Hakuna niko peke yangu 😎Hao nao wana wasaidizi wako wakukupiga tafu
We si ndio ulisema tukayajenge private imekuaje😂💔Ntakujibu private
Ntaijia mafunzo 😹😹huyu hataniponyokaNilikua sijaiona ila na mimi nilikuandikia uko juu, mpe tamu mpaka aje akufungulie uzi 🤣 🤣
Sisi ni ndugu tunajuana usihofu 😆😁😁Utatukosea kabisa na dosho
😂Harmful unakosea kabisaWe si ndio ulisema tukayajenge private imekuaje
Mimi sitii neno namimi naenda kuichapa kisawasawa leo na kesho.Najua na yeye amesoma na si ajabu akarudia tena mara ya pili
Heka heka hapa ndiyo nyumbani kwake🤣🤣🤣 mna heka heka sana
Sawa acha nitunze Siri 🤣😂Harmful unakosea kabisa
😁Unakula mpaka cha nduguyo!Sisi ni ndugu tunajuana usihofu 😆
😂😂Utunze na ushatoboaSawa acha nitunze Siri 🤣
Binti wa zamani kasema mpaka nimwage ubongo sasa hizo akili za kuona aibu ntazitoa wapi tena 😁😹😹Ni kweli hii dosho12
Natak niwashangaze wahenga 🤣😁Unakula mpaka cha nduguyo!
Hawajaelewa hao😆😂😂Utunze na ushatoboa
Kizuri ukikitangaza kitaibiwa 😹au kuchukuliwa !Binti wa zamani kasema mpaka nimwage ubongo sasa hizo akili za kuona aibu ntazitoa wapi tena 😁
Dosho hatakuacha salama😹kwenye kuchapiwaNatak niwashangaze wahenga 🤣