The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Maandamano ya amani yanawezekana. Mbezi sijui yaliyoanza na.kuisha
😁😁Nnachoogopa kubaki ndani hawa mbwa lazima waje mtaani kutuua.
Bora kukaza barabarani tu
Hiyo mikazo hamna nyie Curfew ikitangazwa hamtokimbilia barabarani mtarudi tu ndaniNnachoogopa kubaki ndani hawa mbwa lazima waje mtaani kutuua.
Bora kukaza barabarani tu
I'm not sure lakini kati ya jana na leo lakini siyo mo29Hiyo ni Leo hii au ya 2910?
Jidanganye. MO29 ilikuwa ya tofauti sanaBara bara ziko empty hivo sio Leo wala jana ni Mo29