ccm ilianzishwa mwaka 1977! Iliongoza ukombozi wa Taifa lipi? Na kina ushawishi wa kitu gani Afrika?Chama kipo well settled na kila kitu kipo kwenye proper channel. Chama kilichoongoza ukombozi wa taifa na ndicho kilichobaki na chenye ushawishi Africa.
Sasa mimi nimekosa nini😃😃😆😆Kauli za wakosaji.... Haya ni mahaba kwa kiongozi mpenda na mtenda haki.
Mkuu wewe ni wa Burundi sio 🤣🤣🤣🤣 kubadiri jina hakuondoi ukweli kuwa TANU ndio chimbuko lake lakini TAA ndio msingi wa siasa za ukombozi wa taifa letu pendwa Tanzania.ccm ilianzishwa mwaka 1977! Iliongoza ukombozi wa Taifa lipi? Na kina ushawishi wa kitu gani Afrika?
Unakashifu uzalendo wangu kwa taifa langu. Kwamwe I won't fall on your trap.Sasa mimi nimekosa nini😃😃😆😆
Mzalendo uwe wewe🤣🤣Unakashifu uzalendo wangu kwa taifa langu. Kwamwe I won't fall on your trap.
Tafadhari baada ya Tafadhali , mtu akishaandika hivyo tu namwona kilaza na mshamba wa mwisho🚮Nchi ipo mikono salama ya Daktari SAMIA SULUHU HASSAN . Tumpe maua yake tafadhari 🌹🌹🌹🌹
Lissu sio mzalendo, jamaa ni mtuhumiwa na kwa heshima za mahakama zetu tukufu, sitasema neno juu yake. Naachia mahakama kazi iyo.Mzalendo uwe wewe🤣🤣
Mzalendo lissu yupo jela
Sawa mswahili mahiri ambaye kiswahili chako kinakupa ugali wako wa kila siku.Tafadhari baada ya Tafadhali , mtu akishaandika hivyo tu namwona kilaza na mshamba wa mwisho🚮
Mpaka nimekuwa mkubwa hivi , leo ndio unakuja hoji kuhusu mimi kuupata ugali wa kula? !!!!!Sawa mswahili mahiri ambaye kiswahili chako kinakupa ugali wako wa kila siku.
Hoja hupingwa kwa hoja na sio chako kihoja.Mpaka nimekuwa mkubwa hivi , leo ndio unakuja hoji kuhusu mimi kuupata ugali wa kula? !!!!!
Unafikiri kila mtu anapata ugali kwa uchawa ? Wa 7000 ?Hoja hupingwa kwa hoja na sio chako kihoja.
Hata wewe kesho unaweza kua mtuhumiwaLissu sio mzalendo, jamaa ni mtuhumiwa na kwa heshima za mahakama zetu tukufu, sitasema neno juu yake. Naachia mahakama kazi iyo.
Prove your point. Uchawa ni neno limetoka kwenye kinywa chako either kwa kufikiri or kuropoka. Anyway haki yako kunena.Unafikiri kila mtu anapata ugali kwa uchawa ? Wa 7000 ?
Exactly, the biggest name in the world of politicsViva Samia
Niko tayari kuingia katika historia kwa kumpigia kura Rais mwanamke kutoka Zanzibar. Ni historia ya Africa Mashariki na katiExactly, the biggest name in the world of politics
Ukifika wakati huo, mahakama itafanya kazi yake kulingana na katiba na Sheria za nchi yetu.Hata wewe kesho unaweza kua mtuhumiwa
TunatikiNchi ipo mikono salama ya Daktari SAMIA SULUHU HASSAN . Tumpe maua yake tafadhari 🌹🌹🌹🌹
TunatikiNiko tayari kuingia katika historia kwa kumpigia kura Rais mwanamke kutoka Zanzibar. Ni historia ya Africa Mashariki na kati
Nitampigia kura pia.Niko tayari kuingia katika historia kwa kumpigia kura Rais mwanamke kutoka Zanzibar. Ni historia ya Africa Mashariki na kati