Kuelekea Casablanca, Simba twende namna hii!

Kuelekea Casablanca, Simba twende namna hii!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wakuu,

Game ya Casablanca ni ngumu mno! Lazima uwe na wachezaji waliofiti kifizikia na kiakili muda wote wa mchezo.

Supercoach Robertinho ni fundi ila natoa ushauri mdogo tu. Hiki ndio kikosi changu cha mauaji huko. Mwarabu hatoboi hapa [emoji851]

Aishi Manula
Quattara Inonga Onyango

Kapombe Mzamiru Kanoute Kibu D

Saido Chama

Baleke

Sub: Nyoni, Phiri, Tshabalala, Ally, Sakho, Sawadogo, Kennedy, Banda na Israel.

Mfumo ni 3:4:2:1

Hili ndio kikosi langu, unaweza kutabiri chako. Kila lakheri Lunyasi #nguvumoja
 
Nadhani itakua hivyo
Ila hapo kipa ni Dogo Aliiiii
Manula vidole vilikatika
Kweli inawezekana Ally akadaka na kule. Ila kiungo lazima tukaze sana, Baadae game ikiwa poa namtoa Saido aingie Nyoni kuvuruga mipango yao. Mwishoni namtoa Baleke aingie Sakho kwaajili ya kushtukiza kwa kasi mashambulizi.
 
Safu nzuri sana ya ulinzi ila Manula atafungwa mengi, wengi husema ana experience ya haya mashindano ila uzoefu hui ni wakufungwa tu nasio clean sheets.
Sasa basi endapo ataanza hua anakua na mchecheto na kuwaza namna gani hua anafungwa vibaya hii itumuondolea umakini na kua na woga/presha zaidi.
Hapo Kwa Mohusssein imekaa sawa huyu mzuri ila akikutana na wajuzi utamchukia buree.
 
Manula hayupo, ila kwa mwarabu nyumbani kwake naona inahitajika miujiza kwa upande wetu, kama tunaweza kupita kwa Mwamposa kabla ya kupanda ndege itapendeza.
Issue ni fitness maana tutapigwa pressure na tutahitaji wachezaji wote kuwa fit sana.
 
Safu nzuri sana ya ulinzi ila Manula atafungwa mengi, wengi husema ana experience ya haya mashindano ila uzoefu hui ni wakufungwa tu nasio clean sheets.
Sasa basi endapo ataanza hua anakua na mchecheto na kuwaza namna gani hua anafungwa vibaya hii itumuondolea umakini na kua na woga/presha zaidi.
Hapo Kwa Mohusssein imekaa sawa huyu mzuri ila akikutana na wajuzi utamchukia buree.
Quattara inabidi aoneshe ukubwa na uzoefu kwa game kama hii. Akiwa fiti atatusaidia sana.
 
Back
Top Bottom