chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hili ni kundi ambalo halijatosheka na damu liliyokunywa, na tayari limeanza kujipanga kunywa damu zaidi ya watanzania, kutupa miili yao baharini, kupoteza raia kwa njia ya kuteka kwa magari aina ya Noah, kufukuza watumishi bila kufata taratibu, kuchukua kwa nguvu pesa za wafanyabiashara, mali zao, kutishia Kila mtu jukwaani. Je vyombo vya dola vitaruhusu hawa watu warudi tena? Naona wamemtanguliaza mpaza sauti wao mwenye mdomo mpana, na juzi kipaza sauti kaongea, na mgombea wao anatajwatajwa, mgombea wao naye ni mmoja ya watu makatili sana.
Bila shaka Kila namna itafanywa hawa watu waliotaka kulipasua taifa wasipate nafasi yoyote ya juu kwa mustakabali wa taifa.
Tunatatajia watafuatilialiwa kwa karibu ili mradi wao wa matrilioni waliyoiba ukwame.
Walianza kukodi na kulipa vituo vya Tv, nasikia msanii mmoja wa kiume wameshamnunua, na ndio ameelekezwa asijihusishe na SSH, kama sehemu ya malipo, mdomo mpana alipewa fursa ya kutukana serikali kupitia chombo Cha huyo msanii, na walimuahidi kumlinda.
Mdomo mpana anatembea na listi ya wabunge anaowataka 2025 na mawaziri ameshawapanga, na yeye kaahidiwa uwaziri mkuu, yaani atoke kubeba mabegi ya proposal za NGO akitapeli wazungu aje awe Waziri Mkuu ?
CCM wakiwapa nafasi, basi watalia na kusaga meno.
SSH2025
#KataaWauwaji
#kataaWatekaji
#kataaWatupawatu baharini