Kuelekea 28/10; Nawaleteeni kwenu Salaamu toka 'Msimbazi'.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
1. "Nimeifunga Yanga mara mbili na kutoka sare mechi moja katika mechi nilizocheza nao nikiwa kocha wa Simba, kwahiyo najivunia rekodi hiyo ambayo naamini itanibeba na kupata matokeo mazuri katika mechi ya Jumamosi na hata mechi nyingine za ligi na michuano mengine" – Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog

2. "Nimeambia mara ya mwisho Yanga walifungwa mabao 2-1 na Simba tena wakiwa nusu hicho ndicho kitakachotokea Jumamosi sioni mabadiliko kwasababu Yanga bado ni timu dhaifu na ni timu ambayo inacheza kwakutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja" – Kocha Msaidizi wa Simba, Masud Djuma

3. "Tunaweza kushinda mabao mengi zaidi ya haya [4G] kwenye mechi dhidi ya Yanga, hivyo mashabiki wetu waje kwa wingi kushuhudia" – Beki kisiki, Mohammed Hussein “Tshabalala”

4. "Sitaogopa mtu yeyote kama ilivyo kawaida yangu, hata kama ni Tshishimbi nitakula naye sahani moja" – Kiungo bora Mkabaji kuwahi kushuhudiwa katika Millenia hii, Jonas Mkude

5. "Aliyeshinda tuzo ya fifa anavaa namba saba, anaeongoza kwa kufunga nchini anavaa namba saba, Emanuel na Ronaldo zina herufi saba, Jmosi ni siku ya saba ya wiki, tarehe 28 ukiigawa kwa nne (idadi ya herufi za jin la Okwi) unapata saba, nimejipigia hesabu, ukibisha kasomee upishi" – Msemaji wa Simba, Haji Manara

Nikiripoti toka katika Hoteli bora kabisa kwa sasa katika ukanda huu wa Africa Mashariki na Kati, Hoteli yenye hadhi ya Nyota Saba, MTONI MARINE iliyopo Maruhubi Mjini Unguja, ambapo “Bingwa” Simba SC kaweka kambi.. Ni mimi sembo wa JF.
 
Tunaomba tarehe 28/10/2017 mpira ukiisha tupe mrejesho Mkuu!!!
 
1. Nina wasiwasi mtoa mada ametia maneno yake mdomoni mwa kocha. Rikodi siyo inayocheza mechi, kila mechi ina mazingira yake. Kocha yeyote analijua hilo, akiwamo Omog. Kama kweli amesema hayo, ukocha wake una walakini maana maswala ya kubebwa na rekodi ni hoja za kiutabiri, si za kiufundi.
2. Nina wasiwasi mtoa mada au aliyemnukuu ametia maneno yake mdomoni mwa kocha msaidizi. Kocha ambaye hana hata wiki ndani ya klabu atakuwa mwehu kuanza tu na majigambo kabla hata hajafundisha, kwa sababu ni sawa na kusema kuwepo kwake hakuhitajiki. Kazi ya kocha msaidizi ni kusaidiana na kocha mkuu, si kuwa naibu msemaji wa timu.
3. Beki ambaye hata uwanjani haingii ataihakikishiaje timu yake ushindi? Labda awe amehamia fani ya uchawi, kama kweli inasaidia.
4. Unapomchapa mwanao akawa analia huku akisema kwa uchungu kwamba fimbo zenyewe wala hazikumpata, huna haja ya kumwongeza nyengine - ni ishara kuwa zimemkolea huyo. Kama kweli Mkude amesema hamwogopi Shishimbi, ndiyo anamwogopa huyo.
5. Nina wasiwasi mtoa mada ananyemelea kazi ya usemaji ya Haji Manara ndani ya Simba. Anachokifanya hapa ni kumsingizia au kumuumbua Haji Manara ili aonekane hafai. Maana Manara mwenyewe alishaapa kwamba anafunga mdomo wake mpaka baada ya mechi ya Simba na Yanga. Tuseme mdomo ulijifungua wenyewe, au mtoa mada anamchonganisha kwa asichokisema?
Mtoa mada haelekei kuwa anakujua Mtoni Marine anakodai kuna hoteli ya Nyota Saba. Hakuna hoteli iitwayo hivyo hapa Zanzibar. Iliyokuwapo iliuzwa kwa kampuni ya Bakhresa, ikavunjwa na sasa yuko kujenga hoteli nyengine ambayo haijamalizika. Kwa hivyo eneo la iliyokuwa Mtoni Marine ni eneo la ujenzi (construction site) ambako ndiko Simba wameweka kambi.
 
Tunasubiri mrejesho wa mchangani
 
Kati ya Simba na Yanga nani ana bahati maana kuna magoli mawili ya wazi (Mwashiuya na Martin) Yanga wamemkosa Simba. Au unasemaje?

Na Kuna [HASHTAG]#Penalt[/HASHTAG] Ya Wazi Refa Amepeta. Au [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Munasemaje?
 
Hahahaaa pesa za mafisango za rambirambi walizokula mpk warudishe
 
Back
Top Bottom