Kuelekea Birthday yangu this weekend, nahitaji mchango wenu was mawazo kwa bajeti yangu.

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Happy New year ndugu zangu,

Mwaka ndio umeanza kwa kasi namna hii na wengine ndio kama hivi weekend hii tunasheherekea birthday πŸŽ‚ zetu.

Bajeti yangu ni elfu 30 tu nataka mawazo yenu nifanye nini ili angalau hiyo 30 ifanye siku yangu iwe ya kukumbukwa na iliyojaa furaha tele.

Natanguliza shukrani.
 
Nunua bando na soda tu then kaa home ukiperuse JF. Kwa pesa hiyo ukianza kuwaza kutokatoka unaweza kuimalizia kwenye usafiri tu
Mkuu inamaana wekundu watatu naishia kununua bundle tu??
 
Tafuta members wenzio wa Lumumba wanne, mpe kila mmoja ujira wake wa siku (7000*4) inayobaki 2,000 kakaeni bustani ya mnazi mmoja mpate mihogo na maji ya kandoro.
 
Hiyo Hela ipeleke pale Lumumba, CCM watajua kuipangia bajeti.
 
Njoo 40 40 tabata hapa nikushauri jins ya kupanga bajet ya hyo 30k

NB Utajitegemea kinywaji kumbuka HENNESSY ndogo 1@Tsh 40000 tu
Dah huko siji mkuu bajeti yangu ni 30 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…