kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Jana sikuona live stream ilikuwaje?Ni huyu hapa, alikwenda kufanya nini?View attachment 1312770
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana sikuona live stream ilikuwaje?Ni huyu hapa, alikwenda kufanya nini?View attachment 1312770
Alipiga tu kwa kubahatisha mpira ukaenda golini ukagonga mwambaWao kila siku ni ushirikina tu mkuu.
Nilikuwa nyuma ya Goli lao Jana sikuelewa hata kwa nini kichwa cha boko hakikuingia
Umempendelea huyu kwa mpira wa Jana na namna magoli yalivyorudishwa iliashiria yanga alikuwa bora kuliko waoTunajua hamkosi utetezi.
Mi nikwambie Mtani kilichotufurahisha ni kukuziba mdomo kwa kukuonyesha kwamba Yanga yupo level moja na wewe hasa mkiwa Uwanjani. Na ndio sababu tukatoka nyuma na kuja kusawazisha huku mkiwa mmeishiwa mbinu kabisa.
Mpo level nyingine mdomoni na mitandaoni tu mtani.
Siku ukinifunga ndo nitaamini tupo level moja Uwanja, ni muda sasa ushindi kwako ni sare, lakini hii nakufunga mara droo, nakufunga mara droo, bado mtaniNaona unaingia tu nakutoka Mtani. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Haya bwana. Ujumbe mpira unachezwa uwanjani na si mitandaoni.
Mpira ni sayansi ndugu ni kitu kinachoonekana hadharani siyo janja janja na maneno mengi yasiyo na maanaHamtoi droo mpaka mpeleke jini uwanjani, ulienda kufanya nini ule msukule, basi mshinde na si droo[emoji23][emoji23]
Ooh. Tusubirie mechi ya next round Mtani .Siku ukinifunga ndo nitaamini tupo level moja Uwanja, ni muda sasa ushindi kwako ni sare, lakini hii nakufunga mara droo, nakufunga mara droo, bado mtani
Yamepita hayo VPL lakini kuna mapinduzi tukutane huko Insha'Allah
Ooh. Tusubirie mechi ya next round Mtani .
Yap yap yamepita hayo Mtani tunaelekeza macho Mapinduzi Cup sasa.
Hicho "kichwa" cha boko ulikiona wapi?Wao kila siku ni ushirikina tu mkuu.
Nilikuwa nyuma ya Goli lao Jana sikuelewa hata kwa nini kichwa cha boko hakikuingia
Aaaah miamba kila tukicheza na nyie tu aaah kuna jambo....Alipiga tu kwa kubahatisha mpira ukaenda golini ukagonga mwamba
Vp term hii msukule ulikuwepo?Hamtoi droo mpaka mpeleke jini uwanjani, ulienda kufanya nini ule msukule, basi mshinde na si droo[emoji23][emoji23]