUD" basi akawa kila akiifua anaivaa hadi siku hiyo nilipomkuta na kumwambia maana yake alilegea sana.Vijana wenzie walikuwa wakimfagili kuwa kapata kitu inayoendana na jina lake.Kumbe hakujua tofauti kati ya neno "Guy an Gay", kama wengine wa "rap na rape".

Wewe ulidhani " EVIDENCE IS WEIGHTED NOT COUNTED" ulidhani ni sahihi sana katika kila context?hembu jaribu fikiria nikiswitch shauri linalofanyika location btn " Public" and "Private"?can you think outside the box?
 
Mkuu Nicholas nimekukubali wewe na JMUsh1 kwa kuwagundua hao wapandikiza chuki madai yao eti ni washauri wa CDM badala ya kuja kwenye mapambano tupambane wanayumbisha watu tu huku wakiwa kwenye pc zao huko abroad....

Pasco is Loading..............!Please wait.
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Nimeipenda hii
Hao watu si mchezo....karibu tuendelee kuwasoma ili tupate kitu kutoka kwao
 
Hayo yanasemwa na Mushi, kuna cha kushangaa hapo?

we jamaa umekuwa ni mseeengeeenyanyi kweli huoni aibu kila kukicha na pombe ya udini au ya ukabila mkononi unajinyea nyea hovyo lakini umezidi kuitumia pombe hii shame u fool
 
Duuh! nimemis mambo mengi sana hapa kutokana na ubize wa kazi...acha nisome coment moja badala ya nyingine
 
Mkuu ni ukweli kwamba wanatakiwa wapitie hizo links wapate darsa.Tuirudishe maana halisi ya JF kama ilivyokuwa before.Yani kuwepo na critical thinking,watu wasijibandikie tu wakidhani hapa ni pahala pa vilaza kuji tutumua self esteem zao.Na mimi pia napata darasa kutoka kwako mkuu.Keep it up...

Jmushi1 muongezeeni Pasco processors+ RAM sijui na nini tena?huwezi amini anakimbizana napostings za watu kila threads aliposhiriki,na huku zinaongezeka.

Ananikumbusha jinsi CCM wanavyopata shida kukimbizana na kelele za watanzania, matoleo ya CDM, mnyukano wa ndani, wafanyakazi, Bungeni, waandishi etc.Huku dunia ikikimbia sana.Halafu bado wanaanmini watashika kasi yote.

Sishangai kwanini walioona hiyo theory yao kuwa "bab kubwa".Hembu imagine wachangiaji wakianza kwa kasi kidogo Pasco si atazimika au tumsahau kuwa yupo?Jmushi1 huyu jamaa tayari yupo years back.Naona notifications zalike kibao ktk inbox kwa fujo.

This guys wapo too mechanical kuweza simplify kazi na kutumia fikra zao vyema.
Masikini bado "<<<<<<Pasco is loading ...Plse Wait>>>>>>"
 
jmushi1 -naona sasa umeamua muonyesha Pasco kwa vitendo. Yupo busy sana anafanya hiki ktk red
In a nutshell, Tactical thinking is "doing things right," while Strategic thinking is "doing the right things." Strategic thinking is typically leadership: creating the vision.
Whereas Tactical thinking is management: implementing the vision.
Tactical thinkers are all about "doing something," but they often don't think before springing into action; so oftentimes, their action is ineffective, and perhaps unnecessary. If only they'd taken the time to step back and analyze the situation beforehand.
 
Mkuu Pasco kwa muktadha huu tuhesabu Lowasa kesha dondokea pua?
Dah na zile 10m anazotoa bora asitishe tu aendelee kula na wajukuu.
Mkuu Fidel80, hajadondokea pua, alikuwepo, yupo na atakuwepo sana na yeye ndilo tegemeo pekee la kuinusuru CCM dhidi ya kipigo cha Chadema kwenye uchaguzi wa 2015 kwa sababu he is the only one who can stop kasi ya M4C!.
Kwenye post yangu nime mmentian ila sikumtaja kwa jina, kuna watu wakilisikia tuu hilo jina, wanapata kiwewe, wengine wanakuwa restless, na kuna wachache hata wazimu unawapanda!. Hate ikizidi sana inageuka ugonjwa!.
P.
 
