dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,965
- 13,552
Kizuri kula na nduguyo nini, changu chako, chako changu, hapana sikuamimi we una ajenda yako unaipika 😁Hii sheria si tulisain wote kaka
Kizuri kula na nduguyo nini, changu chako, chako changu, hapana sikuamimi we una ajenda yako unaipika 😁Hii sheria si tulisain wote kaka
Agenda gan kaka sisi tunasaidiana 😃😃😃Kizuri kula na nduguyo nini, changu chako, chako changu, hapana sikuamimi we una ajenda yako unaipika 😁
SijaelewaSawa.Nasikia huko nje sauti za wanaopanga kuumiza waumizaji
Atakugongea huyo😂Kizuri kula na nduguyo nini, changu chako, chako changu, hapana sikuamimi we una ajenda yako unaipika 😁
Huyu keshazoea kula vya wengine, hawezi kuumia😹😹😹Ila huyu akichapiwa sioni kama ataumia
😁😁😁Ukiona unasoma uzi mrefu hiv mpaka mwisho na maudhui yake ni ngono
JITATHIMINI.
Umeshamaliza kujitathmini 😅😅?
😁😁😁😁Kasahau kukuchapa vibao kama yule dogo wa miaka 15 na mwalimu wake
Sasa si ukambless tu mpenzi, naye aje asimulie humu 😅Kwa ulivyosimulia aisee na mimi uje unibless
Jiandae Disemba 9, wengine tunapelekwa kijijini kabisa 😂Wakuu kwakweli nilipitia wakati mgumu sana oct29 .watu walifungia wakezao ndani aisee
Asa tunaishije sisi?? Sina hata manzi nategemea nyinyiJiandae Disemba 9, wengine tunapelekwa kijijini kabisa 😂
Una siku mbili za kujitafutia wa kwako 😂Asa tunaishije sisi?? Sina hata manzi nategemea nyinyi
Hapana huko nshatoka mm siwezi kumiliki kbsa sjui kuwa romantic hawa wabuku2 wananiita Osman beyUna siku mbili za kujitafutia wa kwako 😂
Sasa si ujifunze namna ya kua romanticHapana huko nshatoka mm siwezi kumiliki kbsa sjui kuwa romantic hawa wabuku2 wananiita Osman bey
Nimesoma, nikachoka.Huku ni mtaaa uliochangamkaaa, njoo basi unipe ya mwisho kabla sijatoka😂😂😂