.....du! Unanikumbusha Zitto.Hayo ya Richmond usituletee hapa, kwani mahakama za Kimataifa na za Tanzania zimeshamuwa na kumaliza kuwa Dowans walidhulumiwa na walipwe. Nini zaidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....du! Unanikumbusha Zitto.Hayo ya Richmond usituletee hapa, kwani mahakama za Kimataifa na za Tanzania zimeshamuwa na kumaliza kuwa Dowans walidhulumiwa na walipwe. Nini zaidi?
Hujajibu swali Lowassa anasimamia itikadi gani?
Au ndo mambo ya "cult of personality" kumshinda "Il Duce"?
We ungejua kuwa M4C ni project inayofadhiliwa na huyu bwana, wala ucngejisumbua hata kuwaza hicho ulichopost. Ndo maana imeibuka wakati huu wa mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM na itapamba zaidi kuanzia Mwezi Octoba hadi Uchaguzi Mkuu wa CCM utakapomalizika. Cc wajanja tunajua ndo maana hiyo M4C haitusumbui.
Siasa za nchi changa.
Ever revolving around some cult of personality, seldom around policies.
Hivi Lowassa akiamuwa kugombea ni nani ndani ya chadema mtamsimamisha agombee nae, mmeshalifikiria hilo?
Kama bado ndio nawastuwa hivyo.
Achana na M4C, mimi nataka kujuwa ni nanai ndani ya chadema ana ubavu wa kusimama na Lowassa kwenye ulingo wa kinyang'anyiro cha Urais 2015.
M4C si kama Sangara tu, hata Zitto anaikacha hiyo.
Unaota M4C NA GAMBA WAPI NA WAPIKwani wewe hujui kuwa CDM ni makuwadi wa Lowasa na M4C ni mkakati unaofadhiliwa na yeye
Tundu Lissu kwa mtazamo wangu, ndiye mtu pekee kutokea Chadema mwenye uwezo wa kumnyima usingizi mgombea yoyote wa CCM 2015, iwe Lowassa, Sitta, Membe na hao wengine wanaotajwa tajwa; Hata mimi binafsi, akisimamishwa mgombea wa CCM wa ovyo ovyo dhidi ya Lissu, kura yangu itaenda kwa Chadema (Lissu);
Tuliza mshono, mda ukifika utaona kwa vitendo.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
mm KIBOKO MSHELI nasema hivi Lowasa ni mwizi na fisadi namba moja Tanzania hafai kuwa raisi!
Hata mmlete mungu kwa tiketi ya CCM HATUMCHAGUI R.I.P MAGAMBA
Kwani wewe hujui kuwa CDM ni makuwadi wa Lowasa na M4C ni mkakati unaofadhiliwa na yeye
Huyo shekhe atazidiwa kura na Dovutwa yahmi nassoro wa UPDP Aliyejizolea kura 13,176 sawa na 0.15% tanzania nzima 2010. mia