Kuna chawa vidampa wa pesa ya mboga, na vibiashara uchwara, na kuna machawa wakubwa ambao wana mikakati yao kabambe ya kiuchumi wa juu zaidi , mbaya zaidi ukute uchawa wako ni kwa sababu za mfanano wa kidini tu🤣🤣🤣Prove your point. Uchawa ni neno limetoka kwenye kinywa chako either kwa kufikiri or kuropoka. Anyway haki yako kunena.
#OctoberTunatiki✅Tunatiki
Raia kama wewe ndio wale wanaolipwa na watu kuropoka. Niwazi wewe na walio nyuma yako nyote ni vizabizabina. Kama vipi hameni nchi.Kuna chawa vidampa wa pesa ya mboga, na vibiashara uchwara, na kuna machawa wakubwa ambao wana mikakati yao kabambe ya kiuchumi wa juu zaidi , mbaya zaidi ukute uchawa wako ni kwa sababu za mfanano wa kidini tu🤣🤣🤣
Ni hame nchi mara ya ngapi bwashee? 😅😅 wewe kale ugali mlenda huko ukalale , hiyo October ukatiki utajua mwenyewe 🚮Raia kama wewe ndio wale wanaolipwa na watu kuropoka. Niwazi wewe na walio nyuma yako nyote ni vizabizabina. Kama vipi hameni nchi.
Wewe elewa na Fanya kivyako. Uhuru Mwalimu alitupatia. Wewe endelea kupiga nyenyenye zakooo. Watanzania wenye akili timamu #OctoberTunatiki✅Ni hame nchi mara ya ngapi bwashee? 😅😅 wewe kale ugali mlenda huko ukalale , hiyo October ukatiki utajua mwenyewe 🚮
Hapa pagumuKutoka timu ganiView attachment 3419450
Ujifunze kuandika siku nyingine , wewe kutiki au kuto tiki ni sawa tu.Wewe elewa na Fanya kivyako. Uhuru Mwalimu alitupatia. Wewe endelea kupiga nyenyenye zakooo. Watanzania wenye akili timamu #OctoberTunatiki✅
Sawa mwalimu wa tapauji.Ujifunze kuandika siku nyingine , wewe kutiki au kuto tiki ni sawa tu.
Hata kama ni tapaugali bwashee 😅 karibu bia chawa mwandamiziSawa mwalimu wa tapauji.
Watanzania woteAtaimba Lucas
Tutaimba watanzania wote wazalendo kasoro vibaraka wachacheHuo wimbo wa Sifa mtauimba wewe na mumeo Lucas Mwashambwa
Atokee wapiMama hana mpinzani
Mchawi mamako, mtaishi kwa shida balaajina pekee liimbwalo GIZANI!
washeni taa nyie WACHAWI
SAMIAAAA
SAMIAAAA
SAMIAAAA
Ukibisha hamia Burundi in Mwigulu's voice.
Utaimba tu mkuuu!!Mutaimba nyie kama mimi hilo jina sina habari nalo
Nawewe pia utaimba mkuu!Ataimba Lucas
Watanzania wengi hawamuungi mkono huyo Bi kizee aliyeshindwa !Tutaimba watanzania wote wazalendo kasoro vibaraka wachache
Lisu kibaraka wawa ZUNGU!!Mzalendo uwe wewe🤣🤣
Mzalendo lissu yupo jela