RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Ndio.Una amini Dar bila daladala inawezekana ?
Ndio.Una amini Dar bila daladala inawezekana ?
Comment fupi: Wewe akili yako ipo kwenye sehemu nyingine......MakalioAndika comment fupi sina muda wa kusoma utumbo wa nyumbu kama wewe
Tunataka kuwahi, huoni huko Japan kuna hadi askari wa kusukuma watu ndani wabanane ili wawahi.Ni bora usafiri bila bugdha katika foleni kuliko na bugdha ya kubambiana na kupakana jasho kwenye foleni.
hiz zina rangi mbaya hawazitaki Mbagala. Ndio mana hawazipandi. Biashara ya huduma na siasa wapi na wapi!Hadi wakati wa AFCON BRT Phase 1,2,3,4 zitakuwa tayari hivyo hakutakuwa na daladala. Bus za mwendokasi za gas na umeme full AC kama za Mbagala ndio zitakuwa barabarani.
Tatizo ni foleni Joh, huko kubanana sio shida kama tutafika mapema.Mbona sasa hata huwa hamuwahi??
Mnapumuliana na bado mnachelewa!
Basi wawawekee na AC kabisa kama Japan.Tatizo ni foleni Joh, huko kubanana sio shida kama tutafika mapema.
Kuna wanaotakiwa kureport kazini saa moja, mbili au tatu hao wote wanadamka kumi na moja wawahi na kubanana. Ila ikiwa hakuna foleni watapeana muda.
Anaetakiwa kwenda saa tatu ataanza safari saa mbili.
Usafiri wa umma wa daladala katika Jiji la Dar es Salaam ni mbovu sana na haujawahi kuwa wa kistaarabu, sehemu ya kwenda kwa dakika 45 yanatumika hadi masaa mawili tena huku abiria wamebambiana kama ndizi pamoja na kuvujiana jasho.
Sasa tusiwafanyie hivyo wageni wa AFCON ikiwa hatutanya'ng'anywa haya mashindano. Kuanzia sasa tuanze kuwa na dalaladala za madaraja tofauti kama mabasi, ziwepo dalaladala VIP ambazo hazisimamishi abiria nauli iwe kuanzia 2,000.
Mechi nyingi zitachezwa Fumba na Amaan Unguja WaTanganyika punguzeni matarajio!Inategemea na mechi na nchi,
Kwa mechi kama za timu ya South Africa, Zambia, Nigeria, Congo, Msumbiji, Angola, Comoro na baadhi yaWaarabu zitakuwa na watu wengi.
Ni wazo zuriUsafiri wa umma wa daladala katika Jiji la Dar es Salaam ni mbovu sana na haujawahi kuwa wa kistaarabu, sehemu ya kwenda kwa dakika 45 yanatumika hadi masaa mawili tena huku abiria wamebambiana kama ndizi pamoja na kuvujiana jasho.
Sasa tusiwafanyie hivyo wageni wa AFCON ikiwa hatutanya'ng'anywa haya mashindano. Kuanzia sasa tuanze kuwa na dalaladala za madaraja tofauti kama mabasi, ziwepo dalaladala VIP ambazo hazisimamishi abiria nauli iwe kuanzia 2,000.