Kuelekea Derby ya Kariakoo Simba SC vs Yanga SC weka utabiri wako hapa

Kuelekea Derby ya Kariakoo Simba SC vs Yanga SC weka utabiri wako hapa

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Mimi natabiri hakuna kutingisha kifua siku hiyo, ila kuna jini linaitwa Jean Baleke Othos litaongeza hat trick katika bank yake.

Matokeo ya jumla;
Simba sc 6 vs Yanga sc 1

Wafungaji kwa upande wa Simba ni;
Baleke 4
Chama 1
Saido 1

Mfungaji pekee upande wa Yanga ni;
Job. 1 goli la utata sana maana itakuwa ni offside ya wazi.

images%20(12).jpg
 
Droo ya magoli yasiozidi mawili-1-1,,,2-2,,, au bila bila,,0-0!!!Niitwe Chifu Hangaya nimekaa paleee!!!
 
Droo ya magoli yasiozidi mawili-1-1,,,2-2,,, au bila bila,,0-0!!!Niitwe Chifu Hangaya nimekaa paleee!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]huu mkeka nauandaa mapemaaaaaa[emoji3578]
 
Back
Top Bottom