Kuelekea Dar Derby VPL Simba SC dhidi ya Yanga SC, One Touch Operation 3 Points

Wao kila siku ni ushirikina tu mkuu.
Nilikuwa nyuma ya Goli lao Jana sikuelewa hata kwa nini kichwa cha boko hakikuingia
Alipiga tu kwa kubahatisha mpira ukaenda golini ukagonga mwamba
 
Umempendelea huyu kwa mpira wa Jana na namna magoli yalivyorudishwa iliashiria yanga alikuwa bora kuliko wao
 
Naona unaingia tu nakutoka Mtani. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Haya bwana. Ujumbe mpira unachezwa uwanjani na si mitandaoni.
Siku ukinifunga ndo nitaamini tupo level moja Uwanja, ni muda sasa ushindi kwako ni sare, lakini hii nakufunga mara droo, nakufunga mara droo, bado mtani

Yamepita hayo VPL lakini kuna mapinduzi tukutane huko Insha'Allah
 
Exactly, ndo maana kwetu yamepita tunaangalia mbele, hawezi bado tunashangilia droo..!
Mpira ni sayansi ndugu ni kitu kinachoonekana hadharani siyo janja janja na maneno mengi yasiyo na maana
 
Siku ukinifunga ndo nitaamini tupo level moja Uwanja, ni muda sasa ushindi kwako ni sare, lakini hii nakufunga mara droo, nakufunga mara droo, bado mtani

Yamepita hayo VPL lakini kuna mapinduzi tukutane huko Insha'Allah
Ooh. Tusubirie mechi ya next round Mtani .

Yap yap yamepita hayo Mtani tunaelekeza macho Mapinduzi Cup sasa.
 
Yamepita na maneno hayawezi kubadilisha matokeo uwanjani pamoja tambo..Kila moja amejionea ila Manula ni mzembe hataki kubadilika

Ni wakati sasa Beno awe langoni
Ooh. Tusubirie mechi ya next round Mtani .

Yap yap yamepita hayo Mtani tunaelekeza macho Mapinduzi Cup sasa.
 
Kumbe Kagere bila hirizi hawezi kumaliza hata dakika 5 uwanjani, alivyopokonya hirizi tu hakugusa mpira mpaka akatolewa
 
hapa dante, huku yondani, pale lamine moro, yule mbeba hirizi kagere sijui atapita wapi, simba bora mjitoe mapinduzi cup mtadhalilishwa na yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…