Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 242
- 1,141
"Tunaanza mkutano na wadau kuwaelimisha watu wa bodaboda na bajaji na kupanga vituo,lakini pia wenzetu wa daladala ndogo (Hiace) muda wao kati kati ya Jiji umeisha”
“Tunahitaji wawekezaji wa mabasi makubwa ,mabasi ambayo yanatakiwa yawe zero kilomita lakini pia yawe branded ili yawe na sifa ya AFCON.
Nondo za mkurugenzi wa Halmashauri ya jijila Arusha.
Eng Juma Hamsini