Kuelekea 2025: Kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri

Desprospero

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
1,015
Reaction score
2,493
Wadau, siku zinakwenda mbio. Hazigandi. Uchaguzi Mkuu unakatibia sana. Hapana shaka kwamba chama-tawala CCM kitaendelea kumsimamisha Rais Samia, lakini kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri.

Serikali ya Samia inanuka Rushwa toka mtaani hadi Ikulu.
 
Kalale tena ili uote ndoto ingine. Rushwa haijawahi kuiangusha CCM katikati ya wananchi maskini kwa kiwango hiki kama ndivyo ingeanguka wakati wa Jakaya.
 
Ungeweka ushahidi badala ya kuandika pumba Kwa sababu una chuki na Samia.
 
Wadau, siku zinakwenda mbio. Hazigandi. Uchaguzi Mkuu unakatibia sana. Hapana shaka kwamba chama-tawala CCM kitaendelea kumsimamisha Rais Samia, lakini kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri.

Serikali ya Samia inanuka Rushwa toka mtaani hadi Ikulu.
Sahivi rushwa imekuwa kama sala asee
 
Ccm haitegemei kura kukaa madarakani.
Hata Rais aliye madarakani aliyatamka haya, alisema kuipigia kura Chadema ni sawa na kumwaga sukari Ziwa Victoria ilhali wao ndiyo watainda serikali.
 
Nitajie ripoti ya CAG ya mwaka 2020 kurudi nyuma Hadi 2016 akisema Rushwa hakuna Ili Nile mavi Yako.

Mwisho CAG hajawahi zungunzia Rushwa popote Bali upotevu wa pesa na mambo kama hayo.
Inaonekana wewe ni masikini wa Mali na akili na hujui kwa nini uko hivyo. Kukusaidia ni ngwe nzito sana.
 
Umewasaidia ndugu zako wangapi wakawa matajiri? Zero braini weka hapa ripoti Huwa sitaki blaa blaa za nyie wajinga.
 
Bora kipindi Mkapa yupo alikuwa anakemea kidogo, amebaki JK dalali wa rasimali za nchi na mchuuzi
 
Wadau, siku zinakwenda mbio. Hazigandi. Uchaguzi Mkuu unakatibia sana. Hapana shaka kwamba chama-tawala CCM kitaendelea kumsimamisha Rais Samia, lakini kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri.

Serikali ya Samia inanuka Rushwa toka mtaani hadi Ikulu.
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Napenda hoja kama hizi. Big up bro
 
Back
Top Bottom