Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Nunua vitu vidogo vidogo kama mfuko wa sabuni ya unga, vifuko vya pipi, biskuti...Nishauri namna ya kufanya hivyo kulingana na bajeti yangu.
Wasilisha kwa nyumba ya watoto yatima kama zawadi ya sikukuu na sadaka kwako kuanza mwaka mwingine kiumri...
Utapata thawabu kwa Maulana kuliko ungeitumbua kwa ishu nyingine