Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Itikadi ya CCM.
Itikadi ya CCM ni ipi? Sijaona mtu aliyejibu hoja ya Kolimba kwamba CCM haina dira wala muelekeo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itikadi ya CCM.
Unapenda sana kutumia hii kauli; naomba nikuulize, je wewe ni:Mkikosa hoja mnaanza viroja.
Unapenda sana kutumia hii kauli; naomba nikuulize, je wewe ni:
-Mwana CCM wa Ikulu?
-Mwana CCM wa Lumumba?
-Mwana CCM nje ya taasisi hizi mbili, lakini una wenzako NEC mnajipanga kwenda Ikulu?
Kujua haya itatusaidia sana wengi wetu humu kubaini namna ya kujipanga kukujibu aidha Kihoja au Kiviroja.
Nani aliyekwambia mimi ni mwana CCM?
Garbage in garbage outMkikosa hoja mnaanza viroja.
Nadhani sasa tuache kuwalaumu watanzania kwa kuchagua WATU badala ya MASUALA yanayosimamiwa na WATU (wagombea) katika chaguzi zetu kuu kwani hata kwenye majukwaa kama haya yenye WATU wenye upeo mkubwa kabisa uli tofauti na wenzetu wa vijijini ambao kwa bahati mbaya hawakujaliwa elimu na exposure, hata sisi humu tunajazana kwenye Mada zinazojadili WATU, na kuzikimbia mada zinazojadili MASUALA ambayo yatakuwa muhimu kuja kusimamiwa na WATU (wagombea) 2015; Tubadilike Wenzangu;
Hakuna anayebisha kuhusu "WANATOKEA", kilicho relevant katika discussion yangu ni Wanaoishi kule kama wapiga kura; Vinginevyo KUTOKEA sehemu sio kigezo, kwani wapo watu ambao wanajua wametokea kwenye matumbo ya mama zao lakini hawana heshima kwa wanawake, wengine hata mama zao wazazi;Ungejuwa kuwa 90% au zaidi ya wasomi wote wanatokea vijijini usingeyasema hayo.
Nadhani sasa tuache kuwalaumu watanzania kwa kuchagua WATU badala ya MASUALA yanayosimamiwa na WATU (wagombea) katika chaguzi zetu kuu kwani hata kwenye majukwaa kama haya yenye WATU wenye upeo mkubwa kabisa uli tofauti na wenzetu wa vijijini ambao kwa bahati mbaya hawakujaliwa elimu na exposure, hata sisi humu tunajazana kwenye Mada zinazojadili WATU, na kuzikimbia mada zinazojadili MASUALA ambayo yatakuwa muhimu kuja kusimamiwa na WATU (wagombea) 2015; Tubadilike Wenzangu;
Nani aliyekwambia mimi ni mwana CCM?
Atakayesimama kwa tiketi ya CHADEMA ndiye Rais wa Tanzania kuanzia Novemba 2 mwaka 2015Nye mtamuweka nani wa kumchaguwa? Zitto?
Maana ya Sheikh ni Mzee, sasa Lowassa siyo Mzee?
Hawa wasiosadifika na kusarifika hawawezi kujua maana ya Sheikh.....
zomba hapa jamvini uko peke yako....lakini jinsi unavyowapelekesha mpaka wanatia huruma...
Kama kungekuwa na zomba wa tano hapa jamvini sijui ingekuwaje?? ....labda Jf ingefungwa

Shida ya nini kuwa kibaraka wa chama unachokionea aibu kwa jinsi kilivyooza?
Well then, sio CCM kumbe ni nani, mkewe CUF?
Inaniwia vigumu kila nikitazama safu ya Chadema kumpata wa kumliganisha uzito na huyu bingwa wa uzito wa juu katika medani za siasa ya Tanzania.
![]()
Nashindwa kupata jibu ni mwana siasa yupi ndani ya chadema ambae atasimama haswa na kuwakinaisha Watanzania wamchaguwe badala ya Lowassa iwapo ataamuwa kugombea kiti cha Urais Tanzania?
