Kweli inawezekana Ally akadaka na kule. Ila kiungo lazima tukaze sana, Baadae game ikiwa poa namtoa Saido aingie Nyoni kuvuruga mipango yao. Mwishoni namtoa Baleke aingie Sakho kwaajili ya kushtukiza kwa kasi mashambulizi.Nadhani itakua hivyo
Ila hapo kipa ni Dogo Aliiiii
Manula vidole vilikatika
Issue ni fitness maana tutapigwa pressure na tutahitaji wachezaji wote kuwa fit sana.Manula hayupo, ila kwa mwarabu nyumbani kwake naona inahitajika miujiza kwa upande wetu, kama tunaweza kupita kwa Mwamposa kabla ya kupanda ndege itapendeza.
Wapeni glucose walambe 😁Issue ni fitness maana tutapigwa pressure na tutahitaji wachezaji wote kuwa fit sana.
Quattara inabidi aoneshe ukubwa na uzoefu kwa game kama hii. Akiwa fiti atatusaidia sana.Safu nzuri sana ya ulinzi ila Manula atafungwa mengi, wengi husema ana experience ya haya mashindano ila uzoefu hui ni wakufungwa tu nasio clean sheets.
Sasa basi endapo ataanza hua anakua na mchecheto na kuwaza namna gani hua anafungwa vibaya hii itumuondolea umakini na kua na woga/presha zaidi.
Hapo Kwa Mohusssein imekaa sawa huyu mzuri ila akikutana na wajuzi utamchukia buree.
Fit mpaka kiakili, sio kimwili pekee, tunaweza pewa red card dakika za mwanzoni tu, au yellow za kutosha hapo tunaweza legea tukafa nyingi.Issue ni fitness maana tutapigwa pressure na tutahitaji wachezaji wote kuwa fit sana.
Team yangu ya utotoni hiyo, naitakia kila la kheri!Kila laheri Casablanca, friends of casablanca tupo na nyie [emoji3577]
Ni kitu gani kinaweza kufanya wachezaji wasiwe n commitment?Wachezaji wakiwa na commitment game itakuwa nyepesi sana