Hiyo approach yenu kama darasa la jmushi1 lisemavyo ni kwamba mmeshaanguka na mnaenda anguka tena mbele.Bahati nzuri umeshapata clue hapa ktik hili darasa la jmushi1.Mkajipange upya.

Kazi ni kuondoka ktk mchujo wa ndani ya ccm mkiwa na nguvu za kutosha kuja kabiliana na CDM aka "The badgers", kadudu kasicho na hofu kuliko hata simba na ubabe wake.Simba hakaribii nyoka,wala nyuki ila " badger" wala hachagui pa kuingilia.Kwa jinsi hali ilivyo EL hatoweza CCM akiwa na nguvu ya kushinda achilia mbali atakavyopondwa waziwazi na nyuma ya mlango na wapinzani wake ndani ya CCM.Yaani kila kauli ya CDM itapewa uzito na wana CCM prominent kibao+advantage ya fikra za watu.Labda atoe big sacrifice bigger zaidi ya "aliyotelewa yeye" kama kuna ukweli.Huko ndipo mnatakiwa kwenda kwanza then you can talk with CDM na watanzania.CCM wameshamchinjia baharini labda afe nayo.Nani katika CCM kt ya wazee yupo tayari subiri hata 5yrs tuu?
 
Mkuu Pasco,

EL aliteuliwa kuwa waziri mkuu mwaka 2005 na mwaka 2008 akajiuzulu kufuatia kuhusika kwake na UFISADI uliopelekea kampuni ya RICHMOND kupewa mkataba wa kuzalisha umeme kwa TANESCO- period.

Ili kutimiza neno uwajibikaji (kwa hilo nampongeza EL) yeye mwenyewe alisema kwamba anajiuzulu ili kulinda taswira ya serikali na chama cha CCM ambayo hata kwa wakati huo tayari taswira hiyo ilikuwa iko "damaged"- yaani imeharibiwa.

Kwahio tokea wakati ule na hata kabla ya EL kuwa waziri mkuu alikuwa ameacha madoa sehemu kadhaa na ndio maana alipokwenda Dodoma kwenye usaili wa hayati Mwalumu Nyerere kuhusu kuomba kupitishwa jina lake kwenye uchaguzi wa mwaka 1995, aliambiwa na Nyerere mwenyewe kwamba nanukuu -"he is not the correct material for presidency"- mwisho wa kunukuu.

Hapo inamaanisha kwamba "huyu si mtu mwenye sifa za kuwa raisi". Sasa watu wenye hekima na muono kama huyo hayati Mwalimu mwenyewe alisema hayo itakuwa mtu mwingine yeyote?

Mafisadi wa Tanzania hawana haya, na leo hii mbunge huyu wa Monduli anatumia pesa nyingi kujijengea mazingira ya kuwa mgombea uraisi wa 2015 kwa kufanya kampeni za PR sehemu nyingi tu kweli ni aibu tupu. Badala ya kushinda Monduli kwenye jimbo lake, yeye anazungukazunguka kutafuta uraisi kila mahali hio kweli ni sawa?

Nasema yote haya kwa maana naamini maneno ya hayati mwalimu Nyerere na kwa kuwa leo hii hayupo basi watu wanafanya watakavyo.

Siandiki hapa kwamba haya ni masihara bali ni "real na very serious issue" na kamwe EL hawezi kuwa rais wa TZ kwa kuzingatia rekodi yake ya huko nyuma.
 
Uko sahihi kiasi fulani lakini tathmini yako imekosa nyama za kutosha. Katika mfumo mgumu kama wetu, mfumo ulioegemea chama kimoja kwa miongo mingi huja muda kikachokwa. Lakini sikubaliani nawe kuwa wapiga kura watakaokichagua CDM hawatakuwa na sababu ya kukichagua. Wanakichagua kwa kuwa CCM imeshindwa kukidhi matarajio yao, na hapa kuna chama mbadala kinacholeta matumaini mapya. Je hiyo siyo sababu kubwa? Ndiyo vyama viko vingi na vyema sera nzuri tu, lakini watu wamekichagua CDM kuongoza ukombozi wa nchi hii, si kwa kubahatisha la hasha, isipokuwa kwa kuwa uongozi umeonyesha dira, kule ambapo watanzania wanatamni tuwe.