Maana najuwa Mbowe hana hamu tena baada ya kugaragazwa vibaya sana na Jakaya Mrisho Kikwete mwaka 2005.
Slaa nae choka mbaya, hana jipya zaidi ya majungu na siasa zisizo na mpango, hata ujumbe kwa Mwema ni ushahidi tosha kuwa kaishiwa kisiasa.
Nilidhani Zitto ataweza kwa kuwa ni damu changa lakini napata mashaka kuwa siasa za ukanda za chadema zitampa fursa ya kugombea, dalili zote zinaonesha chadema wa kanda ya kaskazini hawamtaki kabisa. Kwa hiyo huyu nnamtoa kwenye kinyan'ganyiro.
Shibuda hata akipitishwa kugombea akiambiwa Lowassa anagombea atakataa kuchuana nae.
Ka Mnyika, haka bado sana, hata ubungo inamshinda na sijui kama atashinda tena hata akigombea Ubunge huko. Kwishnei.
Halima Mdee, huyu hana ubavu, huyu akisikia Lowassa anagombea labda ajitafutie umaarufu tu - kwa hiyo huyu nje.
Nani mwingine?
Natamani Lowassa atangaze mapema kugombea 2015 angalau chadema waanze kujitayarisha mapema na mgombea ambae uchaguzi hautokuwa boring, maana hao wote juu Lowassa atawaonea tu.
CCM inatisha.
Hawa wasiosadifika na kusarifika hawawezi kujua maana ya Sheikh.....
zomba hapa jamvini uko peke yako....lakini jinsi unavyowapelekesha mpaka wanatia huruma...
Kama kungekuwa na zomba wa tano hapa jamvini sijui ingekuwaje?? ....labda Jf ingefungwa
nna mashaka kuwa mtoa hoja ana ajenda ya siri,siamini kuwa anampenda Lowassa kwa kiwango hicho bali amemuweka hapo akiwa na kanzu ili wana JF wamchafue zaidi na kuwanufaisha wapinzani wake ndani ya CCM, kwa uchafu aliopakwa FL kumsimamisha adhalani na kumlinganisha na mtu kama Slaaa ambaye ata CCM wameshalaumiana na kujutia kumfanyia fitina zilizosababisha ajiondoe ni propaganda tu.
inaniwia vigumu kila nikitazama safu ya chadema kumpata wa kumliganisha uzito na huyu bingwa wa uzito wa juu katika medani za siasa ya tanzania.
![]()
nashindwa kupata jibu ni mwana siasa yupi ndani ya chadema ambae atasimama haswa na kuwakinaisha watanzania wamchaguwe badala ya lowassa iwapo ataamuwa kugombea kiti cha urais tanzania?
Maana najuwa mbowe hana hamu tena baada ya kugaragazwa vibaya sana na jakaya mrisho kikwete mwaka 2005.
Slaa nae choka mbaya, hana jipya zaidi ya majungu na siasa zisizo na mpango, hata ujumbe kwa mwema ni ushahidi tosha kuwa kaishiwa kisiasa.
Nilidhani zitto ataweza kwa kuwa ni damu changa lakini napata mashaka kuwa siasa za ukanda za chadema zitampa fursa ya kugombea, dalili zote zinaonesha chadema wa kanda ya kaskazini hawamtaki kabisa. Kwa hiyo huyu nnamtoa kwenye kinyan'ganyiro.
Shibuda hata akipitishwa kugombea akiambiwa lowassa anagombea atakataa kuchuana nae.
Ka mnyika, haka bado sana, hata ubungo inamshinda na sijui kama atashinda tena hata akigombea ubunge huko. Kwishnei.
Halima mdee, huyu hana ubavu, huyu akisikia lowassa anagombea labda ajitafutie umaarufu tu - kwa hiyo huyu nje.
Nani mwingine?
Natamani lowassa atangaze mapema kugombea 2015 angalau chadema waanze kujitayarisha mapema na mgombea ambae uchaguzi hautokuwa boring, maana hao wote juu lowassa atawaonea tu.
Ccm inatisha.