Nchi hii imejaa wapumbavu tu wenye vitambi ambao hawana uwezo wa kufikiri vizuri. Wakiongozwa na bibi yao (Grandma) muuaji wa watoto wa wengine. Hawawezi kufanya lolote huku duniani na likaenda sawa.Wazo zuri, ila hii nchi hawajawahi sikiliza ushauri wa mwananchi wa chini ila wao wanakuja na mipango yao tu.
Siyo muuwaji wa watoto wa wengine, ni muuwaji wa nyumbu wahalifu wezi na waharibifu wa mali na wewe ukitaka uende akhera toka ukaibe na kuharibu mali.Nchi hii imejaa wapumbavu tu wenye vitambi ambao hawana uwezo wa kufikiri vizuri. Wakiongozwa na bibi yao (Grandma) muuaji wa watoto wa wengine. Hawawezi kufanya lolote huku duniani na likaenda sawa.
Hadi wakati wa AFCON BRT Phase 1,2,3,4 zitakuwa tayari hivyo hakutakuwa na daladala. Bus za mwendokasi za gas na umeme full AC kama za Mbagala ndio zitakuwa barabarani.Usafiri wa umma wa daladala katika Jiji la Dar es Salaam ni mbovu sana na haujawahi kuwa wa kistaarabu, sehemu ya kwenda kwa dakika 45 yanatumika hadi masaa mawili tena huku abiria wamebambiana kama ndizi pamoja na kuvujiana jasho.
Sasa tusiwafanyie hivyo wageni wa AFCON ikiwa hatutanya'ng'anywa haya mashindano. Kuanzia sasa tuanze kuwa na dalaladala za madaraja tofauti kama mabasi, ziwepo dalaladala VIP ambazo hazisimamishi abiria nauli iwe kuanzia 2,000.
Wewe ni mbwa usiye na akili fala wewe, unayelipwa ili kutetea mauaji. Mbona wezi wa mali ya umma akina Mwigulu na huyo mama yako mwenye kitumbo kama bakuli hawauawi na wanaiba mali yetu. Fala wewe....siku nyingine jaribu kufikiri kwa kutumia kichwa, tumia makalio yako kwa kazi nyingine pumbavu wewe.Siyo muuwaji wa watoto wa wengine, ni muuwaji wa nyumbu wahalifu wezi na waharibifu wa mali na wewe ukitaka uende akhera toka ukaibe na kuharibu mali.
Muhalifu mkubwa.
Afcon ni mwaka 2027, nina uhakika dalaladala Dar zitaendelea kuwepo hadi mwaka 2030 hata na kuendelea.Hadi wakati wa AFCON BRT Phase 1,2,3,4 zitakuwa tayari hivyo hakutakuwa na daladala. Bus za mwendokasi za gas na umeme full AC kama za Mbagala ndio zitakuwa barabarani.
Andika comment fupi sina muda wa kusoma utumbo wa nyumbu kama weweWewe ni mbwa usiye na akili fala wewe, unayelipwa ili kutetea mauaji. Mbona wezi wa mali ya umma akina Mwigulu na huyo mama yako mwenye kitumbo kama bakuli hawauawi na wanaiba mali yetu. Fala wewe....siku nyingine jaribu kufikiri kwa kutumia kichwa, tumia makalio yako kwa kazi nyingine pumbavu wewe.
Kuna uwezekano mkubwa huko walipochimbachimba wasiweze kumaliza kujenga na kuparudishia kwa miaka miwili ijayo. Hii serikali wanachofanya ni kama wale watu wenye tamaa ya kujaza chakula kingi mdomoni na kukata matonge ya ziada kabla hata hawajameza kilichotangulia.Jiji liko shaghalabaghala limechimbwa chimbwa kila mahali kama mgodi wa dhahabu?, lazima tunyang’anywe tu uandaaji wa kombe endapo hatutakamilisha ujenzi na kufikia mashimo mashimo yaliyochimbwa na waChina
Zitakuwepo nje ya mji. AFCON 2027 mwishoni.Afcon ni mwaka 2027, nina uhakika dalaladala Dar zitaendelea kuwepo hadi mwaka 2030 hata na kuendelea.
Una amini Dar bila daladala inawezekana ?Zitakuwepo nje ya mji. AFCON 2027 mwishoni.
Afcon huwa haiwi na mashabiki wengi wanaosafiri kutoka nchi mbalimbali , haina haja ya kujihangaisha mashabiki kutoka mataifa mengine unaweza kuwaandalia mabasi VIP kila siku ya mechi kuwafikisha uwanjani na kuwarudisha full stop huku sisi tukiendelea na maisha yetu kama kawaida.Usafiri wa umma wa daladala katika Jiji la Dar es Salaam ni mbovu sana na haujawahi kuwa wa kistaarabu, sehemu ya kwenda kwa dakika 45 yanatumika hadi masaa mawili tena huku abiria wamebambiana kama ndizi pamoja na kuvujiana jasho.
Sasa tusiwafanyie hivyo wageni wa AFCON ikiwa hatutanya'ng'anywa haya mashindano. Kuanzia sasa tuanze kuwa na dalaladala za madaraja tofauti kama mabasi, ziwepo dalaladala VIP ambazo hazisimamishi abiria nauli iwe kuanzia 2,000.
Inategemea na mechi na nchi,Afcon huwa haiwi na mashabiki wengi wanaosafiri kutoka nchi mbalimbali , haina haja ya kujihangaisha mashabiki kutoka mataifa mengine unaweza kuwaandalia mabasi VIP kila siku ya mechi kuwafikisha uwanjani na kuwarudisha full stop huku sisi tukiendelea na maisha yetu kama kawaida.