Unaposema CDM kibadilike unatakiwa usifiche kitu, ama usituache hewani, kama kweli wewe ni mwenzetu sema unachoona kina shida ili kibadilishwe sio kuweka mafumbo mafumbo na kutuacha sisi tukibashiri
Mkuu Mbalinga, nakubaliana na wewe kuwa Chadema is doing a good thing and a right thing, kuleta matumaini mapya. Hili la kusema tutafanya hiki, tutafanya kile, ndio CCM ways with lots of promises zilizoishia kuwa empty promises. Chadema nao wakiahidi, elimu bure, afya bure, mfuko wa sementi elfu tani, tutaondoa umasikini, bila kusema how, unakuwa hujaonyesha mbadala wowote kwa CCM, nazo ni ahadi tuu kama CCM wanavyotuahidi kila baada ya miaka 5!.
Watanzania wanahitaji kwanza kuona mbadala wa CCM, ndipo tuipe likizo CCM, tuwapeleke Chadema ikulu!.

Pasco.
 
Mkuu Pasco,

EL aliteuliwa kuwa waziri mkuu mwaka 2005 na mwaka 2008 akajiuzulu kufuatia kuhusika kwake na UFISADI uliopelekea kampuni ya RICHMOND kupewa mkataba wa kuzalisha umeme kwa TANESCO- period.

Ili kutimiza neno uwajibikaji (kwa hilo nampongeza EL) yeye mwenyewe alisema kwamba anajiuzulu ili kulinda taswira ya serikali na chama cha CCM ambayo hata kwa wakati huo tayari taswira hiyo ilikuwa iko "damaged"- yaani imeharibiwa.

Kwahio tokea wakati ule na hata kabla ya EL kuwa waziri mkuu alikuwa ameacha madoa sehemu kadhaa na ndio maana alipokwenda Dodoma kwenye usaili wa hayati Mwalumu Nyerere kuhusu kuomba kupitishwa jina lake kwenye uchaguzi wa mwaka 1995, aliambiwa na Nyerere mwenyewe kwamba nanukuu -"he is not the correct material for presidency"- mwisho wa kunukuu.

Hapo inamaanisha kwamba "huyu si mtu mwenye sifa za kuwa raisi". Sasa watu wenye hekima na muono kama huyo hayati Mwalimu mwenyewe alisema hayo itakuwa mtu mwingine yeyote?

Mafisadi wa Tanzania hawana haya, na leo hii mbunge huyu wa Monduli anatumia pesa nyingi kujijengea mazingira ya kuwa mgombea uraisi wa 2015 kwa kufanya kampeni za PR sehemu nyingi tu kweli ni aibu tupu. Badala ya kushinda Monduli kwenye jimbo lake, yeye anazungukazunguka kutafuta uraisi kila mahali hio kweli ni sawa?

Nasema yote haya kwa maana naamini maneno ya hayati mwalimu Nyerere na kwa kuwa leo hii hayupo basi watu wanafanya watakavyo.

Siandiki hapa kwamba haya ni masihara bali ni "real na very serious issue" na kamwe EL hawezi kuwa rais wa TZ kwa kuzingatia rekodi yake ya huko nyuma.
Mkuu Richard, kwanza nakubaliana na wewe kuhusu msimamo wa Mwalimu Nyerere kwa EL, kiukweli Nyerere alikuwa mjamaa halisi kwa maneno na matendo!, alimdisqualify EL kwa kosa la utajiri, enzi za Mwalimu, utajiri ulikuwa dhambi!.

Baada ya Nyerere, alipofuata Mwinyi, CCM waliliua Azimio la Arusha na kulibakisha vitabuni tuu, waka li replace na Azimio la Zanzibar, sasa utajiri sio dhambi tena!. Kwa heshima ya Mzee Rukhsa, naomba nisiutaje ufisadi wake hapa, wala nisiutaje ufisadi wa Mkapa jinsi alivyofanya biashara Ikulu, na wala sitaji ufisadi wa JK, ndio maana aliyasamehe yale majizi ya EPA na ndiye mmiliki wa "lile zigo" hivyo CCM yote imeoza kwa mijizi, mifisadi na kwa rushwa, na kwa taarifa yako, mwenye afadhali ndio EL!. amini nawaambieni EL ndie safi, mkiujua uchafu wa hao mnaowadhania ndio agadhali, mtashindwa kuamini!.`

Maadam unajiapiza na kamwe, then, nakushauri pia jiandae kutafuta nchi ya kuhamia baada 2015!.

