zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
Atakayesimama kwa tiketi ya CHADEMA ndiye Rais wa Tanzania kuanzia Novemba 2 mwaka 2015
Atasimama na nani? Peke yake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakayesimama kwa tiketi ya CHADEMA ndiye Rais wa Tanzania kuanzia Novemba 2 mwaka 2015
Siasa za nchi changa.
Ever revolving around some cult of personality, seldom around policies.
sheikh nyerere, sheikh mwinyi, sheikh kikwete and now sheikh lowasa.
aah! I dont think muslims will repeat the mistake again. Even julius kambarage nyerere used to wear the same.
Inaniwia vigumu kila nikitazama safu ya Chadema kumpata wa kumliganisha uzito na huyu bingwa wa uzito wa juu katika medani za siasa ya Tanzania.
Nashindwa kupata jibu ni mwana siasa yupi ndani ya chadema ambae atasimama haswa na kuwakinaisha Watanzania wamchaguwe badala ya Lowassa iwapo ataamuwa kugombea kiti cha Urais Tanzania?
Maana najuwa Mbowe hana hamu tena baada ya kugaragazwa vibaya sana na Jakaya Mrisho Kikwete mwaka 2005.
Slaa nae choka mbaya, hana jipya zaidi ya majungu na siasa zisizo na mpango, hata ujumbe kwa Mwema ni ushahidi tosha kuwa kaishiwa kisiasa.
Nilidhani Zitto ataweza kwa kuwa ni damu changa lakini napata mashaka kuwa siasa za ukanda za chadema zitampa fursa ya kugombea, dalili zote zinaonesha chadema wa kanda ya kaskazini hawamtaki kabisa. Kwa hiyo huyu nnamtoa kwenye kinyan'ganyiro.
Shibuda hata akipitishwa kugombea akiambiwa Lowassa anagombea atakataa kuchuana nae.
Ka Mnyika, haka bado sana, hata ubungo inamshinda na sijui kama atashinda tena hata akigombea Ubunge huko. Kwishnei.
Halima Mdee, huyu hana ubavu, huyu akisikia Lowassa anagombea labda ajitafutie umaarufu tu - kwa hiyo huyu nje.
Nani mwingine?
Natamani Lowassa atangaze mapema kugombea 2015 angalau chadema waanze kujitayarisha mapema na mgombea ambae uchaguzi hautokuwa boring, maana hao wote juu Lowassa atawaonea tu.
CCM inatisha.
Huyu c walimgaragaza kwenye upm bado yuko tu majeraha yake
Just because you cannot do it, does not mean no one else can. Mlishindwa siku 90 sasa unafikiri kila mtu ni crying wolf!
zomba, nafikiri ni swala la kuteleza tu...ulilotaka hasa kuliandika ni haya;Inaniwia vigumu kila nikitazama safu ya Chadema kumpata wa kumliganisha uzito na huyu bingwa wa uzito wa juu katika medani za siasa ya Tanzania.
Natamani Lowassa atangaze mapema kugombea 2015 angalau chadema waanze kujitayarisha mapema na mgombea ambae uchaguzi hautokuwa boring, maana hao wote juu Lowassa atawaonea tu.
Zomba said:Inaniwia vigumu kila nikitazama safu ya CCM kumpata wa kumliganisha uzito na huyu bingwa wa uzito wa juu katika medani za siasa ya Tanzania.
![]()
Ninatamani Lowassa atangaze mapema kugombea 2015 angalau CCM waanze kuvurugana...
Tutasikia mengi na kusoma mengi kuelekea uchaguzi mkuu.