Kuelekea agosti 28 jina moja tu litaimbwa majukwaani "Samia, samia, samia"

jina pekee liimbwalo GIZANI!
washei taa nyie WACHAWI
Oyaaa .... Washirikina na wavimba macho nawapa pole na hawatatoboa🀣🀣🀣🀣
 
Mna wakati mgumu sana wa kupambana na upinzani wa ndani ya chama. Maana kwa akili zenu duni, mlifikiri upinzani unafanywa na Chadema tu.
Chama kipo well settled na kila kitu kipo kwenye proper channel. Chama kilichoongoza ukombozi wa taifa na ndicho kilichobaki na chenye ushawishi Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…