Elections 2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

Ingekuwa vizuri sana kama mngejiuliza ni nani wa kupambana na huyo 'Shekh' ndani ya CCM.
Membe? Sita? Sumaye?....?

CCM hakuna wakushindana nae akiamuwa kugombea Urais, atawashinda wote hao uliowataja, Hapo sasa!
 
Zomba nenda Milembe ukatibiwe kwa kudhani kuwa Richmond haukuwa ufisadi. Tujaribu kutumia akili japo kidogo jamani vinginevyo tutaendelea kuabudia mafisadi bila kujitambua kama Zomba unavyofanya. Nakuonea huruma siku ukweli ukifumka ingawa utatuweka huru wote.
 
Adui wa watanzania sio shehe,Padri,mchungaji wala mpagani bali ni C.C.M.
 

Kukopa chama vipi? hapo bado hujapewa madaraka.
 
Kabla hujajiuliza wakupambana nae kutoka cdm, jiulize ndani ya ccm pakoje maana huko ukiacha wewe na Sofia Simba, hakuna anayemtaka!
 
cdm,hakuna wezi wa kumlinganisha na huyo fisadi,arudishe pesa za tanesco!
 
hivi we zomba unaishi ili ule au unakula ili uishi kwani uchambuzi wako kama unaongozwa na tumbo.EL na mauzauza yote aliyofanya hadi nyerere akamkataa wewe bado unamuona mtu wa kuongoza nchi au unahamu ya kuwa mtumwa(slave)
 
Ni kweli mkuu Zomba CDM hatuna mtu wa kupambana naye,si MBOWE wala DR SLAA.Sababu ni rahisi CDM hatuna walafi kama yeye wa kula mpaka mbegu.Ninamfananisha na wale mafarisayo wanaotajwa kwenye bible ambao husafisha nje ya kikombe kumbe ndani ni kuchafu.wamejaa udhalimu,wizi na ulafi,ni hodari wa kuketi viti vya mbele na hutoa sadaka kubwa ili waonekane na kupendwa.Hivyo kwa msingi huo itakuwa ni kinyang'anyiro cha kutafuta nani mlafi,mwizi na mnafiki zaidi ambapo CDM tutashindwa vibaya kama ulivyotabiri kwasababu hatuna wala sitarajii atakuja kiongozi kama huyo sheikh ubwabwa.
 

Kwa hiyo akiamuwa kugombania hamtoweka mgombea, mtasusia uchaguzi? kama kawa?
 
Kwa sababu Lowasa ni Mkristo mwezetu anayo kura yangu wala hakuna tabu yoyote. Viva Lowasa viva CCM, CCM for Christian & Muslim for CCM.
I think ur happy now Zombie!!
 

We ungejua kuwa M4C ni project inayofadhiliwa na huyu bwana, wala ucngejisumbua hata kuwaza hicho ulichopost. Ndo maana imeibuka wakati huu wa mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM na itapamba zaidi kuanzia Mwezi Octoba hadi Uchaguzi Mkuu wa CCM utakapomalizika. Cc wajanja tunajua ndo maana hiyo M4C haitusumbui.
 

Hujajibu swali Lowassa anasimamia itikadi gani?

Au ndo mambo ya "cult of personality" kumshinda "Il Duce"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…