P.
 
Hiyo approach yenu kama darasa la jmushi1 lisemavyo ni kwamba mmeshaanguka na mnaenda anguka tena mbele.Bahati nzuri umeshapata clue hapa ktik hili darasa la jmushi1.Mkajipange upya.

Kazi ni kuondoka ktk mchujo wa ndani ya ccm mkiwa na nguvu za kutosha kuja kabiliana na CDM aka "The badgers", kadudu kasicho na hofu kuliko hata simba na ubabe wake.Simba hakaribii nyoka,wala nyuki ila " badger" wala hachagui pa kuingilia.Kwa jinsi hali ilivyo EL hatoweza CCM akiwa na nguvu ya kushinda achilia mbali atakavyopondwa waziwazi na nyuma ya mlango na wapinzani wake ndani ya CCM.Yaani kila kauli ya CDM itapewa uzito na wana CCM prominent kibao+advantage ya fikra za watu.Labda atoe big sacrifice bigger zaidi ya "aliyotelewa yeye" kama kuna ukweli.Huko ndipo mnatakiwa kwenda kwanza then you can talk with CDM na watanzania.CCM wameshamchinjia baharini labda afe nayo.Nani katika CCM kt ya wazee yupo tayari subiri hata 5yrs tuu?
Naendelea kukuvutia pumzi, kukutayarishia majibu yako!.
 
mkuu Pasco

nimekuelewa hivi "" wanachadema pamoja na viongozi wao huu ndo wakati wa kumwaga sera za chama na kuzinadi kwa sana kadiri ya uwezo wao ili wananchi waelewe ni kwa nini muda ukifika wa uchaguzi wataamua kuichagua chadema.""" inadidi hili vuguvugu la mabadiliko liendane na kuitofautisha CCM na CHADEMA kisela na kiutendaji ili baadaye wapiga kura wote wawe wanajua kwa nini wataichagua chadema. BRAVO BRO,PASCO MKANDARA NA WENGINEO WOTE AMBAO MNAENDELEA KUFICHUA MAPUNGUFU ILI YAFANYIWE MAREKEBISHO NA HUU NDO MUDA MUAFAKA.

SISI SOTE NI NDUGU TATIZO NI CCM
Mkuu The One and Only, hili nalo neno!. Naamini viongozi makini wa Chadema, hili watalizingatia, usitishwe na comments za hawa manazi wa Chadema humu jf, wengi wao ni mashabiki maandazi, kazi yao kupiga mikelele miingi, lakini hawaisadii lolote Chadema!

Niliwahi kusema, sio mara moja wala mbili, usikute sisi ambao tunakosoa Chadema kila kukicha, ndio tuna iimarisha zaidi kuliko hawa machiriku manazi na wapambe nuksi wa Chadema wanaokesha humu kwa kuisifia na mapambio!.

Kuna neno mahali lisemalo "Aipendae sana nafsi yake, ataiangamiza, na aichukiaye nafsi yake, ataisalimisha"!, vivyo hivyo, hawa "manazi" wa Chadema wanaojidhania ndio wanaipenda sana Chadema, ndio wataiangamiza, na usikute akina sisi tunaoonekana tunaichukia sana Chadema ndio tutaisalimisha"!.

Mwenye masikio na asikie!.

P.
 
Mkuu Richard, kwanza nakubaliana na wewe kuhusu msimamo wa Mwalimu Nyerere kwa EL, kiukweli Nyerere alikuwa mjamaa halisi kwa maneno na matendo!, alimdisqualify EL kwa kosa la utajiri, enzi za Mwalimu, utajiri ulikuwa dhambi!.

