Kuelekea AFCON 2027: Kuanzishwe dalaladala na Mwendokasi VIP

Ni bora usafiri bila bugdha katika foleni kuliko na bugdha ya kubambiana na kupakana jasho kwenye foleni.
Tunataka kuwahi, huoni huko Japan kuna hadi askari wa kusukuma watu ndani wabanane ili wawahi.
 
Hadi wakati wa AFCON BRT Phase 1,2,3,4 zitakuwa tayari hivyo hakutakuwa na daladala. Bus za mwendokasi za gas na umeme full AC kama za Mbagala ndio zitakuwa barabarani.
hiz zina rangi mbaya hawazitaki Mbagala. Ndio mana hawazipandi. Biashara ya huduma na siasa wapi na wapi!
 
Mbona sasa hata huwa hamuwahi??
Mnapumuliana na bado mnachelewa!
Tatizo ni foleni Joh, huko kubanana sio shida kama tutafika mapema.

Kuna wanaotakiwa kureport kazini saa moja, mbili au tatu hao wote wanadamka kumi na moja wawahi na kubanana. Ila ikiwa hakuna foleni watapeana muda.
Anaetakiwa kwenda saa tatu ataanza safari saa mbili.
 
Basi wawawekee na AC kabisa kama Japan.
 

Mechi nyingi zitachezwa Fumba na Amaan Unguja WaTanganyika punguzeni matarajio!
 
Inategemea na mechi na nchi,
Kwa mechi kama za timu ya South Africa, Zambia, Nigeria, Congo, Msumbiji, Angola, Comoro na baadhi yaWaarabu zitakuwa na watu wengi.
Mechi nyingi zitachezwa Fumba na Amaan Unguja WaTanganyika punguzeni matarajio!
 
Ni wazo zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…