Nunua vitu vidogo vidogo kama mfuko wa sabuni ya unga, vifuko vya pipi, biskuti...Nishauri namna ya kufanya hivyo kulingana na bajeti yangu.
Asante Sana mkuu hii imekaa vizuri.Nunua vitu vidogo vidogo kama mfuko wa sabuni ya unga, vifuko vya pipi, biskuti...
Wasilisha kwa nyumba ya watoto yatima kama zawadi ya sikukuu na sadaka kwako kuanza mwaka mwingine kiumri...
Utapata thawabu kwa Maulana kuliko ungeitumbua kwa ishu nyingine
Yes. Nunua bundle GB za kutosha utulie nyumbani huku ukimtukuza Mungu kwa kukuongezea mwaka mwingine.Mkuu inamaana wekundu watatu naishia kununua bundle tu??
Kweli.Sawa mkuu,
Nitafanya hivyo, asante Sana kwa mchango wako,
Isingekuwa changamoto za I'D zetu ningekukaribisha tuunganike pamoja katika kulifanya hilo.
Utakapoanza kufanyiwa utazoea mwisho utapenda kufanyaUnasherekea bday mzee
Hii kitu sijawahi kufanya
Na sina uzoefu na mambo hayo
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316]Utakapoanza kufanyiwa utazoea mwisho utapenda kufanya
ππππππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316]
Nunua wanzuki na mmea, ita wana mburn house down. Mimi mambo ya bday yamenipita kushoto labda uwa sisahau kumfanyia mwanangu mimi ya kwangu uwa inanipita hata bila kufahamu isingekuwa Fb notifiation au watu wanaokumbuka kunitumia sms za bday wishes, ningekuwa sikumbuki kabisa.Happy New year ndugu zangu,
Mwaka ndio umeanza kwa kasi namna hii na wengine ndio kama hivi weekend hii tunasheherekea birthday π zetu.
Bajeti yangu ni elfu 30 tu nataka mawazo yenu nifanye nini ili angalau hiyo 30 ifanye siku yangu iwe ya kukumbukwa na iliyojaa furaha tele.
Natanguliza shukrani.
Mambo yenu hayo[emoji23][emoji23]Utakapoanza kufanyiwa utazoea mwisho utapenda kufanya
Unafurahia kuliekea kaburi!!!Happy New year ndugu zangu,
Mwaka ndio umeanza kwa kasi namna hii na wengine ndio kama hivi weekend hii tunasheherekea birthday π zetu.
Bajeti yangu ni elfu 30 tu nataka mawazo yenu nifanye nini ili angalau hiyo 30 ifanye siku yangu iwe ya kukumbukwa na iliyojaa furaha tele.
Natanguliza shukrani.