Kuelekea 2025: Kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri

Kuelekea 2025: Kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri

Kuna Wilaya viongozi wa CCM ngazi za kata na vijiji ndio mafisadi wanaohujumu miradi ya serikali. Na wanaaminika sana na wamewekwa katika kamati za ujenzi wa miradi (Madarasa na Vituo vya afya). Ni hatari, na hiyo wilaya imekaa kisiasa sana, mtumishi ukizingua unaazimiwa
Wameingia mpaka kwenye Ardhi Dodoma yanaiba kweli kweli kupitia kivuli Cha uvamizi wa maeneo ya watu Nkuhungu Matuli Mbwanga yapo kuanzia Mabalozi, wenyeviti mtaa,Diwani inatisha
 
Back
Top Bottom