- Thread starter
- #41
Kumchagua TAL ,wa kushinda majukwaani akimtukana Saa100 ,matusi ya nguoni,ni Bora ,uchaguzi usambaratike. Ninaunga mkono hoja!
Ukweli mchungu:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumchagua TAL ,wa kushinda majukwaani akimtukana Saa100 ,matusi ya nguoni,ni Bora ,uchaguzi usambaratike. Ninaunga mkono hoja!
sawa! Kwa hiyo ilikuwa ni kuzuga nchi wafadhili kuwa kuna vyama vingi?Ukilijua lengo hasa la kuanzisha kwa vyama vya Upinzani hapa Tz mwaka 1992, utakuwa unajua wazi kabisa kwamba Mbowe hawezi kuacha kugombea Uenyekiti huko Chadema.
Viongozi wengi wa vyama vya upinzani ni Mapandikizi ya Tiss, ukianzia:- Augustine Lyatonga Mrema, Cheyo, Lipumba, Mabere Marando, na hata huyo FAM
hivi Lissu si TISS? Kama mbowe atang'ang'ania madaraka tutajua ni TISS kama hao wengine kina mrema, cheyo na lipumba. Nchi ni ya chama kimoja tu CCM, hivyo vingine vilivyoanzishwa ni magumashi tu. Tukapipe kura kwa hiyari tu kama kuna muda wa kuchezea kupanga foleni kwa zoezi hilo fekiUkilijua lengo hasa la kuanzisha kwa vyama vya Upinzani hapa Tz mwaka 1992, utakuwa unajua wazi kabisa kwamba Mbowe hawezi kuacha kugombea Uenyekiti huko Chadema.
Viongozi wengi wa vyama vya upinzani ni Mapandikizi ya Tiss, ukianzia:- Augustine Lyatonga Mrema, Cheyo, Lipumba, Mabere Marando, na hata huyo FAM
Ukilijua lengo hasa la kuanzisha kwa vyama vya Upinzani hapa Tz mwaka 1992, utakuwa unajua wazi kabisa kwamba Mbowe hawezi kuacha kugombea Uenyekiti huko Chadema.
Viongozi wengi wa vyama vya upinzani ni Mapandikizi ya Tiss, ukianzia:- Augustine Lyatonga Mrema, Cheyo, Lipumba, Mabere Marando, na hata huyo FAM
Huna hoja zaidi ya uchawa tuzingatia mawaidha yangu mujarabu sana gentleman hakuna haja ya kubabaika wala kuweweseka hata kidogo.
muhimu tu ni kwamba wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema, wana hamu kubwa sana kurudisha mtu ulaya mikono mitupu ili ajawanyesha mabwenyenye zake 🐒
mihemko ni uraibu gentleman 🐒Huna hoja zaidi ya uchawa tu