Baada ya Nyerere, alipofuata Mwinyi, CCM waliliua Azimio la Arusha na kulibakisha vitabuni tuu, waka li replace na Azimio la Zanzibar, sasa utajiri sio dhambi tena!. Kwa heshima ya Mzee Rukhsa, naomba nisiutaje ufisadi wake hapa, wala nisiutaje ufisadi wa Mkapa jinsi alivyofanya biashara Ikulu, na wala sitaji ufisadi wa JK, ndio maana aliyasamehe yale majizi ya EPA na ndiye mmiliki wa "lile zigo" hivyo CCM yote imeoza kwa mijizi, mifisadi na kwa rushwa, na kwa taarifa yako, mwenye afadhali ndio EL!. amini nawaambieni EL ndie safi, mkiujua uchafu wa hao mnaowadhania ndio agadhali, mtashindwa kuamini!.`

Maadam unajiapiza na kamwe, then, nakushauri pia jianfae kutaguta nchi ya kuhamia baada 2015!.

P.

Sawa mkuu,

Ndio maana nimesema kwamba kwa kuzingatia rekodi yake ya huko nyuma.

Ikiwa atapitishwa kugombea nafasi atakuwa amepitia maswali muhimu yafuatayo.

1. Kama alishauriwa vibaya na wasaidizi wake na kufikia kutoa uamuzi wa kuwasaidia RICHMOND kupata mkataba wa kuuzuia umeme TANESCO kama alivyojitetea, je tutaamini vipi maamuzi yake akiwa raisi wa nchi? Kwa maana anaonekana ni rahisi mno kushawishika bila kuzingatia sheria na misingi ya kiutawala.

2. Atatuthibitishiaje kwamba yeye sasa ni good material for presidency?

3. Ataitengeneza vipi DNA ya CCM maana sasa inajumuisha watu hata akina Mwakyembe ambae ndie aliechangia kutoa ripoti ya RICHMOND.

Akiwa na majibu ya maswali haya yeye kujitosheleza basi anaweza kufikiriwa na sio jina lake kupitishwa tu kimzahamzaha.

Akishindwa kabisa basi atakaribishwa CHADEMA.
 
we jamaa umekuwa ni mseeengeeenyanyi kweli huoni aibu kila kukicha na pombe ya udini au ya ukabila mkononi unajinyea nyea hovyo lakini umezidi kuitumia pombe hii shame u fool

Kwani hajayasema Mushi?
 
Mkuu The One and Only, hili nalo neno!. Naamini viongozi makini wa Chadema, hili watalizingatia, usitishwe na comments za hawa manazi wa Chadema humu jf, wengi wao ni mashabiki maandazi, kazi yao kupiga mikelele miingi, lakini hawaisadii lolote Chadema!

Niliwahi kusema, sio mara moja wala mbili, usikute sisi ambao tunakosoa Chadema kila kukicha, ndio tuna iimarisha zaidi kuliko hawa machiriku manazi na wapambe nuksi wa Chadema wanaokesha humu kwa kuisifia na mapambio!.

Kuna neno mahali lisemalo "Aipendae sana nafsi yake, ataiangamiza, na aichukiaye nafsi yake, ataisalimisha"!, vivyo hivyo, hawa "manazi" wa Chadema wanaojidhania ndio wanaipenda sana Chadema, ndio wataiangamiza, na usikute akina sisi tunaoonekana tunaichukia sana Chadema ndio tutaisalimisha"!.

Mwenye masikio na asikie!.

P.
Na wewe ni mnazi na chiriku wa mafisadi unayewaimbia pambio humu?!eti unawakosoa na kuwashauri chadema kwa kuwafagilia mafisadi!Yani hiyo ndo style yako ya kuwasaidia chadema?only fools can buy that!

Halafu kumbe unachaguwa za kujibu?acha hizo wewe.Rudi ujibu maswali.Kama huwezi sema tuendelee na mengine.
 
Kwani hajayasema Mushi?
Jibu ulichoulizwa,acha kutaja taja majina ya watu.Umesoma alichokujibu?Hiyo ndo stahili yako!umeshajulikana wewe ni devil advocate,mdini na mkabila.Tumeshakujuwa huna lako humu.Rudi kwenye id nyingine and still it won't work,sorry,too late.Nakushangaa unafanya mambo yale yale ukitegemea different results,jibu unalo!
 
Back
Top Bottom