sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
1. "Nimeifunga Yanga mara mbili na kutoka sare mechi moja katika mechi nilizocheza nao nikiwa kocha wa Simba, kwahiyo najivunia rekodi hiyo ambayo naamini itanibeba na kupata matokeo mazuri katika mechi ya Jumamosi na hata mechi nyingine za ligi na michuano mengine" – Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog
2. "Nimeambia mara ya mwisho Yanga walifungwa mabao 2-1 na Simba tena wakiwa nusu hicho ndicho kitakachotokea Jumamosi sioni mabadiliko kwasababu Yanga bado ni timu dhaifu na ni timu ambayo inacheza kwakutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja" – Kocha Msaidizi wa Simba, Masud Djuma
3. "Tunaweza kushinda mabao mengi zaidi ya haya [4G] kwenye mechi dhidi ya Yanga, hivyo mashabiki wetu waje kwa wingi kushuhudia" – Beki kisiki, Mohammed Hussein “Tshabalala”
4. "Sitaogopa mtu yeyote kama ilivyo kawaida yangu, hata kama ni Tshishimbi nitakula naye sahani moja" – Kiungo bora Mkabaji kuwahi kushuhudiwa katika Millenia hii, Jonas Mkude
5. "Aliyeshinda tuzo ya fifa anavaa namba saba, anaeongoza kwa kufunga nchini anavaa namba saba, Emanuel na Ronaldo zina herufi saba, Jmosi ni siku ya saba ya wiki, tarehe 28 ukiigawa kwa nne (idadi ya herufi za jin la Okwi) unapata saba, nimejipigia hesabu, ukibisha kasomee upishi" – Msemaji wa Simba, Haji Manara
Nikiripoti toka katika Hoteli bora kabisa kwa sasa katika ukanda huu wa Africa Mashariki na Kati, Hoteli yenye hadhi ya Nyota Saba, MTONI MARINE iliyopo Maruhubi Mjini Unguja, ambapo “Bingwa” Simba SC kaweka kambi.. Ni mimi sembo wa JF.