UN: waandamanaji walindwe.
Balozi US & Israel : wekeni mazaga ndani na msitoke nje kuzurura,tiini mamlaka. Umakini unahitajika.
Tz government Via Polisi: Maandamano hayaruhusiwi. Ole wenu muandamane.
Gen Z: Tutakuwepo na tutaandamana. Kifo upo wapi tupige selfie? Kama kufa mlishatuua tayari October 29. December 9 tunakuja kukamilisha!!
Samia: Tumejipanga vema kukabiliana na waandamanaji,watakavyokuja tupo tayari kuwapokea.
Mashehe: Ole wenu waandamanaji. Ole wenu!!
TEC: huwezi kushindana na vijana ukashinda. Msitumie nguvu,wasikilizeni.
Dr Kitima: Kanisa katoroki Lina uzoefu wa zaidi ya miaka 800. Tumeishi na serikali za aina zote duniani..... ( Hii ni statement,amechora mstari!!)
Haya yote yanatokea Tanzania,tena kufumba na kufumbua.
We are in the wrong direction. Njia tumeiacha mbali sana kule nyuma.