MjukuWaBabu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 456
- 721
- Thread starter
-
- #81
🤣🤣🤣🤣🤣 Sure hoja zako zimekaa kilevi sana Mlevi. Huwezi kuijenga nchi tukikupa na chama chako Cha walevi, zaidi ya kuiuza Ili mpate ela ya kulewa.🤣🤣🤣 Kaka mshahara wako changanya na ya uchawa mimi nalewa siku mbili tu bwashee
Mmmh huu uchawa utatufikisha wapi kama taifa?Nchi ipo mikono salama ya Daktari SAMIA SULUHU HASSAN . Tumpe maua yake tafadhari 🌹🌹🌹🌹
aliyeenda kwa waganga azindikwe mama yake nani kwani?Mchawi mamako, mtaishi kwa shida balaa
Hakuna uchwa popote, zaidi ya appreciation ya kazi nzuri na iliyotukuka alioifanya na anayoendelea kuifanya Daktari SAMIA SULUHU HASSAN.Mmmh huu uchawa utatufikisha wapi kama taifa?
Shida zao hizo. Sisi wanademokrasia wakweli tutashiri uchaguzi.Hii point ingekuwa na maana kama tu chadema wangekuwa huru
Maneno ya walevi wa MATAPUTAPU. 🤣🤣🤣🤣🤣Na wimbo wenyewe ni huu:- Parapanda italia parapandaaa parapanda italia parapanda.......
Maneno ya vichwa panzi 🤣🤣Watanzania wengi hawamuungi mkono huyo Bi kizee aliyeshindwa !
Unamuunga mkono wewe na mumeo Lucas
Chagua Cha kufanya ndugu. Nchi uhuru umezidi sana.Mmmh huu uchawa utatufikisha wapi kama taifa?
Vija kama nyie ni kuweka gerezani Ili mkafanye uzarishaji mali kwa nguvu. Unapayuka tuu Ili hari ukijua mwanao au ndugu yako anasomea kwenye madarasa very quality, hospitals na vifaa tiba kutosha, wewe nguchiro unatembelea kwenye barabara za rami hadi chumbani kwako. Kijana kuwa na discipline.Atavowahadaa wananchi if akienda kwenye kampeni. But wananchi washajua yeye ni mnyama anaekula nyama, mbogamboga ataziweza wapi?View attachment 3419636
Huu uhuru utawaponza sana.Matapeli wameshika hatamu, hakika ni huzuni kubwa
Uhuru wa mchongo labdaHuu uhuru utawaponza sana.
Bora mlevi wa taputapu kuliko zumbukuku asiyejitambua, mwanamke anakutieni dole huku mnakata miuno na kufurahia, wapumbavu sana nyii nyumbu wa kijani.Maneno ya walevi wa MATAPUTAPU. 🤣🤣🤣🤣🤣
Unakula, unafanya ufanyacho Ili mkono uende kinywani, unalala na mwenza wako pasipo kuwa na hofu yoyote. Wewe unataka nini Cha ziada mwana wa Adamu?Uhuru wa mchongo labda
Hii michawa sijui wameikotea wapi? Hata kuandika hayajui! "Wanayostairi" ndio nini? Hii ni mizenji ndio haina elimu!Nasemaje , uchaguzi umeisha... Tukakamilishe zoezi mwezi OCTOBER Mama arudi Chamwino kuwasogezea watanzania maendeleo wanayostairi.
Nchi ambayo mwananchi anaweza kukosoa viongozi pale wanapokosea pasipo kuwa na hofu ya kutekwa na kupotezwaUnakula, unafanya ufanyacho Ili mkono uende kinywani, unalala na mwenza wako pasipo kuwa na hofu yoyote. Wewe unataka nini Cha ziada mwana wa Adamu?
Demands zako zote ndiyo matakwa ya katiba yetu, na ndiyo hutekelezwa na chama pendwa Cha CCM.Nchi ambayo mwananchi anaweza kukosoa viongozi pale wanapokosea pasipo kuwa na hofu ya kutekwa na kupotezwa
Nchi ambayo kura yangu itakuwa na thamani kubwa
Nchi ambayo ustawi wa wananchi unasimamiwa ipasavyo na viongozi waliopo
Nchi ambayo Kila mtu anakuwa na uwezo wa kuwa kiongozi pasipo kulazimika kuwa CCM
Na mengine kama hayo
Tusingetumia ID fakeUhuru wa kuongea na kutoa maoni upo wa kutosha. Hapa jamiiforum unachokifanya ndicho CCM inatekeleza kwa weredi mkubwa.