Kuelekea dakika ya tisini: "Maoni ya wanachama yasiposikilizwa, CHADEMA njiani kulia na kusaga meno!"

Bila shaka ukimaanisha hawa hapa:

View attachment 3181415

Haipo shaka mnamhutaji sana!
Gentleman,
ni wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa Chadema pekee , ndio watakaoamua ikiwa ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi au patriotic mwamba wa kaskazini kua boss mpya wa Chadema Taifa hadi 20230.

hakuna haja ya mawenge 🐒
 
Sijakuelewa kabisa kama umeelewa nilichoandika ama ni Mimi nimejibu usichoandika.

Ndiyo nasema mambo ya kusubiri dakika 90 na kusema wengine tulikubishia. Yanahusu nini hasa?

Wapi unapoona mabishano yapi na nani kwenye theme ya mada hii?

Au kipi nilichoandika wapi si kweli au kimekukwaza wapi?

Looh!
 
Kwani ndani ya ofisi za CDM Kuna snipers Hadi avae bullet proof.

Hapa anaweza kuchukua mtu points 3 muhimu aliyekuwamo na hata asiyekuwamo.

Si unajua kugombea hiki cheo hunasibiwa na kuonja sumu kwa ulimi?

Kwa hakika huyu mwamba aongezewe ulinzi!
 
Tutawakumbusha tu,maana wengine wanajiona ni wazalendo sana kwa kumshabikia DJ abaki madarakani
 
Hapa anaweza kuchukua mtu points 3 muhimu aliyekuwamo na hata asiyekuwamo.

Si unajua kugombea hiki cheo hunasibiwa na kuonja sumu kwa ulimi?

Kwa hakika huyu mwamba aongezewe ulinzi!
Na ulinzi sasa analindwa na waleee!!

Ni Kweli amekuwa mtu muhimu anayestahili kulindwa.
 
ni muhimu sana ukaandika uzi mahususi kwa faida ya wadau wa JF, na kwakweli itapendeza zaidi gentleman,

kwani kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anasemaje juu ya hilo?🐒

Mchezaji wa mguu mmoja hafai.

Hakuna kupoa tutapiga na miguu yote.

Cheo chake tafadhali kama ikikupendeza.
 
Kina NTOBI, BON, YERICKO ni Ccm wale?
 
"Hivi huyu Abduli ana cheo gani kwenye serikali ya CCM?"

Samahani lakini kukuuliza nje ya mada.
WAISLAMU WAKIWA MARAIS BASI WATOTO ZAO WANAKUWA MIUNGU NA WAKE ZAO WANAKUWA MITUME NA MAAWALA ZAO WANAKUWA MAWAZIRI NA WABUNGE ..SIPEPESI MACHO TANZANIA INAKWAMISHWA NA MARAIS WAISLAMU...KWAO UZALENDO NI MAVII NA MZALENDO NI ADUI KWAO BEBERU NI MUNGU NA MUARABU NI MTUME WAKE HUYO MUNGU BEBERU NA WANANCHI NDIYO WAUMINI ...hivyo tuna abudishwa kwa waarbu na mabeberu.
Hata msemo wa baba fisadi mama kahaba mtoto anauza ngada unafiti kwa marais waislamu tu hakuna rais mkristo tuliye shuhudia haya mambo ya kianithi yakifanya na wake wala watoto zao
 

Mikononi mwa Lissu hiki chama hakitawapa nafasi chawa, wabaguzi, wajinga au wapumbavu:

Kuelekea dakika za Majeruhi: "Akatokea Mbowe kumuunga mkono Lissu leo, Chawa wale wale wakimbagaza Lissu watashangilia zaidi, tena kuliko wengine wote

Ukombozi wa nchi hii unahitaji wenye kuona haki inatamalaki.

Pole lakini kwa kuwa muwazi kabisa kwako.

Ngoja atunyooshee chama.

Habari ndiyo hiyo!
 
Mchezaji wa mguu mmoja hafai.

Hakuna kupoa tutapiga na miguu yote.

Cheo chake tafadhali kama ikikupendeza.
zingatia mawaidha yangu mujarabu sana gentleman hakuna haja ya kubabaika wala kuweweseka hata kidogo.

muhimu tu ni kwamba wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema, wana hamu kubwa sana kurudisha mtu ulaya mikono mitupu ili ajawanyesha mabwenyenye zake 🐒
 
inakaribia saa tano, ajitokeze atoe tamko atagombea au hatagombea?
 
Huyu baba ni tapel...., kwanini Muungano hakuwaachia wananchi wasikilizwe na waamue ,muundo,aina ya Muungano wanao utaka?
 
Ukilijua lengo hasa la kuanzisha kwa vyama vya Upinzani hapa Tz mwaka 1992, utakuwa unajua wazi kabisa kwamba Mbowe hawezi kuacha kugombea Uenyekiti huko Chadema.
Viongozi wengi wa vyama vya upinzani ni Mapandikizi ya Tiss, ukianzia:- Augustine Lyatonga Mrema, Cheyo, Lipumba, Mabere Marando, na hata huyo FAM
 
Kama mbowe atagombea, siku ya uchaguzi ulinzi uimarishwe ukumbini maana fujo zitatokea na mkono utapigwa na chama hicho kusambaratika kama NCCR na CUF vyama mfu
 
Kumchagua TAL ,wa kushinda majukwaani akimtukana Saa100 ,matusi ya nguoni,ni Bora ,uchaguzi usambaratike. Ninaunga mkono hoja!
 
Huyu baba ni tapel...., kwanini Muungano hakuwaachia wananchi wasikilizwe na waamue ,muundo,aina ya Muungano wanao utaka?

Tofautisha Tanzania ya leo na ya wakati huo.

Zama zimebadilika siyo siri kuwa watanzania wa enzi hizo Kwa kujua au kutokujua waliutaka ulivyokuwa:



Huyo mzee hakuwa tapeli ila hawa wenye wake na michepuko yao almaarufu COVID-19!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…