Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Mtafute CAG akupe ushahidi.Ungeweka ushahidi badala ya kuandika pumba Kwa sababu una chuki na Samia
Mkuu asante kwa kumpa za uso huyo Ndezi pori.Mtafute CAG akupe ushahidi.
Nitajie ripoti ya CAG ya mwaka 2020 kurudi nyuma Hadi 2016 akisema Rushwa hakuna Ili Nile mavi Yako.Mtafute CAG akupe ushahidi.
Sahivi rushwa imekuwa kama sala aseeWadau, siku zinakwenda mbio. Hazigandi. Uchaguzi Mkuu unakatibia sana. Hapana shaka kwamba chama-tawala CCM kitaendelea kumsimamisha Rais Samia, lakini kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri.
Serikali ya Samia inanuka Rushwa toka mtaani hadi Ikulu.
Hata Rais aliye madarakani aliyatamka haya, alisema kuipigia kura Chadema ni sawa na kumwaga sukari Ziwa Victoria ilhali wao ndiyo watainda serikali.Ccm haitegemei kura kukaa madarakani.
Chawa wao wanaza diliMtafute CAG akupe ushahidi.
Inaonekana wewe ni masikini wa Mali na akili na hujui kwa nini uko hivyo. Kukusaidia ni ngwe nzito sana.Nitajie ripoti ya CAG ya mwaka 2020 kurudi nyuma Hadi 2016 akisema Rushwa hakuna Ili Nile mavi Yako.
Mwisho CAG hajawahi zungunzia Rushwa popote Bali upotevu wa pesa na mambo kama hayo.
Umewasaidia ndugu zako wangapi wakawa matajiri? Zero braini weka hapa ripoti Huwa sitaki blaa blaa za nyie wajinga.Inaonekana wewe ni masikini wa Mali na akili na hujui kwa nini uko hivyo. Kukusaidia ni ngwe nzito sana.
Duh... !, wewe kumbe ndio huzijui siasa za Bongo!. Mkono mtupu haulambwi!, mwenye kisu kikali ndie anakula nyama!.Wadau, siku zinakwenda mbio. Hazigandi. Uchaguzi Mkuu unakatibia sana. Hapana shaka kwamba chama-tawala CCM kitaendelea lakini kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri.
Njoo nikuajiri hata kuandika hujui. Hasara kabisa kwa wazazi wako. Ila sikushangai maana wewe ni mmoja kati ya wale wanne.Umewasaidia ndugu zako wangapi wakawa matajiri? Zero braini weka hapa ripoti Huwa sitaki blaa blaa za nyie wajinga.
Serikali corrupt haikusanyi Kodi. Sauti ya Mwl.Duh... !, wewe kumbe ndio huzijui siasa za Bongo!. Mkono mtupu haulambwi!, mwenye kisu kikali ndie anakula nyama!.
P
Naunga mkono hoja ππWadau, siku zinakwenda mbio. Hazigandi. Uchaguzi Mkuu unakatibia sana. Hapana shaka kwamba chama-tawala CCM kitaendelea kumsimamisha Rais Samia, lakini kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri.
Serikali ya Samia inanuka Rushwa toka mtaani hadi Ikulu.
Chawa ni wapiga mizinga wazuriInaonekana wewe ni masikini wa Mali na akili na hujui kwa nini uko hivyo. Kukusaidia ni ngwe nzito sana.
Napenda hoja kama hizi. Big up broWadau, siku zinakwenda mbio. Hazigandi. Uchaguzi Mkuu unakatibia sana. Hapana shaka kwamba chama-tawala CCM kitaendelea kumsimamisha Rais Samia, lakini kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri.
Serikali ya Samia inanuka Rushwa toka mtaani hadi Ikulu.
ποΈποΈποΈποΈNjoo nikuajiri hata kuandika hujui. Hasara kabisa kwa wazazi wako. Ila sikushangai maana wewe ni mmoja kati ya wale wanne.