yassird200
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 978
- 1,716
Usela sijuiSasa si ujifunze namna ya kua romantic
Usela sijuiSasa si ujifunze namna ya kua romantic
Usela ndiyo unakukosesha tamu, punguza kidogoUsela sijui
Kama ningempenda, ingekua poa tu mana ningemtafutia msaidizi wa kunifanyia hizi fujo.Usikute mumeo ni mzabzab , jamaa yetu wa tako tatu chali halafu unakuja kutupanga na story za shigongo.
Atakwambia maana alishawahi kuja kunitembelea, nikapotelea chumbani, baadaye alivyotaka kuondoka, nikamuagia kwenye simu na yupo sebuleni, maana nguvu ya kutembea iliisha.Poor Brain tupe ukweli wa hii story maana wewe umajua zaidi huyu ant yako.
Kwa umri huu, tayari najua ninachopenda na sitaki kubadili.Kuna umri ukifika inabidi uwe mbunifu zaidi, mapenzi ya nguvu sana Yana Zeesha unawahi kuchoka, inabidi ujaribi ladha zingine amini uta enjoy shida yako we ni muoga sana, pata mtu wakkupeleka slow but sure mambo ya purukushani mwishowe utenguliwe bega, taratibu TU badili ladha upewe strawberry nasi kahawa Kila siku mpaka meno Yana kua meusi,
Yani nisinzie huku nadinywa, kama naweza hata kufikiria usingizi basi hapo hunikazi aiseeh, maana hilo haliwezekani.hivo my friend ukipata muda fanyia kazi ushauri wangu, unatakiwa ukazwe taratibu Hadi unapitiwa ka usingizi unashituka taratibu sio kufakamiana kama mnalima my, enjoy your day
Kwahiyo wewe ule cha mwenzako, ila chako kisiliwe 😅 😂Hakuna kipengele cha mchepuko kwenye mkataba😆
🎵🎵Hili limeniuma saaana🎶🎶🎵Ngoja tumuite mama Gwamaka naye tusikie kama amekuchoka, shibela njoo huku!
Ndo anachotafuta 😁Atakugongea huyo😂
Hakikisha unatoa mafuriko hata zaidi ya miezi 2 unaweza kupitaHata hayo yote yakifanyika, kumaliza mwezi ni kipengele.
Enewei tutajitahidi tutengeneze mafuriko 🤣
Mkataba gani sasa huu wa upande mmoja 😁Hakuna kipengele cha mchepuko kwenye mkataba😆
😁😁😁😁Watu wanachukua number hata kwenye maandamano.
Shida yangu ni nikishatoa mafuriko nikaipata ile raha, nataka tena 😅😂Hakikisha unatoa mafuriko hata zaidi ya miezi 2 unaweza kupita
Itakuwa zimeamua kuandamana, wanawake tukimqliza muda bila kukazwa genye zinashukaZa kwako zimeenda wapi??
tumewekeana mke sasa mchepuko kaingiaje hapa 😆Kwahiyo wewe ule cha mwenzako, ila chako kisiliwe 😅 😂
Mkataba wa kibinafsi sana huo.
Ni mke kaka sio michepuko ni mkeMkataba gani sasa huu wa upande mmoja 😁
Inabidi tu update mkataba 🤔Ni mke kaka sio michepuko ni mke
Tuongeze nini 😆Inabidi tu update mkataba 🤔
Tuongeze na michepuko 😁Tuongeze nini 😆
Ilikuaje ukakubali mkataba mbovu hivi?Inabidi tu update mkataba 🤔